tendo la ndoa

  1. Muzine

    JamiiForums Nimeshinda kituo cha polisi leo baada ya huyu mkaka (Bonge) Kuzimia wakati tunafanya tendo la ndoa

    Habari Wanajamvi? Naandika huu uzi nikiwa sina rahaa kabisa kwa tukio lililotokea leo asubuhi saa 4 asubuhi. Story inaanza hivi baada ya kumpiga kibut handsome aliyenigegeda mpaka nikaomba pooh nikaamua kuwa single . Nikakaa nikawaza kwamba nipate mwanaume Bonge ndo atanifaa maana nasikia...
  2. Goliath mfalamagoha

    JamiiForums Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

    KWA NINI WANAUME HULALA BAADA YA TENDO LA NDOA? Utafiti wa jarida la Sayansi ya Mishipa ya Fahamu na Tabia uliochapishwa mwaka 2012 umebaini kuwa, dawa za usingizi hufanya kazi sawa na tendo la ndoa kwa wanaume. Eneo la mbele la ubongo ‘pre –frontal cortex’, ambalo linahusiana na ufahamu...
Back
Top Bottom