tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali kunasa kwenye mtego wa TFF

    Rais Samia wewe ni Rais wetu sote. Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo. Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza kuyapinga, Kwa heshima yako wanayanga tulikubali kulimaliza suala hili mezani japo tulishinda kwenye sheria...
  3. D

    JamiiForums Tanzania No 3 points for Yanga, no TFF

    Ifike mahali ukweli usimame na uongo/ulaghai ushindwe. Kuna udhaifu mkubwa sana katika uongozi wa TFF iwe ni kwa sababu za maksudi au kwa ukosefu wa weledi. Pengine ni wakati Sasa Uongozi wa TFF ujifakari na uachie ngazi. Huwezi Kiongozi taasisi nyeti kama TFF ilihali moyoni umejaa Mahaba na...
  4. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Karia uongozi wa TFF umemshinda huo ndo ukweli

    Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tukiwa wakweli ni kwamba klabu zote hizi mbili na baba yao TFF zina viongozi uchwara na wanafikiri kwa mihemko kama wanaogoza timu za mtaani

    Kama mmojawapo kati ya simba , yanga na TFF angekuwa na akili za kutosha haya yasingetokea. Simba: Hata kama kanuni zinaruhusu kufanya mazoezi kwenye huo uwanja ila hakukuwa na sababu yenye mantiki kufanya mazoezi kwenye huo uwanja. Mna uwanja wenu wa mazoezi wa siku zote , sasa kipi cha maana...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mashabiki wa mpira tususie kuingia viwanjani maana hawa TFF, Yanga na Simba wanachezea akili na maisha yetu

    Bila kumumunya maneno, hawa TFF wakishirikiana na hivi vilabu vya Simba na Yanga wamegundua sisi mashabiki wa Soka wa Tanzania ni wajinga, wapuuzi, wapumbavu na wafu. Wanaweza kutengeneza kanuni wanazozitaka wao, wakazistafsiri wanavyotaka, wakatengeneza matukio na kutuyumbisha wanavyotaka wao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba walitoa taarifa rasmi kwa timu mwenyeji kuwa saa 1:15 watautumia uwanja?

    Kwa maana kanuni inasema timu mgeni ana haki ya kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi angalau SIKU MOJA kabla ya mechi. Sasa swali ni je simba walienda kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi? siku za kisoka zinahesabiwaje? Kwa mfumo wa masaa 24,48,72? Au zinahesabiwa kwa mfumo wa...
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania FIFA waifungie TFF kwa kuingiza siasa kwenye mpira

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa hakika, TFF ndio wanaoharibu mpira wa nchi hii kwa kuingiza siasa ndani yake. Kwa mujibu wa sheria za FIFA, ni marufuku mashirikisho ya mpira ambayo ni wanachama wa FIFA, ikiwemo TFF, kuingiza mambo ya siasa kwenye mpira. Kuna matukio kadhaa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

    Kwa hasira kali! Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba. Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
  10. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni kubwa kuliko Bodi ya ligi kuu na TFF

    Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
  11. Sexer

    JamiiForums Tanzania Hili la Simba Sc kujifanyia vurugu ili wasifanye mazoezi kukwepa goli nane, TFF wasiliache lipite hivihivi

    Haya maigizo wanayofanya Simba sc sio ya kufumbiwa macho kabisa na mamlaka, zichukuliwe hatua kali kwa viongozi wa Simba, Meneja wa uwanja ambaye pia ni mwanasimba pamoja na kamishna wa mchezo (mwanasimba) kwa kula njama ya kuzuia Simba sc isiingie uwanjani Taifa kufanya mazoezi ili wapate...
  12. Gudasta

    JamiiForums Tanzania TFF toeni tamko kuhusu mechi ya Yanga vs Simba watu waendelee na mishe nyingine

    Toeni tamko mapema, ili watu wajue Nini kinaendelea, watu wana ratiba zao za mambo yao ...kama mechi hamna utaarifuni umma mapema.
  13. Mbabani

    JamiiForums Tanzania TFF & Bodi ya ligi watakuwa dhaifu mbele ya Simba na Yanga hadi lini?

    Salam wapenda "kandanda". Kwa muda mrefu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania limekuwa dhaifu inapotokea inshu ya SIMBA & YANGA. TFF na bodi ya ligi (bodi dhaifu kabisa) wanakua tayari kuvunja kanuni na sheria walizotunga wenyewe ili kuwanufaisha SIMBA & YANGA . Hii derby ya 08/03/2025 Simba...
  14. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Barua ya bodi ya ligi kuwaambia Simba mchezo upo kama kawaida, Kariakoo Derby Machi 8, 2025

    kuna ukweli juu ya hii taarifa au uzushi tu
  15. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni ya rais wa tff mtarajiwa jamal malinzi;take a time to read dont be tyd

    ednesday, October 23, 2013 KUELEKEA UCHAGUZI WA TFF: HII NDIO ILANI YA UCHAGUZI YA MGOMBEA JAMAL MALINZI UCHAGUZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) 2013 ILANI YANGU YA UCHAGUZI Utangulizi Ndugu...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TFF msiogope kukosolewa, acheni nidhamu ya uwoga, Wasemaji msihofu vitisho, semeni mapungufu ya marefa

    Kuna HABARI Agis habari WA YANGA amefungiwa miaka 2 Kifupi tu huu ni UWOGA na Tff mkumbuke hii n mwanzo tu hakuna watu WAACHA kuwasemea UPUUZI WENU na UPUUXI WA Refa Kama mlifikiri mkimfungia Ali kamwe mnaidhoofisha Yanga mmejichanganya wenyewe hakuna jipya WAsemaji adhabu ya kamwe...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania Dominick Salamba apewe kitengo cha Usemaji Yanga baada ya rungu la TFF kwa Ali Kamwe

    wakuu Kama kweli Ali Kamwe atakuwa amepigwa rungu na TFF basi huu ni wakati wa mchambuzi na shabiki wa Yanga, Dominick Salamba kuwasemea Wananchi. Apewe kitengo kwani amekuwa akiwasemea vizuri klabu yake pendwa. Soma: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Derby ya Kariakoo TFF na Bodi ya ligi lindeni mali za uwanja kwa mchezo safi.

    Asikwambie mtu bhana, Simba na Yanga ndizo timu zinazoendesha biashara ya mpira nchini; hata timu nyingine na Dar na mikoani mapato yao yanazitegemea Simba na Yanga; wadhamini wooote wanadhamini mpira kwasababu ya Simba na Yanga. Hivyo, nisingeona ajabu kama mechi zoooote zinazozihusisha Simba...
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CCM Tabora yaamua kuboresha uwanja wa Ali Hassan Mwinyi baada ya kufungiwa na TFF

    Siku moja baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukosa vigezo na kanuni za mpira wa miguu, wamiliki wa uwanja huo ambao ni Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tabora wameanza kuufanyia...
Back
Top Bottom