tiktok

TikTok, known in China as Douyin (Chinese: 抖音; pinyin: Dǒuyīn), is a video-sharing social networking service owned by Chinese company ByteDance. The social media platform is used to make a variety of short-form videos, from genres like dance, comedy, and education, that have a duration from 15 seconds to one minute (three minutes for some users). TikTok is an international version of Douyin, which was originally released in the Chinese market in September 2016. Later, TikTok was launched in 2017 for iOS and Android in most markets outside of mainland China; however, it only became available worldwide after merging with another Chinese social media service, Musical.ly, on 2 August 2018.
TikTok and Douyin have almost the same user interface but no access to each other's content. Their servers are each based in the market where the respective app is available. The two products are similar, but features are not identical. Douyin includes an in-video search feature that can search by people's face for more videos of them and other features such as buying, booking hotels and making geo-tagged reviews. Since its launch in 2016, TikTok/Douyin rapidly gained popularity in East Asia, South Asia, Southeast Asia, the United States, Turkey, Russia, and other parts of the world. As of October 2020, TikTok surpassed over 2 billion mobile downloads worldwide.Vanessa Pappas is the CEO of TikTok, having assumed the position following the resignation of Kevin A. Mayer on 27 August 2020. On 3 August 2020, US President Donald Trump threatened to ban TikTok in the United States on 15 September if negotiations for the company to be bought by Microsoft or a different "very American" company failed. On 6 August, Trump signed two executive orders banning US "transactions" with TikTok and WeChat to its respective parent companies ByteDance and Tencent, set to take effect 45 days after the signing. A planned ban of the app on 20 September 2020 was postponed by a week and then blocked by a federal judge. The app has been banned by the government of India since June 2020 along with 223 other Chinese apps in response to a border clash with China. Pakistan banned TikTok citing 'immoral' and 'indecent' videos on 9 October 2020 but reversed its ban ten days later on 19 October 2020. Then in March 2021, a Pakistani court ordered a new TikTok ban due to complaints over "indecent" content.Morning Consult ranked TikTok as the third fastest growing brand of 2020, after only Zoom and Peacock. In May 2021, TikTok appointed Shou Zi Chew as their new CEO.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    Mirabel ahukumiwe kwenda jela kwa kutoa ushahidi wa uongo kwenye madai yake ya ubakaji

    Mwaka 2026 umeendelea kuonyesha namna mitandao ya kijamii ilivyo na nguvu katika kuunda mijadala ya kisheria na kijamii barani Afrika. Kisa cha TikToker mmoja kutoka Nigeria kwa jina la Mirabel aliyedai kuwa mwanaume mmoja alimvamia na kisha kumbaka, huku akionesha kuwa amedharirishwa kama...
  2. funaku

    Waziri Makonda anzisha sera ya mitandao mbadala wa instagram na tiktok Tanzania

    Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
  3. Damaso

    Tiktok na Instagram: Mijadala ya Kizuzu Mitandaoni

    Hivi karibu katika ulimwengu wa kidijitali, imekuwa ni kawaida watu kuzungumza kama bile wamekatwa vichwa. Mitandao imekuwa ji mahali ambapo ukweli unapigwa kwa sababu ya kulinda hisia za mtu na ambapo mantiki inaonekana kama ni adui. Hivi sasa, ukiingia TikTok au Instagram, hutakutana tu na...
  4. I

    MTV chali mbele ya YouTube na TikTok

    Baada ya miaka 44 ya kuiburudisha dunia, hatimae MTV imesalimu amri mbele ya YouTube na TikTok. Soma zaidi... https://www.instagram.com/p/DS-AHXHFF22/?igsh=a29rb2JwZHJqbHZ3
  5. Scared

    TikTok wanaongelea maandamano halafu wamekaa kwenye live kusubiri wengine waaandamane

    Kuna live ya tiktok inaendeshwa watu wote mule anaeongea kazi kulaumu wenzie kisa hawajaikanzisha huku yeye mda huo hajafanya kitu kakaa ndani sijui anasubiri nani akinukishe wazee Kwa staili hiyo acheni kujadili maandamano jadilini uasi huenda mkafanikiwa Kwa asilimia 100% watanzania Sasa hivi...
  6. M

    Mtandao wa Tiktok umefunguliwa, sasa unaweza kuperuzi Bila VPN

    Baada ya kifungo cha zaidi ya mwezi moja, Mtandoo wa Tiktok umefunguliwa rasmi na mtumiaji anweza kutumia bila kutumia njia mbadala kama matumizi ya VPN. https://www.jamiiforums.com/threads/tiktok-yafungiwa-tanzania-bila-vpn-uwezi-kutumia.2398433/
  7. Pakome

