Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Kanda ya Ziwa imewakamata wafanyabiashara wawili mjini Bariadi, mkoani Simiyu, kwa tuhuma za kuuza mbolea za ruzuku kwa bei tofauti na ile iliyoelekezwa na Serikali, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vinavyowaumiza wakulima na kulinda lengo la...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye hoja.
TFRA wanaendesha mafunzo kwa wananchi hapa mkoani Iringa kweye ukumbi wa Neema crafts kwa siku 2 yaani tarehe 30 January 2024 na tarehe 31 kwa mujibu wa tangazo lao walieleza mafunzo hayo ni buree.
Cha ajabu kufika ukumbini wanaanza kuwachangisha...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA)
Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.