"Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi kuelekea huo mchezo. Ni mchezo mkubwa, mchezo ambao ni kioo cha ligi yetu." - Karim Boimanda, Afisa...