MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya...