Mko salama humu?
Kumbe bana kuna taasisi hazivumi ila zina balaa in terms of maslahi.
Kuna dogo ajira mpya nimebahatika kuona mkataba wake kaajiriwa hapo Tanzania forest services,mshahara ni 2.6m.huyu dogo ni abandoned degree tu ya uhasibu hata cpa hana bado.
Kumbe tumekaririshwa tu kuwa...