tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Daah, leo nilikuwa na hamu ya wine Four Cousins-Ndio basi tena

    Huku kuna baridi sana, Nimepita dukani nikachukua Four Cousins nipige. Baadae nakumbuka ninatumia Cold-Off Capsule. Daah basi bwana
  2. Nchi inapaa, kelele lazima zitasikika tu, mitano tena

    Tuliokuwepo tangu awamu ya kwanza tunafahamu kwanini kelele za huyooo huyooo, mchinjeee mchinjeee zinasikika kwa wingi. Nchi imepaa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii unexpected. Ukiona nchi inapaa kwa kutumia vyanzo na rasilimali zilezile walizonazo awamu nyingine maana yake Kuna mirija ya...
  3. Mrema: G-55 imekufa rasmi, haipo tena!

    Kutoka akaunti ya X ya Jon Mrema Salaam, kwa kuwa kundi Sogozi la G -55 limekufa rasmi na halipo tena , naomba kuwatangazia rasmi kuwa Usemaji wangu kwenye Kundi hilo umekoma rasmi . Hivyo basi , kama kuna jambo lolote litakalotumia jina la Kundi hilo ieleweke kuwa ni watu watakuwa wanataka...
  4. Tunafurahia ushenzi?. Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena

    Tunafurahia ushenzi? Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena. Msitake wajivike ustaarabu ushenzini. Regardless ya kiwango cha ushenzi watakachokionesha kama muitikio wa ushenzi waliooneshwa.. UShenzi haufurahiwi...
  5. R

    TCRA tunaomba ufafanuzi kuhusu kutopatikana kwa tweeter (X) Tanzania

    Tunakwenda wiki ya pili bilaa Tweeter (X). Hakuna taarifa kutoka TCRA nini kimetokea Tweeter kutopatikana. watu wanasema (speculate) kuwa Serikali imeifunga , KWAHIYO TUSEME TWEETER (x) NDIYO BASI TENA IMEFUNGWA INDEFINITELY? TCRA tunaomba ufafanuzi
  6. Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  7. Najiuliza tu Samia utamjibu na Gwajima?

    Tumezoea kusikia Vijembe kila kukicha kutoka kwa Madam president. Na vijembe hivi hu vidirect kwa watu wanaokosoa na kusema uongozi wake.. Najiuliza Je na la gwajima atajibu mipasho tena?
  8. Magaidi wa Hezbollah wanachapwa kipigo cha Mbwa-koko na hawana uwezo tena wa kujibu Mapigo!!

    Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!! Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa na kurambwa miguu na wengi ambao kwa ujinga wao hawakujua nguvu ya Jeshi la Israel. Baada ya...
  9. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  10. Nawahakikishia tena, Simba anaenda kuwa bingwa wa CAF 2024-25

    Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo. Nimerudi tena nikiwa nina uhakika wa 100% kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF Shirikisho msimu wa 2024-25...
  11. Mpenzi wako kama yupo chuo sio wako tena ndugu

    She takes you for granted
  12. Makonda anataka kufanya jambo jingine tena Arusha

    Binafsi nimeshaandika mara kadhaa umuhimu wa kufufua kiwanda cha general tire Arusha kutokana na umuhimu wake kiuchumi. Sasa naona Makonda ameamua kupambana kufufua hichi kiwanda. Sitaki kuamini kuwa itakuwa jambo rahisi ila naamini penye nia pana njia. Pambana Makonda, hata hili unaliweza.
  13. Kama alivyofanya kwa Zelensky, Trump karudia tena kwa Ramaphosa!

    Jamaa anapenda kudhalilisha sana marais wa mataifa madogo! Ila yale makubwa huwa na heshima sana! Wednesday 21 May 2025 20:56, UK https://news.sky.com/story/trump-ambushes-south-african-president-by-playing-video-alleging-genocide-in-south-africa-13372206 Wednesday 21 May 2025 20:45, UK...
  14. P

    Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  15. Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
  16. TFF/bodi ya ligi mjifunze CAF kiongozi ujue kuheshimu kanuni na sheria mnazotunga..Muwe na msimamo.. Msitie aibu tena viva CAF

    NIANZE kushukuru Mungu Allah swbaahannah watalla Mjaza Neema Ndogondogo na KUBWA Ndefu na fupi Nene na nyembambaaaaa NIMEONA mda huu viongozi WA TFF na BODI mtakuwa mmeshaongia OFISIN kama hamna emergency yoyote kama magonjwa wagonjwa ama misiba ya karibu NDUGU ZANGU mgutthooo na karia na...
  17. D

    Za ndani kabisa: Wamepanga DPP aseme hana nia ya kuendelea nashauri kabla ya tare 02 june 25: halafu watamkamata tena kwa kosa jingine

    Kabla ya june 02 wamepanga kumwachia, halafu watamkamata tena kwa kosa jingine! Habari ndo hiyo!
  18. S

    Nijulishe, baada ya dramacool kufunga site zao, wapi tena naweza kudownload koreandrama for free?

    Msaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
  19. Waziri Mkuu wa Israel aruhusu tena misaada kupelekwa Gaza

    Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni. Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
  20. Huu sio uchochezi wa kidini wa wazi kabisa tena wa kiwango cha juu kabisa?

    Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa. Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…