Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga.
Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma...
Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa.
Huenda la kweli au uzushi.
Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini.
Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa...
Amepachikwa jina la utani: "Shetani wa Waarabu", kutokana na uovu wake alioueneza nchi zote za Kiarabu. Mohammed bin Zayed, anapumulia mashine, na taarifa nyingine zinasema "kisha kitoa". Ulimwengu mzima wa Kiarabu uko katika shamra shamra za kufurahia, hata kama haijathibitishwa rasmi kifo...
Taarifa ambazo hazikudhibitishwa na serikali ya DRC au kundi la M23, zimedai kwamba mnamo tarehe 5 February, 2026, bwana Erik D. Prince, mwenye kampuni ya mamluki nchini Marekani, alikamatwa na kundi la M23 huko Kivu kusini.
Prince aliwasili nchini DRC akitokea nchi jirani ya Burundi...
Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming
Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo
Mtandao wa kampuni yake haupatikani au
Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi)
"Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9.
Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa
===========
Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria...
Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi.
Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye round hii tutakuwa na wazazi nchi nzima tutakinukisha.
Kila kitu kitakufa Wazi.
Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !.
Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako.
Haw wasengee wameua sana
Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria.
Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
Chanzo cha uhakika kinadokeza kuwa mkakati uliopo ni kumtangaza haraka na kumpa hati ya Ushindi Samia Suluhu usiku huu kama Mshindi halali wa “uchaguzi” uliofanyika juzi.
Wanachotaka, ni aapishwe mapema iwezekanavyo kisha ‘Kina Mzee Butiko’ waongoze the so called “Maridhiano”
Elections in Tanzania were neither free nor fair
October 30, 2025
In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights.
“As Tanzanians went to the polls today, the...
Kuna tetesi kwenye mitandao ya kijamii JK kakimbilia kujificha nchi jirani ya Kenya.
Hizi tetesi nimezipata Facebook ila nafuatilia kwa karibu sana kutoka vyanzo vyangu vya karibu na uhakika (reliable trusted sources)
Kwa hiyo muwe wa vumilivu.
Senior JF local and international...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata
Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team
Simba acheni uoga...
Barua husika hiyo OFFICIAL statement from CAF.
The body will release the same Next Week.
CAF DECISION STATEMENT
Following a thorough review of the FIFA match report, referee assessments, and official video footage of the CAF Africa Cup of Nations Qualifier between Kenya (Harambee Stars) and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.