Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi.
Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
Anonymous
Thread
kibaha
kibaha kwa mfipa
maji
mtaa
tatizotatizolamajitatizolamaji kibaha
Je, hii ni dalili ya failed state? Kuanza na kuanza ndani ya siku 100 maji yameanza kuwa tatizo, nauli za mwendokasi zimeanza kupanda, umeme nao soon utakuwa changamoto.
Dalili ya mvua mawingu, tutarajie makubwa zaidi ya haya.
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema iko siku tatizo la Maji litakuwa historia nchini kutokana na ongezeko la bajeti.
Akizungumza jana Desemba 17, kuhusu hali ya upatikanaji wa maji, Aweso amesema miradi ya maji imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya uhaba wa fedha, hali iliyosababisha Serikali...
Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
"Kwa mujibu wa utafiti ulioongozwa na Benki ya Dunia ulikadiria kuwa kuwekeza dola 1 katika maji safi hutengeneza faida ya dola 4 ya kiuchumi kutokana na kupunguzwa magonjwa ya matumbo (diarrhea) na kupoteza uzalishaji kazi ", Huu Ni mfano mzuri wa jinsi huduma rahisi kama maji safi inavyoweza...
Hii ni kero kubwa sana , mwezi wa pili sasa Dodoma tunaishi bila ya maji.
Makao makuu ya Chama na Serikali inakuwaje maji yanasumbua kiasi hiki.
Yanatoka kuanzia saa 7 asubuhi saa tano tu yamekatika. DUWASA hili mliangalie.
Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni,mageti, mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji.
Mameneja wa Kanda ya kinyerezi wamekuwa katika wakati mgumu muda wote wa utendaji wao. Wananchi waliokuwa wakilia maji hakuna tatizo limeanza kuonekana kuna baadhi ya wananchi...
▪️Mradi wa visima 10 Nzuguni A kuzalisha lita 20m kwa siku
▪️Visima zaidi kuchimbwa maeneo ya pembezoni ya Jiji kupunguza Mgao
▪️Waziri Aweso aweka kambi Dodoma kushughulikia suala la Maji
▪️Mbunge Mavunde apongeza jitahada za serikali kutatua kero ya maji
Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso...
Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa
Habari,
Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma - Area D, hasa mtaa wa Mganga/Mtawa karibu na zilipokuwa ofisi za Pembejeo.
Kwa sasa, kinyesi kimeenea...
Mlisha ambiwa na Bwana Aweso msikate maji weekend.
Mmevizia kaenda kuwatafutia fund Korea mnakata maji. Ila Dawasa mna makusudi sana mradi mharibu mipango ya waziri tu.
Wananchi wa Kata ya Mabogini wilaya ya Moshi Vijijini wamepaza sauti na kuitaka Mamlaka ya maji safi na uondoshaji majitaka Moshi mjini (MUWSA),kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo hilo.
Wananchi hawa wanapaza sauti kupitia group la WthsApp la Maendeleo Mabogini .
Hapa chini ni moja ya...
Hali ya upatikanaji wa Maji kwa sasa kwa Mji wa Geita ni asilimia 75 kwa Wakazi wasiopungua 360,000. Mji wa Geita ni moja ya miji ambayo inakuwa kwa kasi hasa kwa shughuli za kiuchumi na Wananchi wengi wanajenga Milimani ukilinganisha na usawa wa miundombinu ya Maji ya inayohudumia na hivyo...
Mimi Mkazi wa Geita kwa muda mrefu sasa mkoa wetu umekuwa na changamoto ya mgao wa maji.
Maji yamekuwa yakitoka mara moja kwa wiki. Hii ni kwa Mtaa wetu na maeneo mengine mengine.
Kila tukiuliza shida ni nini viongozi wetu wamekuwa wakitoa visingizio. Kila mara wamekuwa wakisema kuwa wapo...
Na N'yadikwa - Safarini Rwanda
Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi, hususan katika miji na maeneo yenye uhaba wa vyanzo vya maji vya kudumu.
Tatizo hili linahitaji mbinu bunifu na za kisasa ili kulitatua kwa ufanisi.
Mojawapo ya mbinu zinazoweza kusaidia ni...
Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai.
Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu.
Wenzangu watanzania weusi mliopewa dhamana ya kuzisimamia rasilimali za nchi hii basi niwaombe tu kuwa mtimize...
KARIBU KWENYE MJADALA HUU NDUGU YANGU MTANZANIA
Mawazo yako ni muhimu sana katika hii Mada.
Mada: TUFANYEJE KUTATUA TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM MILELE
Toa mawazo yako ili tupate ufumbuzi juu ya tatizo hili
Mchango uwe wa kiufundi zaidi na sio kisiasa
Karibuni
Pia soma: SoC03 - Mwarobaini...
Kwenu Wahusika,
Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa sifuri, ikionyesha...
Waziri Aweso aunguruma Morogoro
Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.