tender

  1. mirindimo

    Kijana akamilisha tender na hajalipwa kwa miaka mitatu sasa

    Baada ya Nest kusema inawaandaa vijana kua matajiri, ajitokeza kijana ambaye alifanya kazi kwa kupitia kauli hiyo hiyo na hajalipwa mwaka wa 3 sasa. Huyu kijana TRA lazima haimwelewi, Halmashauri lazima Haimwelewi , Fire aka Zimamoto nao hawaelewi ..... ni miujiza kua Bilionea kwa njia hii...
  2. presider

    Angalia Uwezo wa Kampuni yangu. Halafu njoo unipe kazi/ Tender yako

    4core Power and Machine Company Ltd Click hyo link hapo chini Google Search https://share.google/EPoOgdtbyYJK4S3S5 Tuna deal na Mechanical and Electrical Works. N Contractor wa Mechanical class 6 na Electrical 5.
  3. Upepo wa Pesa

    Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

    Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata. Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka...
  4. Jamii Opportunities

    Invitation to Tender: Supply & Installation of 3 Coffee Pulping Machines at Good Neighbors August 2025

    Bid No: GNTZ/MPO/T/2025/002 SUPPLY AND INSTALLATION OF THREE (3) COFFEE PULPING MACHINES (Ecological Coffee Wet Mills Compact Units (UCBES) IN MBOZI DISTRICT, SONGWE REGION] Good Neighbors Tanzania invites sealed bids from qualified and experienced suppliers for the supply and delivery of...
  5. Tuo Tuo

    Nani mtaalam awe ananiombea Tender! Nitakua namlipa lakini

    Wataalam Tender za nest au zinginezo zinazohitaji application. Bundle juu yangu Other cost juu yangu Ww n kazi tu Fursa hii
  6. Analogia Malenga

    Tafiti ya IMF yashauri Crypto-currency kutotumika kama fedha halali (Legal tender)

    Utafiti wa IMF kuhusu Malipo ya Kidigitali - Sub Saharan Afrika, imeshauri kutotumia Crypto Currency kama fedha halali ya malipo. Suala hili linakuja wakati ambapo duniani Crypto Currency zinaongezeka kila uchao na baadhi ya nchi zikiwa zinaitumia fedha hizo kwa malipo ya kawaida. Suala la...
  7. S

    Jins ya kujiunga na NEST au private sector

    Jamani naombeni mnisaidie namna ya kuingia au kutuma maombi kwenye NEST Ile ya kuandika tender za aina yeyeyote
  8. Dennis Robert Shughuru

    Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

    Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi...
  9. M

    Tender za serikali hasa kusupply material ya ujenzi mashule,zahanati na mengineyo

    Wajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa malipo japo pesa ziko kwenye account husika na mashule na mazahanat
  10. Jamii Opportunities

    Reveurse 33kV Construction Tender, July 2025

    REQUEST FOR TENDER TENDER FOR CONSTRUCTION OF 33KV DOUBLE CIRCUIT LINE (91.6 KM) MSAMVU TO DUTHUMI, MOROGORO Tender No: REVEURSE/YUDI/CONSTRUCTION/2025/001 Tender Overview Reveurse Tanzania Company Limited, acting as the procurement agent on behalf of YUDI Mining (Tanzania) Graphite Development...
  11. Jamii Opportunities

    Tender – Strengthening Urban Eco-Resilience in Chake-Chake and Mkoani at LVIA May 2025

    Terms of Reference Activity: 3.2. Business Opportunities and Market Study for Organic Fraction of Municipal Solid Waste Project Title: Strengthening Urban Eco-Resilience in Chake Chake and Mkoani Project Reference: LVIA/NDICI_AFRICA/2023/447-205/04_2025 Tender Reference...
  12. Imani rubaba

    Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender

    Hiini kwa wale wote wenye Biashara au kampuni na wanashindwa Kutumia Mfumo wa Nest Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender 👉 Wasiliana Nasi 0764 148 221
  13. M

    Kazi za tender za halmashauri miradi ya serikal mashule,zahanati

    Habar wakuu nataka kusajili company niwe naomba tender za kusuply material katika miradi ya hamashauri mashule,zahanati..vip wakuu Kuna ukiritimba wowote wakupata au ndo Hadi uwe na connection na afsa manunuzi,na vip katika malipo Naskia Kuna mfumo mpya wa nest wanadai kuwa hauna urasimu kupata...
  14. Pate_15

    Taratibu za Tender

    Habari, Naomba muongozo katika Hili swala. Baada ya kusajili local company, nikajisajili Nest, na Sasa nimekua napata invitation za tenda mbalimbali kulingana na leseni yangu. Nimeapply tenda kama 3 ivi, na nimeona kwenye ripoti Yao Jina langu limetokea. Hapo Sasa natamani kujua Baada ya...
  15. The ice breaker

    Natafuta tender ya ku supply mayai ya kisasa

    Wakuu habari. Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla. Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale. Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji.. Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free...
  16. Kasri Homes Tz

    House4Sale Mtoni Kijichi: 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: Kijichi • Facilities: Main house (4 bedrooms, 3 washrooms); 2 servants quarter • Plot Area: 3,800 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 450 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ vyumba master 2 na kawaida 2; ✓ sebule, dining, jiko, stoo, choo cha public, chumba cha kufulia...
  17. Jamii Opportunities

    Request For Tender – Supply of Vacuum pump at Barrick August, 2024

    REQUEST FOR TENDER North Mara Gold Mine, a fully owned subsidiary of Twiga Minerals Corporation, which is ultimately owned by Barrick Gold Corporation and the Government of the United Republic of Tanzania requests the submission of Tenders from reputable, experienced, certified, and qualified...
  18. mahindi hayaoti mjini

    Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

    Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi? Tafadhali sana Karibuni
  19. Jamii Opportunities

    Request For Information (RFI) at NMB Bank PLC June, 2024

    BUSINESS MANAGEMENT SYSTEM. 1 NMB Bank PLC is the largest commercial bank in Tanzania with vast branch network in all parts of the country, providing banking services to individuals, small and medium size corporate clients, as well as large businesses. NMB Bank PLC now invites applications...
Back
Top Bottom