    Baada ya Kampuni ya ByteDance kuchutama, mamlaka imeamua kuondoa zuio la TikTok

    Uhusiano kati ya China na Tanzania umekuwa ni wa muda mrefu tangu Tanzania ipate Uhuru China imekuwa mstari wa mbele kusahihisha makosa yake ya Kibiashara yanayotokea Tanzania Kampuni ya ByteDance imeamua kuchutama ili kuondolewa zuio la TikTok lililodumu kwa muda mrefu Makosa ya TikTok...
  8. Pakome

    Kulikoni mtandao wa TikTok kutawaliwa na maudhui ya Ushoga!

    Mtandao wa TikTok umetawaliwa na maudhui ya Ushoga Umekuwa ni mtandao uliojaa maudhui ya vijana wa kiume wanaojihusisha na ushoga wakijipamba, kunengua viuno na kuonesha miondoko ya kike Je umegeuzwa kuwa dating website ya mashoga? Kinachonipeleka TikTok ni kupata elimu ya Magari Baada ya...
  9. M

    Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  10. K

    Figusi tayari: TikTok haipatikani Tanzania hata uweke VPN

    Naona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook. Tanzania yangu nakupenda
  11. M

    PostGE2025 Samia’s “Who are You” TikTok challenge - Vijana wameamua

    Inabidi viongozi kujua kuwa approach ya ku-deal na kizazi cha sasa haiwezi kuwa kama ya zamani. Hii ni aina flani ya advocacy inafanywa kwa namna inayochekesha lakini inafikisha ujumbe kwa watawala! Una videos zaidi? Share!
  12. Scared

    Tiktok bunge la wananchi Kuna jamaa anaitwa summer ni mjinga sana

    Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisa lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu...
  13. funaku

    Bycola Adams mwanadada mwenye mvuto na akili ndani ya tiktok

    Kwa hakika nimevutiwa na sura ,haiba,sauti ,akili ,ushawishi na utulivu wa mwanadada huyu wa kitanzania anayekuja kwa kasi kwenye mtandao wa tiktok.
  14. The Magnifico

    Tiktok, Twitter, VPN, P*rn Sites zafunguliwa rasmi Tz. Ama TCRA aliyekuwa night shift amejisahau?

    Nimeamka leo asubuhi VPN yangu ikawa imejizima nilipolala. Kabla sijaiwasha kwa bahati mbaya nikawa nimebonyeza notification moja ya Twitter. Heeeh, cha kushangaza ikafunguka, narudi nyuma na kurefresh TL yangu nashangaa kila kitu kinafanya kazi bila shida. Nikaingia Tiktok nako vilevile, kila...
  15. M

    Watz tunazidi kupiga hatua, kuna software maarufu ya kudownload videos za youtube na mitandao ya kijamii. imetengenezwa na mtu anajiita Muhogo Mchungu

    https://github.com/mhogomchungu/media-downloader Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya kimataifa watu wanaishauri Media Downloader Niliishusha na kuitumia, ni software nzuri ambayo inaweza...
  16. R

    Raia wa Mali aliyekuwa Maarufu Tiktok auawa kwa kusifia Jeshi

    Mamlaka nchini Mali zimeripoti kifi cha mwanamitindo na mtengeneza maudhui maarufu TikTok, Mariame Cissé, aliyekuwa akijulikana kwa kuchapisha video za kuunga mkono jeshi la taifa hilo la. Kwa mujibu wa Meya wa Timbuktu, Yehia Tandina, Cissé alitekwa Ijumaa akiwa sokoni katika eneo la Echel, na...
  17. Mhaya

    Tiktok yafungiwa Tanzania, bila VPN uwezi kutumia

    Tiktok imeungana na X (Twitter) na JamiiForums, rasmi hii mitandao uwezi kutumia bila VPN
  18. M

    Tiktok Silaha yenye nguvu

    Tukiikomboa nchi, ni marufuku kufungia aina yoyote ya Media, badala yake tutazitumia kwa maslahi mapana ya Taifa
  19. Cute Wife

    GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  20. secretarybird

    Naomba tuwaite members wa JF ambao sasa hivi wanatamba kule TikTok

    Ni dhahiri kwamba baada ya JF kupigwa ban members wengi wamekimbilia kwenye mitandao mingine. Natumai kuwa membaz wengine wako Facebook, X (Twitter), na Instagram hiyo siyo shida sana. Shida ni kwamba members wengine sasa hivi wako TikTok wakifanya challenge ya Ngoma za akina Zuchu na Nandi...
Back
Top Bottom