Naomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka husika ya LATRA, Daladala za Kigamboni Wilayani na Temeke hazifiki Wilayani, zinaishia Kigamboni Mwisho.
Pili, nauli ya kutoka Kigamboni Mwisho hadi Temeke, mlangoni pameandikwa Sh 600 lakini wao wanatoza Sh 700.
Tatu, wakishachukua hela, hawatoi tiketi...