tarakilishi

  1. F

    Nilitapeliwa nikinunua tarakilishi

    Nikiwa dar nilikutana na mtu anauza tarakilishi alinionyeha ikiwa ndani ya mfuko na akaniharakisha ili tusishikwe na polisi.Aliitisha laki moja pekee. Kufika nyumbani nilipata nimeuziwa tarakilishi ambayo haifanyi kazi ya zamani
  2. authjeremmy

    Mfumo wa Matumizi ya Tarakilishi (Operating System) kwa Lugha ya Kiswahili

    Salamu kwenu wote. Jina langu ni Jeremiah Rotich, kutoka nchi ya Kenya. Ningependa kuchukua fursa hii kuwatangazia kuwa nimeanzisha shirika/ mradi linalowania kutengeneza Mfumo wa Matumizi (Operating System) kwa lugha ya Kiswahili. Wengine wenu mnaweza kuwa mnafahamu uwepo wa kilinux...
  3. Tukudzi

    Jinsi ya kubadilisha lugha ya kompyuta iwe Kiswahili

    Ungependa kubadilisha lugha ya tarakilishi yako kutoka Kimombo hadi Kiswahili? Ungependa kutumia Microsoft Office kwa Kiswahili? Basi fuata maagizo haya. Kitu cha kwanza unachofaa kujua ni kuwa Windows hutumia faili aina ya LIP (language interface pack) kuwezesha lugha zisizo Kimombo kuonyeshwa...
Back
Top Bottom