teknolojia ni yetu sote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TikTok imeweka mfumo wa voice call kama WhatsApp

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp ๐Ÿ‘‹, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ž Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  2. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ”“๐Ÿ”ฅ ๐— ๐—ช๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—ช๐—” ๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—ญ๐—œ? ๐—ถ๐—ข๐—ฆ ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ฎ ๐—๐—ฎ๐—ถ๐—น๐—ฏ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ธ!

    ๐ŸŽ Apple alisema โ€œiOS 26 ni salama kabisaโ€ฆโ€ ๐Ÿ˜ haitaweza kuwa na jailbreak ๐Ÿ‘€ ๐Ÿ˜ˆJailbreak community: โ€œHold my iPhone!โ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334 ametoa Mfumo ambao unaweza kuondoa vizuizi kwa watumiaji wa iphone. Dopamine 3.0 imeleta jailbreak...
  3. JamiiForums Tanzania WAITโ€ฆ What?! Redmi amefanya hivi?!

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh ๐Ÿ‘‹ Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh ๐Ÿ”‹ + 185Hz โšก kwenye simu moja?! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  4. JamiiForums Tanzania Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayo

    Tayari Mfumo mpya wa Android 17 umeshaachiwa Toka Juzi Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayokwenye baadhi ya vifaa vya Android kama vile Google Pixel na baadhi ya simu ila sio zote. Mfumo huo umekuja ukiwa na maboresho kadhaa kuanzia upande wa Muonekano (Themes &...
  5. JamiiForums Tanzania ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฎ๐˜€ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐—ต๐—ถ๐—ถ

    Jana mtandao wa Yas iliweza kuzindua app yake yenye mabadiliko makubwa sana ndani yake hii ni ya kikubwa zaidi kwa mwaka 2026. Ni app inayorahisisha Matumizi ya simu kidigitali kwa urahisi kwa kufanya mambo mengi ndani ya muda mfupi kama vile; โš™๏ธ Uwezo wa kununua Bando kwa haraka zaidi hata...
  6. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Samsung kuna feature 5 zinakuja kwenye simu yako hata hivyo

    Watumiaji wa Samsung kwenye toleo jipya la Samsung one UI version 8.5 wametoa update mpya ya feature mbalimbali nzuri sana. Feature mpya imekuja kuongeza ubora kwenye muonekano wa apps, mipangilio ya simu, ufanisi, stability pamoja na security kwa ujumla. kama unatumia Simu ya Samsung Kuna...
  7. JamiiForums Tanzania ๐— ๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐˜ƒ๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐˜๐˜‚ ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ผ ๐Ÿ˜‰

    kampuni ya Meta inakaribiwa na mashtaka juu ya kutengeneza Miwani yenye kuondoa nguo zako zote na kubaki mtupu. Miwani ya Meta Ray ban glasses ๐Ÿ•ถ๏ธ ambayo Ina Teknolojia ya Ai imekumbwa na kashfa kubwa imekua ikirekodi mambo mengi ya Siri kwa kuwaondoa watu nguo zao na kubaki uchi (naked)...
  8. JamiiForums Tanzania ๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—ข ๐—ซ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜‚๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—บ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ

    Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China. Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo ni VIVO X300 Ultra, kuanzia upande wa Kamera ni nzuri mno Yani nzuri Balaa inatoa picha Kali Sana...
  9. JamiiForums Tanzania Whatsapp kuacha kufanya kazi kwenye simu za zamani

    Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae ๐Ÿ‘‹. Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye matoleo ya simu ya kizamani. Ambapo kuanzia Mtumiaji wa Android version 6.0 hiyo simu haitaweza ku...
  10. JamiiForums Tanzania Achana na Blackberry kuna hii simu mpya ni balaa 2026

    Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 ๐Ÿซฃ lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini?? Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo Blackberry inaitwa Click Technology imezindua simu mpya inaitwa Communicator ๐Ÿ‘€. ๐Ÿ”บ Simu hii inatumia...
  11. JamiiForums Tanzania Walichoshindwa Apple kutoka kwenye simu za Android

    Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini ๐Ÿ™‚. Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
  12. JamiiForums Tanzania Google imeleta feature mpya inaitwa Simu ya dharura kwa watumiaji wa Android

    Kama unatumia simu ya android Kuna feature mpya inakuja upande wa phone ambapo Google wametambulisha kinaitwa "Urgent calling" kwenye Simu za Android. Kupitia skrini ya kupiga simu utaweza kuona feature mpya ya Call Reason - Mark as Urgent inakupa nafasi ya kumjulisha / kumwambia Mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Watumiaji Mtandao wa X kujulikana walipo

    Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa๐Ÿ˜Ž. Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na uwezo wa kuonyesha Taarifa nyingi za akaunti Yako. Taarifa mbalimbali zittaweza kuonyeshwa kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ท๐—ถ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ฒ

    YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private. Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama unatumia samsung hauko salama tena

    Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
  17. JamiiForums Tanzania ๐—œ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿญ ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ถ๐—ป ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

    ๐Ÿ—ฏ๏ธ Moja kati ya simu nzuri iliyotoka mwaka 2019 ni hii simu ya Iphone 11 Series, ni simu nzuri yenye Muonekano bomba, kamera nzuri, ufanyaji kazi wa kipekee unaopelekea simu bado kuwa na Thamani kwa mwaka 2025. ๐Ÿš€ Unajua kwanini?? ๐Ÿ”ฐ Processor yake ya A13 Bionic bado ina uwezo wa kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