Naomba uongozi wa Yanga , wafanye juu chini mechi ya Derby tusicheze Kwa mkapa kwakuwa uwanja ule unamatatizo ya pitch lakini pia ,inasemekana Simba Kuna vidubwana wameweka chini Ya Ardhi.
Pia na sisi mechi hii kwakuwa sisi ni wenyeji ,lazima tufanye ubaya ubwela kweli kweli, kwanza Simba kama...