tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania We Want: A Free Hydrocephalus Nation (A Practical Approach)

    In 2016, Furaha gave birth to a daughter called Upendo. Instead of expressing delight, her husband, Mashaka reacted angrily, beating Furaha until he chased her out. This is because Upendo developed meningitis shortly after birth, resulting in Hydrocephalus, a disease in which fluid accumulates...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili

    Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili Utangulizi Afya ya akili ni sehemu muhimu ya afya na ustawi wa jumla. Hata hivyo, nchini Tanzania, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa au kudharauliwa. Hii imesababisha pengo kubwa la huduma, na kusababisha mateso yasiyo ya lazima...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Mfumo wa Haki Usio na Uonevu

    Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Tanzania yenye Haki na Usawa Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa katika mfumo wetu wa haki. Watu wasio na hatia mara nyingi hufungwa jela, wakati wahalifu wanakimbia...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania we want: Election of Public Servants from Citizens

    In Tanzania, the President appoints many public servants. This article argues that a shift towards an elected public service is necessary for robust democracy, increased accountability, and improved service delivery. While presidential appointments offer some advantages, the benefits of a...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya RCH 1 card, kuimarisha afya za watoto na kukomesha ongezeko la udumavu Tanzania

    Chanzo: Adequate spacing between births may reduce stunting in children, Study Utangulizi: Afya ya watoto ni muhimu sana kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, tatizo la watoto wafupi limekuwa changamoto kubwa nchini Tanzania. Watoto wafupi wanaweza kukumbwa na matatizo ya...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 The Tanzania we want: CSR for Sustainable Education

    Tanzania faces a significant challenge, as there is a substantial gap in educational access and quality as it has been seen since Independence. While the government strives to improve the educational system, there's a crucial role for businesses to play. Corporate Social Responsibility (CSR)...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii dawa ina matumizi gani na inapatikana maduka ya madawa Tanzania kwa bei gani?

  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Mpya yenye mabadiliko ya maendeleo na kujali raia wake

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa amani katika nchi yetu ya TANZANIA pia nawashukuru JAMIIFORUMS kwa kuweza kuandaa hili shindano ambo litaleta mawazo ya kufikia kwenye TANZANIA TUITAKAYO miaka ya mbele. Pili katika kuzungumzia mjadala wa TANZANIA TUITAKAYO napenda...
  9. JamiiForums Tanzania Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania iamue kati ya kuwa maskini sasa na kuwa tajiri baadae au iwe tajiri sasa na kuwa maskini baadae

    Afrika na Tanzania imepokea maelekezo na misaada mingi sana kutoka nchi na mashirika kutoka nchi za Magharibu lakini umaskini bado umegandamana na ngozi zetu. Hii inaonyesha kuwa hii sio misaada ya kweli bali ni mitego/chambo tu katika kuporwa rasilimali zetu, sio misaada ya kutukwamua. Tuamue...
  11. JamiiForums Tanzania Unafahamu kwanini matajiri wa Tanzania wanaogopa kumiliki ndege binafsi

    Matajiri wetu TZ wanaangalia hasara kwanza itakayotokea, halafu ndege ina umri wa kutumika. Rick Ross ndege yake imezingua
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?

    Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni kizuizi kikubwa kwa maendeleo yetu, kwani inakatisha tamaa uwekezaji, inasababisha ukosefu wa usawa, na...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ingekuwa mmliki wa real estate nyingi ili kupunguza ujenzi wa ovyo na unafuu wa kodi

    Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga. Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama...
  14. JamiiForums Tanzania Kutoboa Tanzania hakikisha uchawi na ushirikina

    Hizi sehemu zenye kugombania gori kuanzia madukani, michezo, sanaa, mziki, ajira, siasa, sokoni, madini, uvuvi n.k bila uchawi na ushirikina kutoboa labda umeshika dini sana au kwenu ukoo uko vizuri. Naeleza ili nilikuwa halmashauri moja yani swala la chai hakuna mtu anayetaka kupewa chai...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ifanye mageuzi katika sekta hizi ili kujiimarisha

    Tanzania ni nchi iliyozaliwa miaka 60 iliyopita baada ya muungano wa Serikali mbili, serikali ya Tanganyika na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibari mwaka 1964. Tokea Muungano mpaka sasa nchi yetu imeongozwa na awamu sita za viongozi (maraisi 6) wakiwemo maraisi watano wakiume na mmoja mwanamke...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Mpya: Mambo ambayo tunapaswa kuyafanyia mageuzi

    ELIMU: Tunajua kuwa elimu ni kitendo kinachohusishaa masuala mazima ya mabadilishano au urithishwaji wa maarifa, mawazo na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwinginee ay jamii moja kwenda kwenye jamii nyingine. Katika TANZANIA tuitakayo tunatakiwa kubadlishaa mfumo wa elimu kuwa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kenya inatumika sana kwa tanzania sema ujasusi umelala kwa ufupi

    Kipindi cha ukoloni kenya ndio ilifanya ujerumani ikaondoka sababu mwingereza alitaka kwa nguvu nchi hii na akafanikiwa. kipindi cha kutafuta uhuru nchi nyengine mfano south afrika ,kenya iliusika sana na makaburu ili tuweze kushindwa kuwasaidia wapiga uhuru huko. Umoja wa afrika mashariki...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyesema tanzania IQ yetu ni ndogo ni kweli

    Ni kweli kabisa na siwezi kumpinga ili kuhusu IQ yetu tulivyo watanzania.Watanzania kuna sehemu wakoloni wakati wanatugawa waliona akili zetu sio za kongo kuimba mziki wala kenya ubinafsi na kibaraka. Kiukweli ukiishi nje ya nchi ndio unaona kuwa IQ zetu bado zinatatizo mfano utendaji wetu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo utakaoboresha ukusanywaji wa kodi na nchini (Tanzania)

    Utangulizi Takwimu za mapato yakuswanyayo na shirika husika (TRA) katika maeneo/shughuli mbalimbali, zimeonekana kupaa juu siku hadi siku na hii imechochewa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali katika kutoa elimu kwa wauzaji na wanunuzi wa bidhaa/huduma mbalimbali,,,, Sambamba na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hili lililotokea leo kwenye mechi kati ya Simba na Tabora basi Tanzania na Africa hatuwezi kusonga mbele kwenye mpira

    Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo. Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa. Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…