tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini TFF inashinikiza uchaguzi Wa viongozi wa soka Mbeya?

    MBEYA KUMENOGA HASWAAA Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mbeya kesho ni batili, TFF kuweni makini

    Chama cha soka Mkoa wa Mbeya kesho aprili 6, kinatarajia kufanya uchaguz wa kuwapata viongozi wake lakini cha ajabu kuna madudu ambayo yanaweza kusababisha maafa jambo ambalo ni muhimu kwa serikali, na wadau wengine kuingilia kati ili Haki ipatikane na mkoa uweze kuongozeka. Iko hivi, awali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, igeni mfano wa Jeshi la Polisi katika kushughulika na wahuni kwenye mpira wetu

    Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli. Hongereni Jeshi la...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali na TFF ichukue Hatua ya kuwadhibiti hawa Wassmaji wa Vilabu

    Nimepitia maoni ya watu wengi kuhusiana na hawa wasemaji wa vilabu. Wengi wao hawana weledi. Angalia namna msemaji wa Simba alivyokua akimuongelea Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, juzi Kamwe kamtolea maneno ya hovyo Mkuu wa Mkoa wa Tabora, kashfa na kumshambulia binafsi. Wasemaji sasa wanaweza kuwatweza...
  5. JamiiForums Tanzania CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

    Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025. Soma: Bodi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Derby ya Kariakoo, huu ndio ushauri wangu kwa TFF na Bodi ya Ligi

    Kumekuwapo na mvutano mkubwa sana kati ya TFF, Bodi ya Ligi kwa upande mwingine na Yanga na Simba kuhusu Dabi ambayo ingechezwa tarehe 8 Machi, 2025. Ninaishauri TFF na Bodi ya Ligi kuwa kuanzia sasa kifungu kinachotamka kuwa timu ngeni iruhusiwe kufanya mazoezi kwenye uwanja wa timu mwenyeji...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati watani zao Yanga sc wakiendelea kuzozana na TFF, Simba sc yatua salama Misri tayari kuwavaa Almasry CAFCC

    Wakuu ikumbukwe Taifa hili la Tanganyika huwa linapeleka jumla ya timu nne kwenye michuano ya kimataifa. Caf Champions league timu mbili na Cafcc timu mbili, katika hali ya kushangaza ni timu moja pekee tu ndio imesalia kwenye michuano hiyo ya kimataifa. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuwekeza...
  8. JamiiForums Tanzania TFF itachagua: Bodi ya Ligi ivunjwe ili tucheze Dabi, ama watupe point 3 lah! Tukazifate FIFA.

    Habari ndiyo hiyo.
  9. JamiiForums Tanzania TFF mmeshindwa kutafsiri kanuni za mpira mnaingiza serikali?

    Busara gani? siasa gani? serikali ya nini? TFF mmeshindwa kutafsiri kanuni za mpira mnaingiza serikali? mnaona na mnajua kabisa mkifuata sheria na kanuni za mpira moja kati hizo timu mbili (Simba/Yanga) itashuka daraja? Maana yake mmedharau kanuni za kimpira mkaingiza serikali? sasa kama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Sanaa na Michezo Palamagamba Kabudi kukutana na viongozi wa Simba, Yanga, TFF na Bodi ya Ligi Alhamisi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga ili kutatua mgogoro unaoendelea kuhusu kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba...
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ally Kamwe kufungiwa itatoka lini?

    Nashawishika kuuliza hivyo kwakuwa naona Priva ni kama rasmi sasa ameshika mikoba ya usemaji wa Club. Je amefungiwa? Kama amefungiwa taarifa itatolewa lini? Au wanasubiri taarifa ya bodi ya ligi kuhusu Derby? Ili wazitoe kwa pamoja ili taarifa moja itumike kufunika taarifa nyingine? Soma Pia...
  12. JamiiForums Tanzania Kiburi Cha Karia pale TFF hana tofauti na Malinzi kinarudisha soka la Tanzania nyuma.

    Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi. Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
  13. JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi msijaribu kubambikia Yanga kesi/ kosa

    Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati, Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba...
  14. JamiiForums Tanzania Mbeya: TFF tendeni haki uchaguzi wa Mbeya

    UCHAGUZI MREFA (MBEYA) Habari ndugu zangu Wanamichezo. Leo ni siku ya usaili kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Chama cha Mpira Mkoa wa Mbeya (MREFA). Taarifa zilizipo ni kwamba Kamati ya Uchaguzi ya TFF inayoongozwa na Benjamin Kalume wamepanga kumkata Sadick Jumbe kwenye nafasi ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Utabiri: ''Wanangu TFF, Yanga, Simba Mkayamalize" Kisha Naomba mnialike kwenye Mechi, Nitakuja

    Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka. Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na...
  16. JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

    Wakuu Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mwana FA ampongeza Wallace Karia, asema ni "Kiongozi bora kwenye Historia ya TFF"

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu Mwana FA amwaga pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia "Nimpongeze Wallace Karia kwa kazi kubwa anayoifanya kwenye mpira wa Tanzania, Kitakwimu hakuna viongozi wa TFF waliofanya vizuri kama...
  18. JamiiForums Tanzania Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  19. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi bodi ya ligi na TFF wanajielewa kweli? Mbona kama wanavyotoa ufafanuzi ndio wanakosea zaidi,au hawajisikilizi wanachosema!

    Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha. Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi? Simba walitangaza usiku wa kuamkia siku ya mechi kuwa wao rasmi hawatocheza mechi.na kulivyokucha asubuhi ya siku ya mechi bodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…