timu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mnaosimamia timu ya Taifa mnatuonea

    Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu...
  2. Nisije kufa bila kuiona Uefa rasmi nimeongeza timu ya kushabikia ambayo ni Liverpool Sasa nitashabikia Arsenal na Liverpool

    Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu...
  3. Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  4. Yanga ni timu ya kuogopwa, Benard Morrison yupo Ken Gold, Djuma Shaban atupiwa virago Namungo FC

    Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana timu ya kucheza kwa sasa. Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja...
  5. Hivi hii timu ya Ac Milan inamashabiki kweli

    Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa duniani halafu hata uwanja haina
  6. Tumeshuhudia wahuni waliotumwa kuja kufanya vurugu na timu ya iliyokuja kucheza mpira!

    Refa alikuwa ni muungwana lakini ni dhaifu alitakiwq kuwapa kadi nyekundu wale wahuni walioingia kwa maagizo ya kumprovoke refa nq kuacha kucheza mpira amewanyima simba clear penalty baada ya kumuangusha kibu...... Waamuzi waongeze umakini kwa wahuni na wapewe onyo watu wanatoa pesa kulipia...
  7. Rasmi nimeongeza timu ya kushangilia ambayo ni Real Madrid ili nifurahie makombe

    Siku ya Leo kwa akili zangu timamu rasmi NIMEONGEZA TIMU ya kushangilia ambayo ni real Madrid sitaki ushauri wowote sababu arsenal siioni ikichukua kombe la UEFA hivyo nimeona Madrid ni timu sahihi kwangu kunipa furaha sababu ni wababe wa dunia kwenye suala la soka na niseme ukweli tu nilikua...
  8. Kocha Timu ya Taifa, Hemed Morocco awafukuza Mkoko, Lanso kambini kwa utovu wa nidhamu

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman 'Morocco' amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu. Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni Ibrahim Mkoko anayekipiga katika klabu ya Namungo FC na Abdallah Said (Lanso) wa KMC. Utovu wao wa...
  9. TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda. TFF badala ya kuchukuwa...
  10. Godbless Lema ameweka video ya Kamanda Mawazo X. Watu waitafsiri kama kijembe kwa timu ya Mbowe

    Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote. Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.
  11. Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

    Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
  12. Hivi sasa hivi kuna timu ya kuifunga arsenal kwenye uefa

    Nimejiuliza sana sijapata jibu hivi Kwa Sasa hivi Kuna timu ya kuifunga hii arsenal ya Sasa maana naona Kila mtu anachezea kichapo arsenal inaenda kubeba ubingwa wa uefa na Kwa sababu Kwa uwezo wanaoonesha uwanjani ni hatari sana
  13. T

    Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  14. Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wabunge wa Tanzania yachapwa Vikapu 67 kwa 38 na Wabunge wa Kenya

    Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ikumbukwe hapo jana, Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira...
  15. M

    Hii timu ya Angola ingecheza na Yanga ingeshinda

    F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
  16. Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

    Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini. 1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa. 2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan. Ushahidi wanao Azam...
  17. Sioni kama kuna haja ya kuendelea kutumia wachezaji wazee kwenye Timu ya Taifa

    Nashangaa sana timu ya taifa kuendelea kumuita samata kuja kucheza katika ligi za mataifa kwaza ni mchezaji mzee na kwasasa anacheza kwa kuangalia jina lake nashauri msiite wachezaji kwa kuangalia jina lake bali angalieni ubora wake na kipaji chake kipoje kwa wakati uho Samata kwasasa hana...
  18. Timu ya Al Fatah Imetembelea Maktaba Kwa Mazungumzo

    TEAM YA AL FATAH ONLINE TV WALIOPOTEMBELEA MAKTABA KWA MAHOJIANO Sijawahi kufanya kipindi cha namna hii na kwa mtindo huu. Nilimwambia Rashid na wenzake Talib na Juma kuwa Maktaba ina mitaa na ningependa kuwatembeza kuwaonyesha mitaa hiyo. Nilidhani ni kazi nyepesi. Waingereza wana msemo, "A...
  19. Timu ya taifa ya wanawake Iran yaondolewa michuano ya ASIAN CUP baada ya kuchezesha wanaume

    Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne. Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
  20. Simba na Taifa Stars: Changamoto na Nini Kifanyike Kuleta Mabadiliko ya kweli

    Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…