tecno

  1. Inside10

    Maaajbu Ya Simu Tecno Toleo 2026

    https://www.instagram.com/p/DVagzFWlftV/?img_index=1&igsh=ZTNrdzluemlhd2dx
  2. Godoro la kioo

    Sababu ni Nini simu za Tecno kunangwa

    Salam wakuu. Bila kuwachosha Kwa miongo kadhaa nimekuwa mtumiaji wa simu za hii kampuni ya Tecno Binafsi sijaona tatizo lolote kama inavyosemekana Kipindi flani niliwahi kununua simu ya Samsung baada ya kuona zinasifiwa sana ila kwa baadae nilikuja kuiuza baada ya kuona inakula sana moto...
  3. Mad Max

    TECNO Spark 40 ni mfano wa simu zinazofanya watumiaji wa TECNO wadharaulike!

    Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao . Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua wananunua wakidhani ina camera tatu kweli.
  4. M

    Hivi mtu mwenye akili unatumiaje simu ya Itel, Infinix na Tecno?

    Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina? Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo juu sijui namuonaje sijui namuona kama sometime akili zake zimeruka au amewehuka kabisa yaani wewe...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    Tecno wanakuja na teknolojia mpya ya kupiga picha kali kwa simu za smartphone

    Chapa ya kimataifa ya Simu Kali za kijanja TECNO wameingia ushirikiano na kampuni ya DXOMARK kuweza kutambulisha Teknolojia mpya kwa kuzindua maabara ya kwanza ya kupiga picha Kali za Automatiki kupitia Simu janja (smartphone). Uzinduzi huo umefanyika nchini china kupitia Jiji la Chongqing ...
  6. tonicimmobility

    Jamaa kirahisi sana kajibebea Milioni moja kisa kuvaa t-shirt ya TECNO

    Kampuni ya simu ya TECNO Tanzania imemkabidhi zawadi rasmi “Shabiki wa Dhahabu” aliyeibua hisia kubwa mitandaoni baada ya kuonekana na Tshirt ya TECNO kwenye mechi ya Taifa Stars dhidi ya Burkina Faso. Shabiki huyo alipatikana kwa msaada wa Watanzania kupitia mitandao ya kijamii baada ya TECNO...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗠𝗮𝗺𝗯𝗼 𝘆𝗮𝗹𝗶𝘆𝗼𝗳𝗶𝗰𝗵𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝘆𝗮 𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗶𝗻𝗮𝘀𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗮

    Usichokijua kuhusu TECNO SPARK 40 na mambo yaliyofichwa ndani yake !!! Kampuni ya TECNO imeachia matoleo matatu ya SPARK 40 Series; ✔ TECNO SPARK 40 ✔ TECNO SPARK 40 PRO na ✔ TECNO SPARK 40 PRO + TECNO wametisha kinoma noma leo nakuletea baadhi ya feature utakutana nazo kwenye toleo...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    Tecno camon 40 series simu bora kwa mwaka 2025

    Kama utaniambia ni simu Gani unaweza tumia bila wasiwasi kwa mwaka 2025 basi hii ni Series' ya Tecno Camon 40 na Camon 40 pro Toka kampuni Bora kabisa Afrika Tecno. 🎈 Kwanza simu hii imeundwa kwa muundo wa Galaxy Black , ikiwa unaishika mida ya usiku utaipenda sana inavyoonekana sio poa ni...
  9. Just Pray

    Mbeya: Auawa akidaiwa kuiba simu aina ya TECNO POP2

    JESHI La Polisi Mkoa Wa Songwe Linaendelea Kuchunguza Kifo Cha Elvis Pemba ,20, Ambaye Ni Mkulima Na Mkazi Wa Maporomoko, Tunduma, Aliyeuawa Baada Ya Kushambuliwa Na Wananchi Waliomshutumu Kwa Wizi Wa Simu. Akizungumza Na Waandishi Wa Habari, Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Songwe, Augustino Senga...
  10. Mad Max

    Tecno wazindua Phantom V Flip 2 na Phantom V Fold 2 zikiwa na AI assistant!

    Kampuni kutoka China Tecno, wanazidi kuwafurahisha na kuwashangaza Walimwengu kwa kuzindua generation ya pili ya foldable smartphones, kwa kuja na Flip na Fold, zote zikiwa na Ella AI ambayo iko powered na Google Gemini AI. Flip 2 itaanza $700 na ni improvement kutoka Flip 1 ya mwaka jana...
  11. Uwesutanzania

    Fundi simu nisaidie namna ya kubadilisha system file ya Tecno T301

    Shikamoo fundi. Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji. Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware. Na sio kutoa password wala ku Format. Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160. Nimejaribu sana...
  12. Kabelwa

    Msaada tecno k7

    Habari ndugu naomba msaada simu yangu ina tatizo unaweza kuitumia siku nzima ila kuna muda inajizima na kujiwasha na inaendelea kufanya hivyohivyo mpaka unapobonyeza kitufe cha kuzima ndio inafunguka sasa naomba kufahamu tatizo ni nini na suluhisho lake kabla sijaenda kwa fundi,ahsante.
  13. BabaMorgan

    Infinix, Tecno na Itel ni friendly kwenye matumizi ya MB

    Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance. Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero...
  14. Kyambamasimbi

    Kwa wenye uzoefu wa simu za Tecno

    Habari wanaJF, Naomba msaada kijana wangu nimemtafutia simu aina ya Tecno pop 7 shida ipo kwenye sms anapotaka kutuma ujumbe Inacomand atume Kwa lakini Moja tu na haimpi choice ya line either 1 or 2 na amecheza setup bado shida na inaonesha sms za line Moja tu. Sms za line nyiingine...
  15. snipa

    Kampuni ya TECNO Leo kuzindua Robot Yao Mpya.

    Kampuni ya TECNO Leo imetangaza kuwa itazindua Robot yake. Kaa tayari kwa uzinduzi wa TECNO Robot! Siku ya Leo! TECNO itazindua kwa mara ya kwanza mbwa wake wa kwanza wa roboti iliyoboreshwa kwa AI, TECNO Dynamic 1, kwenye MWC Barcelona 2024. Roboti hiyo ya kisasa inajumuisha slogan ya TECNO ya...
  16. Lexus SUV

    Phone4Sale Tecnk Pop 7 New Model

    Nauza simu yangu kwa shida za kifedha. Details kama internal memory ni 64 GB RAM ni 3GB Bei 190,000 Niko old moshi ...Moshi mjini Mawasiliano 0756294771....karibuni wandugu .........
  17. J

    Wale watumiaji wa Tecno tunateseka sana na hili jambo

  18. TTCC_TECNO

    Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

    Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
  19. Zee la madawa

    Inakera na kuchukiza kwamba wqtu wengu wanatumia smatphone halafu ni infinix,itel na Tecno

    Hii dunia inakera sana na kuchukiza kuna mambo yananipa stress sana yaani nikiona mijitu mikubwa inatumia smatphone halafu ukimkaribia zaifi anatumia hayo midosho au mabomu ya kichina Tecno,infinix na itel yaani nakerekwa mpaka natamani nitapike 😒😒😒😒 Hizi sio simu ni bomu aisee jana mwana mmoja...
  20. R

    Phone4Sale TECNO POP4 inauzwa Arusha

    TECNO POP4. 32 Gb storage, 2Gb RAM. Nipo Arusha, Njiro. Haina tatizo lolote. Bei 95,000. Simu 0768174862
Back
Top Bottom