tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba AONYA MAPINDUZI Tanzania

    15 November 2025 https://m.youtube.com/watch?v=taaPPz2Df0Y Prof. PLO Lumumba achambua kuhusu washauri wahuni, machawa wanaosema Mama usisikilize kelele za vijana GenZ, vijana hao GenZ ni genge lisilojielewa, wababaishaji, hawajui wanadai nini, watapoa tu, 912 hawatatokea katika maandamano...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Asilimia 56.7 ya wabunge wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni wapya

    "Takwimu, zinaonesha kuwa wabunge 223 kati ya wabunge 393 sawa na asilimia 56.7 ni wabunge wapya kabisa. Aidha, asilimia 45 ya wabunge wote ni wanawake." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bungea la 13
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imeunga mkono ajenda zote katika Mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
  4. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tafakuri ya Waraka wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)

    TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC) ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025 Mwandishi, H.M Mponda (Msema Kweli) MA, Digital International Relations & Diplomacy Mtanzania Mzalendo. Utangulizi. Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  6. JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania linahitaji "inner engineers" wakati huu kuliko wakati wowote ule: Tumevuta nguvu hasi " negative energy" kwa kiwango kikubwa sana

    Wapo wapi "Mystic figures" wa Kitanzania wakati huu?. Yapo wapi mafundisho na mafunzo ya kujitambua badala ya kutambulishwa? Wapo wapi watu watakaosaidia wasijua kusudi la uwepo wao kulijua kusudi hilo kama anavyofanya Sdhguru India?. Je tuna tayari wa kuwasikiliza? Wapo wapi watu watakaofunua...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naomba niongee na vijana wa Tanzania, Gen-z

    Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii.. Najua mioyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote.. Yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na...
  8. JamiiForums Tanzania Unafikiri hili litawezekana kwa siasa zetu za Tanzania?

    Nimewaza: Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri? Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa mbunge na waziri na kisha kukabidhiwa wizara ya katiba na sheria. Vipi kama Mh. Lissu ataliongoza...
  9. JamiiForums Tanzania The Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCEJIC) Acheni Tofauti Zenu (CCT, TEC, BAKWATA) Kaeni pamoja

    Utangulizi The Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCEJIC) ni mpango wa ushirikiano ulioundwa na mashirika makuu ya kidini nchini Tanzania: Baraza la Kikristo Tanzania (CCT) Mkutano wa Maaskofu Tanzania (TEC) Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA)...
  10. JamiiForums Tanzania DW: Tanzania yakosolewa kwa msako dhidi ya wanaoonyesha upinzani

  11. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuliwasaidia Waganda kumuangasha Dikteta Idd Amini. Je ni zamu ya Wakenya kuwakomboa kutoka kwa Museveni?

    Historia Huwa inajirudia Baada ya Dikteta Museven na mwanae kuishiwa hoja za kisiasa anataka atengeneze tatizo la nje Ili wanachi waondoe focus kwenye changamoto za utawala wake wa ovyo. LEngo ni kutaka kuwaonyesha wananchi wake kwamba yeye ndo mzalendo Kwa kudai madai ya mfalme ujuha au...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's Blueprint: 11 Ports and the Grand Rail Network Reshape East African Trade - Tanzania vs Kenya Trade Battle

    Tanzania is advancing its ambitious vision to become East and Central Africa’s premier logistics and trade hub. At the heart of this strategy is the massive integration of 11 key ports—on the Indian Ocean, Lake Victoria, Lake Tanganyika, and Lake Nyasa—with a modern, unified railway system...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  14. JamiiForums Tanzania Hatutaki maridhiano yoyote na huu utawala batili tarehe 09 tunatoka

    Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano! Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu anataka kufanya uchunguzi yaani ajichunguze yeye!! 1. Amekwepa kuomba radhi kwa ukatili uliofanywa na...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: EAC ipitiwe upya - Kenya aondolewe uwanachama kwa vurugu au Tanzania ibaki na SADC tu iachane na EAC

    Mwaka 1977 jumuia ya Africa mashariki ilikufa lakini msababishi alikuwa ni huyuhyu anayeleta vurugu Leo, Sioni haya ya kuwa na regional integration ambayo Haina Tija ambayo inaendesha harakati za vurugu ndani ya jumuia. Ni vema juumu Kama Taifa tuangalie hili swala huku tukikumbukua kuwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania tuwazuie Diaspora uraia pacha rasmi

    Nimeona kwenye club house watu wengi wanaochochea watu kuandamana na kuichoma Tanzania ni Watanzania wanaoishi nje tena wengi wakiongea vingereza vyao vya kuokota okota na kutafuta via accent vya kuibia NAISHAURI SERIKALI IFUTE KABISA ULE MPANGO WA URAIA PACHA, PILI HATA HADHI MAALUM IACHANE...
  17. JamiiForums Tanzania Ukisoma Historia ya Tanzania toka mwaka 1961 mpaka sasa, Tanzania si nchi ya kutishwa na Gen Z, hawa wanadhibitiwa na migambo tu na Dunia ione

    Duniani hakuna adui mkubwa Wala mdogo lipokuja swala la amani ya Taifa, Leo tunaona wageni wanafanya vurugu nchini huu uhuru wanautoa wapi? Tuionyeshe kuwa Tanzania si nchi ya kuichezea kiusalama, waone umoja wa waTZ tukipigania masilahi ya Taifa letu. Ni muda Sasa wa kuionyesha Dunia kuwa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Elite Home Tuition Services – Tanzania Nzima, Karibu tukuhudumie kwa ubora wa hali ya juu

    Tunafundisha wanafunzi wa ngazi zote (mitaala yote) popote ulipo Tanzania. Tuna walimu wenye uzoefu, waaminifu, na wanaojali maendeleo ya mwanafunzi. ✔ Masomo ya sayansi na arts ✔ Mitihani ya NECTA, Cambridge, na IB ✔ Pia tunatoa huduma za tuition kwa watoto wenye uelewa mdogo Wasiliana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa roho kwa yanayojiri Tanzania

    Unajua mauaji yaliyotokea katika ulimwengu wa roho yalipangwa? Muaji alishakubariana katika ulimwengu wa roho ili aweze kutoa kafara ya sadaka, kwa wanaotizama kwa jicho la tatu hilo wanalijua. Lakini wale wenye macho matatu wameshajua mpango mzima na muuaji nguvu zake zimeanza kupungua hana...
  20. JamiiForums Tanzania Wiki mbili baadaye, jumuiya ya kimataifa bado haijawatupa mashujaa wa Tanzania

    Ni vigumu sana kuua maelfu ya watu pasipo na sababu, hususan kwenye zama hizi, halafu utegemee dunia ikae kimya. Sasa hivi dunia imeingiliana sana. Litokealo sehemu moja basi jua kuwa litawagusa tu na wengine waliopo sehemu zingine. Ukweli ni kwamba Tanzania kwa sasa haina vyombo vya habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…