tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee wananchi hupenda kuwaona watoto wa marais hawaendelei

    Huwezi amini kuna mahala nipo sasa hivi naambiwa waziri mstaafu wa kilimo kwa KUSHRIKIANA na Mtoto pendwa Abdul wananunua CHOROKO🤣😂 NAKUMBUKA enzi za Jakaya tuliambiwa Rizi ndo mmiliki wa masheli mengi Tanzania nakumbuka mpaka alijitokeza kukanusha. Sasa tunaambiwa masheli yamehamia kwa Abdul...
  2. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
  3. JamiiForums Tanzania Larry Madowo -A kenyan journalist with a smear campaign against Tanzania

    He lives a very laxurios life of travelling.! Currently he has one mission that is to smear the image of Tanzania as a tourist destination. He is supposedly undercover operative who use CNN to his country advantage aiming at destroying Tanzania economy.In recent investigations the Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Waandi wa habari wa Tanzania

    Wakuu haki na amani iwe kwenu. Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na lawama kwa waandishi wa habari wa Tanzania baada watu kuona kuwa wanaripoti habari zenye mwelekeo moja wa kuitetea serikali na kunyamazia habari zote zinazokosoa au zenye tafsiri hasi kwa serikali. Habari za kiuchunguzi dhidi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Government's response to CNN's investigative story on 2025 post-election violence

    TRANSLATED from Swahili: STATEMENT BY THE CHIEF GOVERNMENT SPOKESPERSON November 23, 2025, Dar es Salaam. Greetings & Purpose of the Meeting Fellow Journalists, we have met here today for one purpose: to discuss issues that have emerged following the breach of the peace on October 29, 2025...
  6. JamiiForums Tanzania Mwelekeo Hatari wa Tanzania: Pale Upendeleo wa Ukoo Unapogeuka Njia ya Kuteka Nchi Sauti Inayotoka Mtaani. (NEPOTISM)

    Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi. Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Anjari ni salama kwa afya za watumiaji hasa huko Tanzania?

    Kinaitwa Anjari aka Heltho. Kuna wakati nimewahi kunywa kama mara 3 hivi. Juzi juzi nilikuja Bongo nikapewa nyumbani kwa jamaa yangu mmoja. Sikuweza kataa nikanywa. Swali je kinatengenezwaje? Yaani wanachanganya nini na nini? Je hakina madhara kiafya? TBS huwa wanalala na wale wa chakula na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  10. JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu jamaa anatafuta umaarufu au yeye haishi Tanzania?

    Wakuu hamjakutana na huyu jamaa anajiita mkaka wa Taifa sijui, huyu jamaa anatafuta umaarufu au haishi Tanzania? So anajali ajira za wachache kuliko vifo vya maelfu ya Watanzania ambao kila siku vinazidi kushika namba. Huyo Mange mnaemshutumu hatekwi huyo, huyo haishi maisha magumu, hata akisema...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC: Mwenyezi Mungu ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania. Ameniambia atamalizana na wanaopanga kuliangamiza Taifa

    Mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook ameweka wazi maono ambayo amedai kuoneshwa na Mwenyezi Mungu. "Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba njama zote za kuivuruga Tanzania hazitafanikiwa! Amenionesha kuwa ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania na...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ndani ya wiki 2 wameshatekwa watu maarufu 2 "MC Pilipili & Clemence Mwandambo", watanzania ujinga utaisha lini?

    Sasa hivi kutekwa imekuwa kama kombolela tu. MC pilipili kutekwa kapigwa na kuuwawa & Clemence Mwandambo kutekwa Hakujawai kuwa na kauli madhubuti ya mamlaka dhidi ya watekaji, kila siku watu wanatekwa watu wanajifanya kutojali
  15. JamiiForums Tanzania Watalii 48,000 ndan ya wiki 2, Utalii Tanzania unapaa zaidi

    https://dailynews.co.tz/tourism-rising-tanzanias-beauty-outshines-noise/ Idadi ya watalii imezidi uwezo wa kawaida unaotegemewa, hoteli zote zimejaa mpaka january
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mbona ni kama Wakenya wameshinda Tanzania akili?

    Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo. Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
  17. JamiiForums Tanzania Tanganyika ndio iliyopata UHURU tarehe 9 December, 1961 sio Tanzania, Tanzania haikupata UHURU

    Naona watu wanachanganya sana. Nimejaribu kuwakumbusha.
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Marekani kuchunguza suala la raia wake kudaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania

    Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania. je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo ================= Marekani imesema...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge linao wajibu wa kujadili Kikundi cha wabunge wa EU wanaoichafua Tanzania

    Ipo haja bunge letu likawajadili maseneta na wabunge wa EU ambao kila mwaka huzua taharuki na kuisema vibaya Tanzania. Bunge letu kukaa kimya ni sawa na kuwaunga mkono wahuni hawa amnao hawachoki kuandaa sinema za uongo dhidi ya Tanzania. Ikibidi wapigwe persona non grata !!
  20. JamiiForums Tanzania Landing Rights for satellite launching in Tanzania

    Ili kuweza kurusha maudhui ya satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahusika walipata kibali? Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??au kuvamia anga la Tanzania?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…