Kumbe sio usa tu pekee imesaidiwa na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hata urusi pia ambayo tunaaminishwa itasaidia iran imesaidia pakubwa sana na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hapa kuna list ya wanasayansi wakubwa wa urusi wenye asili ya kiyahudi na gunduzi zao 1. Andrei...
Tunaishi katika kizazi kilicho na:
Simu zenye akili kuliko watumiaji wake.
Mitandao ya kijamii yenye ushawishi kuliko wazazi, walimu, au viongozi wa dini.
Maarifa mengi, lakini hekima haba.
Je, maendeleo haya yanatupeleka kwenye nuru au tunazidi kuzama kwenye kivuli cha giza lisiloonekana...
Natumia simu flan Samsung sasa bana nina tabia ya ku install app mbalimbali. Kurekodi sauti, nk
Sasa kuna app moja sijui ni ya Samsung ama nimeiwekaa bana nika ipa permit iwe on..
Simu imenitesa na kwa sabab ni naitumia kuhudumia watu nje na nsani ya ofsi kila kitu kilienda hovyo.
Tabia zetu...
Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1, hii sio tu kuhusu intaneti ya kasi zaidi—ni hatua kubwa kuelekea uvumbuzi wa hali ya juu wa kuelekea...
Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha
Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani...
TANZANIA YENYE AJIRA LUKUKI INAWEZEKANA Likifanyika Jambo Hili.
Twende Moja Kwa Moja Kwenye Point, Sekta Binafsi Ni Moja Ya Sekta Muhimu sana katika kuzalisha Ajira.
Sitaki kuongelea Mazingira Yaboreshwe kuruhusu Uwepo wa Sekta Binafsi nyingi,
Nachotaka Kushauri Mimi ni hiki hapa.. SERIKALI...
Google wametangaza maboresho ya kupunguza wizi na kulinda data pale simu inapoibiwa. Baadhi zitakuja na Android 15 na baadhi zitakuja kwenye Android kuanzia 10 kwa kupitia update ya Play.
Android’s theft protection features keep your device and data safe
Theft Detection Lock Simu itatumia AI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.