tarura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wakazi wa Matosa - Goba, Mwaka wa 3 tunabembeleza kujengewa kalavati, TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
  2. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge yaishauri TARURA kufanya mgao wa rasilimali fedha ili kunufaisha maeneo yenye uhitaji wa miundombinu ya barabara

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso ameipongeza Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kujenga miundombinu ya barabara iliyookoa maisha ya wananchi katika maeneo mbalimbali ambayo awali kuharibika kwa miundombinu hiyo kulisababisha vifo vya...
  3. Roving Journalist

    Responded RC Makala aagiza TARURA, TANROADS na Polisi kuondoa foleni Arusha, TARURA yatangaza kufuta 'stendi bubu'

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
  4. Roving Journalist

    Mwigulu atoa Siku 7 kwa TANROADS, TARURA Lindi, ataka watengeneze kwa haraka daraja la dharura lililoanza kutitia

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda Masasi kutokea Nachingwea. Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza...
  5. R

    GE2025 TARURA yajenga Madaraja 439, yaokoa Bilioni 75

    Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) umesema kuwa tangu kuanzishwa kwake, wamefanikiwa kujenga jumla ya madaraja 439 ya mawe yenye thamani ya bilioni 15, hatua ambayo imewezesha kuokoa kiasi kikubwa cha fedha. ‎ ‎Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Mhandisi Mshauri wa TARURA...
  6. Nipe Maji

    GE2025 Kamati ya ukaguzi TARURA yatembelea miradi minne ya barabara Shinyanga

    Ikiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, Kamati ya Ukaguzi ya TARURA imetembelea Miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya barabara mkoani Shinyanga. Katika Manispaa ya Shinyanga Kamati ilitembelea ujenzi wa barabara ya Old...
  7. R

    Usaili wa TARURA Julai 29, 2025

    Nauliza je Kuna wadau wanaopiga interview ya TARURA online
  8. B

    Kwanini sisi wengine (wengi) hatuna barabara nzuri za mitaani kama Mikocheni, na Upanga? Au hatustahili na hao ndio wananchi sana?

    Wakuu, Nimejikuta tu najiuliza maswali, kwanini sisi wengi maeneo yetu njia za mtaani ni songombingo hasa kipindi cha mvua, yaani ukitaka kutoka nje mpaka uite mizimu kwanza ukisaidie kupata ujasiri wa kupita😂😂 Sisi wa maeneo mengine kama Sinza, Manzese, Mbezi Beach, Tegeta, Bunju, Kimara...
  9. JanguKamaJangu

    KERO Makonde-Dar: Baada ya Greda kupita kabla ya Uchaguzi wa Mitaa, sasa kifusi laini cha tope kimemwagwa, tunachezewa au?

    Barabara ya Makonde inayoelekea Kanisa Katoliki Mbezi Juu imekuwa kero ya muda mrefu kwa watumiaji wake, hususan wa vyombo vya moto, kutokana na mashimo mengi na miundombinu duni. Hivi karibuni, kumemwagwa kifusi laini cha udongo mtupu ambacho, endapo mvua zikinyesha, kitazidisha hali mbaya...
  10. PendoLyimo

    • Serikali yaipongeza tarura, miji 11 ikisaini utekelezaji mkataba wa Tactic

    SERIKALI YAIPONGEZA TARURA, MIJI 11 IKISAINI UTEKELEZAJI MKATABA WA TACTIC Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amebainisha kuwa Serikali inatambua jitihada na kazi nzuri inayofanywa na Wakala ya barabara za Mijini na Vijijini TARURA...
  11. Roving Journalist

    TARURA Dar yaendelea na ujenzi wa miundombinu ya barabara iliyosimama kutokana na mvua

    Imeelezwa kwamba uwepo wa mvua nyingi jijijini Dar es Salaam imepelekea ujenzi wa barabara katika maeneo yenye zabuni kusimama kufanya kazi katika kipindi cha miezi miwili. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Geofrey...
  12. BigTall

    KERO Responded Je, TARURA Morogoro wapo likizo au hakuna bajeti ya ujenzi wa barabara? Wakazi wa Manyuki tunapata shida

    Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA). Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
  13. DodomaTZ

    PreGE2025 Meneja wa TARURA - Sengerema ampongeza Eric Shigongo kwa kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara Buchosa

    Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Francis Prosper, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa hatua yake ya kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, akiahidi ushirikiano...
  14. N'yadikwa

    KERO Barabara za mitaani za lami Dar zimetoboka sana, TARURA changamkeni

    Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi. Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo. Kwa sasa, jiji linakabiliwa na msongamano mkubwa wa magari kutokana na ujenzi wa miundombinu ya...
  15. Ryzen

    Aende wapi kati ya TARURA kwa Mkataba ama HALMASHAURI ila Perment!

    WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada. Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI. TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati...
  16. D

    Kuna wezi na matapeli wana vitambulisho na sare za Tarura feki wanatembea na boda au bajaji wanakamata madeni na wrong parking

    Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
  17. Waufukweni

    Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  18. K

    KERO Wakazi wa Matosa Uzaromoni – Goba tuna changamoto ya Kalavati, huu mwaka wa pili TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’ Tumelalamika sana...
  19. Determinantor

    Ni Lini TARURA watalipa wakandarasi? Tumechoka sasa

    Kuna mambo yanaumiza Sana, wanatangaza tender, mnaomba tena mnalipia, unapewa KAZI unaambiwa ukaanze KAZI. Unakopa, unafanya KAZI zao, wanakuja wanakagua, wanakwambia maandalizi ya Interim payment certificate (IPc), unaenda unasaini ili ulipwe uendelee na KAZI iliyobaki. Subutuuu hakuna hata...
  20. Insidious

    KERO Ubovu barabara Tabata Kimanga

    Kwa Yeyote Anayehusika, Ninaandika barua hii kama mkazi wa Tabata Kimanga aliyechanganyikiwa, nikilazimika kupaza sauti yangu dhidi ya hali mbaya ya barabara ya Tabata Kimanga. Kwa moyo mzito na hasira inayochemka, ninawasiliana nanyi, mamlaka ambayo imepewa jukumu la kuhakikisha ustawi na...
Back
Top Bottom