Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD).
Mwongozo wa TCU unaeleza kuwa mwombaji anatakiwa awe alisoma somo la Physics katika ngazi ya O-Level. Je, wanafunzi waliosoma katika shule za ufundi (Technical Secondary Schools), wakasoma mchepuo wa Science...