tetemeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uturuki na Syria zapigwa tena na Matetemeko ya Kipimo cha Richa 6.4 na 5.8

    BBC Swahili wamepost muda huu kuwa Uturuki na Syria zimekumbwa tena na tetemeko muda huu Habari zaidi zinakuja. ==== Siku 14 tangu kutokea kwa Tetemeko la Ardhi lililoua zaidi ya Watu 47,000, taarifa mpya ni kuwa kumetokea Matetemeko mengine mawili kwenye Miji ya Antakya na Adana na Mpakani...
  2. TANZIA Christian Atsu apatikana ndani ya kifusi Uturuki akiwa amefariki dunia

    Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria. Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere Pia soma - Mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana anaswa kwenye vifusi nchini Uturuki ==== Nana Sechere...
  3. Tetemeko la ardhi latokea Dodoma, Singida

    Taarifa GST inapenda kuutangazia umma kwamba kumekuwa na matukio ya matetemeko ya ardhi katika maeneo ya wilaya ya Manyoni kwenye mpaka kati ya Mkoa wa Singida na Dodoma yakiwa na ukubwa wa 4.3 na 4.9 katika kipimo cha Richter kama yalivyoainishwa kwenye jedwali hapa chini: Tarehe ya tukio...
  4. Siku 9 tangu kutokea kwa Tetemeko, Wanawake watatu, watoto wawili wakutwa hai kwenye kifusi

    Wanawake waliokutwa hai ni Melike Imamoglu (42) na Cemile Kekec (74) wamwokolewa katika Mji wa Kahramanmaras wakati timu ya waokoaji ikiwa inasafisha maeneo yaliyoathirika, wengine waliookolewa wanatokea Mji wa Antakya ambapo ni mama na watoto wake wawili. Jumla ya watu waliofariki kwa upande...
  5. Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

    Wakuu haya ndiyo matendo makuu sasa, fanya mambo kisha unapotea. Mwanaume mmoja ametembelea ubalozi wa Uturuki nchini Marekani na kutoa msaada wa Dola za Kimarekani milioni 30 (zaidi ya bilion 60 za Kitanzani). Msaada huo ni kwa ajili ya huduma za kiutu kwa wahanga wa Tetemeko la Ardhi. Mtu...
  6. Waliofariki kwa Tetemeko Uturuki na Syria wazidi 28,000

    Wakati zoezi la uokoaji likiingia siku ya 7, idadi ya vifo inazidi kuongezeka, kwa upande Syria kuna vifo 3,575 na Uturuki pekee kuna vifo 24,617 - Madhara mengine ni zaidi ya watu Milioni 13.5 wameathirika Nchini Uturuki huku wengine Milioni 5.3 wakipoteza makazi Nchini Syria na kiujumla zaidi...
  7. Baada ya kushuhudia athari za tetemeko Uturuki na Syria, Afrika ijitafakari

    Wakuu amani iwe nanyi. Bara Afrika halijaonesha mshikamano na ulimwengu katika kuwafariji wahanga wa tetemeko la Ardhi lililotokea huko Uturuki na Syria. Viongozi wa Afrika wamekuwa wakituchonganisha na mataifa makubwz ya ulaya Kwa kutuambia wazungu hawana upendo na wanatuhujumu. Ukweli ni...
  8. Uturuki ni Earthquake Prone

    Baada ya kuona wadau wanaanza kuleta habari za mwisho wa dunia na wengine kusema huenda kuna mabomu / silaha zinazosababisha haya majanga, naomba tujikumbushe kwamba Matetemeko kwa Uturuki sio jambo la ajabu na on record yalishatokea hata miaka ya 1900 na kuua zaidi ya watu laki mbili. Kwahio...
  9. Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

    Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao. But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan...
  10. PICHA 30: Muonekano wa Miji ya Uturuki na Syria baada ya kupigwa na Tetemeko la Richa 7.8

  11. Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

    UPDATE, FEBRUARY 13: VIFO VYA #TURKEYEARTHQUAKE VYAFIKIA 36,257 Vikosi vinaendelea kuokoa walionusurika kwenye Vifusi vya majengo yaliyoangushwa na Matetemeko mawili ya ukubwa wa Richa 7.8 na 7.6 wakiwemo Watoto 2 wa miaka 10 na 13 waliotolewa kwenye Kifusi baada ya kusubiri kwa saa 183. Hadi...
  12. S

    Laana ya vifaranga: Tutarajie mapigo kama mafuriko, ukame, njaa, tetemeko, n.k kama sio wahusika wenyewe kupata pigo la moja kwa moja

    Vyovyoyte itavyokuwa, wafanya maamuzi wetu hawawezi kukwepa lawama kwa vifaranga waliopoteza maisha na kwakuwa hii ni dhambi mbaya, lazima tutaadhibiwa kama nchi au wahiusika wenyewe ndio wataadhibiwa na NATURE moja kwa moja. Viumbe wale hawakuwa na kosa lolote na kilio chao hakiwezi kwenda...
  13. Mexico yapigwa na tetemeko kubwa la ardhi

    Mashuhuda waliripoti kuona majengo yanatikisika ingawa bado hakukuwa na ripoti za haraka za madhara kwa binadamu, huku meya wa Mexico City akiripoti kuwa hakuna uharibifu mkubwa. Licha ya kutotangazwa madhara, agizo la kuhama kwenye maeneo ya hatari limetolewa. Mamlaka ya Hali ya Hewa imesema...
  14. Tetesi: Inahisiwa China imemtengenezea tetemeko Taiwan hali mbaya

    Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari. Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan! Inasemekana lakini.
  15. Tetemeko la ardhi laua watu 46 China

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46. Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima. --- Earthquake in...
  16. Tetemeko la Ardhi Arusha

    Mida ya saa 1:11pm(19:11) Nimeexperience tetemeko la ardhi lilodumu kwa sekune 3-4.Je kuna mwingine aliyesikiia hasa katika Mkoa wa Arusha.Au ni huyu Jirani yangu ameanza mambo yake?
  17. Taliban waomba msaada uzunguni baada ya tetemeko la ardhi Afghanistan

    Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada. ============= At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said. The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
  18. Tetemeko la ardhi laua takriban watu 1500 nchini Afghanistan

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka Inaelezwa kuwa, tetemeko hilo lilipiga takriban kilomita 44...
  19. RAIS Samia tunusuru Wanakagera tupewe hela za tetemeko zilizochukuliwa na serikali ikijidai inarekebisha miundo mbinu

    Wana JF Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu. Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya...
  20. K

    Tetemeko la Ardhi Kintinku

    Taarifa mitandaoni zinaeleza kuwa leo tarehe 10 Mei, 2022 saa 9:22 mchana limetokea tetemeko la ardhi Kusini mwa Kintinku. Tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa 4.30 kwenye kipimo cha Ritcher. Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…