tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024

    21 January 2024 Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024, kufuatia mwaliko wa Rais wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini uandamane tarehe 24 Januari, 2024

  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amelazimika kukatisha kuangalia Afcon huko Ivory Coast ili kuwahi maandamano ya Amani yaliyotangazwa na Chama chake , yatakayofanyika tarehe 24/01/2024 mapema asubuhi. Akizungumza na vyombo vya habari vya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kushirikiana na Jeshi Kufanya Usafi Tarehe 23 na tarehe 24 Ili kuwela mazingira Safi ya Maandamano

    CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI "Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  8. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi

    CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23. Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi. Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu Mapya ya Chama Mikocheni

    Mwamba wa Siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ambacho ni Chama kinachoungwa mkono na watu wengi zaidi nchini Tanzania, huku takwimu zikionyesha kwamba kina wanachama hai zaidi ya mil 15, atazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Neno la Leo Januari 10, 2024: Maombi Yenye Nguvu

    Naye Eliya akapanda juu mpaka kilele cha Karmeli; akasujudu kifudifudi, akainama uso mpaka magotini. Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu.*Naye akanena, Enenda tena mara saba. Ikawa mara ya saba akasema, Tazama, wingu...
  12. JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi TAA la Tarehe 01/09/2023

    Habarii wanaJF, Ni takribanii miezi minne imepita tangia Tanzania airports authority (TAA) watoe tangazo la nafasi za kazi tarehe 1/09/2023 ajira za mkataba kwenye kada mbalimbali. Lakini mpaka ninapoandika Uzi hapa hakuna taarifa yeyote kama watu waliishaitwa kwenye usailii au wapo kazini...
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia tarehe 03 Januari 3, 2024 (kipindi cha pili)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  15. JamiiForums Tanzania Tarehe 3 January 24 saa 8:17 mchana Mbagala joto ni nyuzi joto 34

    34°C
  16. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wasichana wa mwanza hawakumbuki namba zao za simu

    Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake. Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period? Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mji wa Auckland New Zealand tayari sasa ni sa 8 na Nusu Usiku ya Tarehe 1, Januari 2024.

    Wakati wengine tukiendelea kusubiri mwama mpya, Auckland New Zealand tayari walishaanza mwaka 2024 masaa 2 yaliyopita. Auckland wako mbele yetu zaidi ya Masaa 8, GMT+13. https://twitter.com/AP/status/1741427952116506698?s=19
  18. JamiiForums Tanzania Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Ofisi za TRA zitakuwa wazi siku yavtarehe 30 na 31 Desemba ,2023 ili kuweza kuwahudumia wananchi na walipa kodi
  19. JamiiForums Tanzania Tunakumbushana tu Sherehe ni tarehe 1 Januari, 2024 na tarehe 2 Januari, 2024 Mabosi wanatuhitaji tukaendelee Kuwajibika Maofisini sawa?

    Sasa Wewe Gambeka ( Lewa ) sana tarehe 1 Januari, 2024 ukidhani Sherehe ipo hadi tarehe 2 Januari, 2024 kisha tarehe 3 ukienda Kazini ukute tayari Nafasi yako imeshazibwa na Mfanyakazi mpya uanze Kulia na kuanza Kuhangaikia kutafuta Wahubiri mbalimbali Wakuombee ili urejee Kazini au uanze kukita...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimae Ukraine imesherehekea Christmas tarehe 25 December kwa mara ya kwanza katika historia

    Merry Christmas wakristo wote. Ni furaha iliyoje kwa wa-ukraine kusherekea sikukuu ya krismas tofauti na utaratibu wa awali waliokuwa wanatumia kutoka kanisa la Orthodox huko Russia yaani tarehe 07/01 kila mwaka. Many Ukrainian Orthodox Christians are celebrating Christmas on 25 December for...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…