tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. Je Hawa wabunge nao tayari wamechukua form za kugombea?

    1;Mh Mohammed Mchengerwa 2;Mh Josephat Gwajima 3;Mh Luhaga Mpina 4:Mh Kishimba 5 Mh Steven Byabato 6: Mh Ummy Mwalimu 7: Mh Angelina Mabula 8: Mh Abood 9;Mh Job Ndugai
  2. Nipo tayari kutoa milioni 5 kwa mtu atakayenionyesha hili andiko

    Habari Wakuu. Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo. Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh...
  3. Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
  4. Huwezi kulinda kura ambayo tayari imeibiwa kikatiba, kisheria na kikanuni.

    Katiba: matokeo ya Rais hayawezi kuhojiwa katika mahakama yoyote. Tume hata ikifanya uchafu gani haishitakiwi. Sheria: wanaita sheria mpya, Chukua mfano wa upatikanaji wa Mwenyekiti, mkurugenzi na makamishina. Je Mwenyekiti Mwambegele, Mkurugenzi Kailima na makamishina wakina Mapuri...
  5. Karma imelipa tayari.

    Ilianza hivi Ikaja hapa End . Lesson kila ubaya utalipwa
  6. IRAN: Tulikuwa tayari, tupo tayari na tutatoa majibu yatakayokumbukwa na historia!

    Iran: ▪️ Adui ana ndoto ya kwamba ameharibu mitambo yetu ya nyuklia lakini tulikuwa tayari tumeshagundua njama zake tangu mwezi Machi! ▪️ Tulihamisha kwa wakati nyenzo zote muhimu na kuziweka sehemu salama. Urani bado ipo chini ya udhibiti wetu kamili; adui anapiga mahandaki na moshi mtupu...
  7. Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

    Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi. je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
  8. Trump yupo tayari ku "discredit" Vyombo vyake vya usalama kumtetea Netanyahu

    Ni kama vile serikali ya Marekani inamilikiwa na Israel. Inawezekana vipi akasema Tulsi ( mkuu wa intelligence) haujui kitu basda ya kuulizwa kua report ya march 2025 inaonesha Iran hana nuclear weapon? Inamana anaamini Netanyahu yuko sahihi lakini vyombo vya usalama vya Marekani haviko...
  9. Mbona ni kama Rais Samia kaanza kampeni tayari?kwa nini hachukuliwi hatua na mamlaka?

    Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni. Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
  10. Tayari siti no 11A imeshatengenezewa simulizi

    Vishwash Kumar Ramesh alinusurika kwenye ajali ya 2025 Air India kutoka kiti cha 11A, kiti sawa na mwigizaji wa Thailand James Loychusak aliyenusurika katika ajali ya ndege ya mwaka 1998. Kama ilivyoripotiwa na gazeti la The Telegraph, James Ruangsak Loychusak, mwigizaji na mwimbaji wa Thailand...
  11. Ukweli Wafichuka, Albert Ojwang’ Alifikishwa Hospitali Akiwa Tayari Amefariki

    Video ya ulinzi (CCTV) iliyopatikana hivi punde imethibitisha kuwa Albert Ojwang’ alikuwa tayari amefariki wakati alipofikishwa katika Hospitali ya Mbagathi na maafisa wa polisi kutoka Kituo Kikuu cha Polisi, kinyume na kauli za awali zilizotolewa na polisi kwamba mwalimu huyo alikimbizwa...
  12. W

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani "Marco Rubio": Israel wamejichukulia maamuzi yao, sisi hatuhusiki kwa lolote lakini ole wao Iran watuguse !

    Statement from Secretary of State Marco Rubio “Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region. Israel advised us that they believe this action was necessary for its self-defense...
  13. Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  14. Watanzania wako tayari kuchangia harusi, sio gharama za matibabu ya Mtoto - Dtk. Mollel

    Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani. Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alipokuwa akijibu swali...
  15. U

    Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  16. PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  17. Nitapiga kura kuchagua chama pinzani sipo tayari kuendelea kuongozwa na mzanzibari.

    Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa. Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee. Sipo tayari kuendelea kuongozwa na...
  18. wafanyikazi wa ujenzi wa Chini Takriban wafanyikazi 1,000 tayari wametua Israel.

    Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa Operesheni za kijeshi huko Gaza .wafanyikazi wa ujenzi wa China wanarejea Israeli. Takriban wafanyikazi 1,000 tayari wametua, kuashiria mwanzo wa wimbi kubwa la waliofika. Kwa jumla, wafanyakazi 4,000 wa China wanatarajiwa chini ya makubaliano ya nchi mbili...
  19. Tayari nishapigwa na kitu kizito sijui nifanyaje

    Wasalaam Juzi hapa nilileta uzi kuutarifu umma wa JF naishi na binti mbichi wa 2005 bila kwao kutambulika Nilishambuliwa na members watakatifu wa JF kwa nini sijajitambulisha nyumbani kwa binti naishi nae kimya kimya atakuja kunifia ndani Sasa jana nipo maskani na bibie tunapata dinner naona...
  20. Kabla hamjayafungia hayo makanisa tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie

    Bashungwa Bashungwa Bashungwa Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo. Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole. Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…