tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania CV za Mawaziri wa Afya kutoka nchi baadhi za Afrika

    Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya nchi mbalimbali Africa. Nilipomaliza kuisoma hiyo document kwanza nikajiuliza, ni nani aliyeandaa doc...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema mkoa fulani maisha magumu vyakula gharama juu ilihali tanzania nzima bei za vyakula vikuu ziko flat rate

    Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500 Mahindi kilo utakuta 700-1000 Maharage utakuta 3000-3500...
  3. JamiiForums Tanzania Wakala wa Air Tanzania ~ Comoro wakutana na balozi Yakub

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakub amekutana na kufanya mazungumzo na wakala rasmi wa Air Tanzania hapa Comoro ComAir waliowakilishwa na Ndugu Kamarouddine Waziri Zamane pamoja na Maafisa wa ATCL walioko Comoro Bi. Esther J Mahiga na Bw. Boudra Fahit. Mazungumzo yao...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=2hnFr5PaqRs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 29 Agosti, 2024.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaunga Mkono Mkakati wa Kikanda wa Usalama wa Afya na Dharura (2022-2030)

    TANZANIA YAUNGA MKONO MKAKATI WA KIKANDA WA USALAMA WA AFYA NA DHARURA (2022-2030) Tanzania inaunga mkono mkakati wa kikanda wa usalama wa afya na dharura kwa kipindi cha 2022–2030 kupitia hatua za utekelezaji wa miradi muhimu, kuanzisha mpango wa wafanyakazi wa afya ya jamii ulio jumuishi na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani yenye huduma nzuri Tanzania?

    Umuofia kwenu! Kwa hapa Tanzania ni benki gani ambayo ina huduma nzuri kwa wateja wake kuanzia kwenye branch zao mpaka online. Benki isiyosumbua wateja kwa huduma na makato ya hovyo hovyo mpaka mtu unajuta wakati pesa ni zako na umezitafuta kwa jasho. Wandugu tupeane ushauri pesa zetu wenyewe...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  8. JamiiForums Tanzania Prius/Aqua Forum Tanzania

    Wananzengo za asubuhi. Wale tunaomiliki Prius/ Aqua tujuane. Tuambiane na kusaidiana changamoto za mazuri kwenye gari zetu kwa wanaomiliki na kuwapa hamasa ambao bado hawajamiliki wakaribie wafurahie 20km/l Tutafungua telegram chanel yetu kwa watakao kuwa interested waje inbox ni wa add
  9. JamiiForums Tanzania Comoro na Tanzania ushirikiano ni imara

    Balozi wa Comoro nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui ametembelea Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni, Comoro na kufanya mazungumzo na Balozi wake, Mhe. Saidi Yakubu. Katika mazungumzo hayo, Mhe. Balozi Badaoui ambaye pia ni Amidi wa Mabalozi nchini Tanzania alitumia fursa hiyo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania “I am the state”- book launched in tanzania exposing state house corruption, abuse of power- another in the making

    Waandishi wajiandae kuandika kitabu kipya kingine " I am The State part II" “I AM THE STATE”- BOOK LAUNCHED IN TANZANIA EXPOSING STATE HOUSE CORRUPTION, ABUSE OF POWER
  11. JamiiForums Tanzania Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, mmekuwa ni kikwazo kikubwa cha ujio wa Starlink

    Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, nikama kuna tatizo kidogo kwenye bongo zenu kuhusiana na Starlink Waafrika siku zote ni kama tuna laana linapokuja swala la kutumia akili ndiyo maana wenzetu rangi nyeupe watazidi kuwa juu Kampuni ya simu ya Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

    Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
  13. JamiiForums Tanzania Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  14. J

    JamiiForums Tanzania Huu mkopo wa Korea kwa Tanzania unatisha

    Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa. Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa. Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Matajiri wengi katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, huwekeza kwenye miradi ambayo huenda isilete manufaa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi

    Matajiri wengi katika nchi zinazoendelea, kama Tanzania, huwekeza kwenye miradi ambayo huenda isilete manufaa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi. Kwasababu:- 1. Kutegemea Usindikaji wa Pili na Sekta Zinazotegemea Uagizaji wa Bidhaa kutoka Nje Kutegemea Uagizaji: Mabilionea katika nchi kama...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Kifahari ya Uarabuni (UAE) Yahusishwa na Uwindaji Haramu Tanzania

    Watoa taarifa wakizungumza na Mongabay wameripoti visa vya ujangili kwa miongo kadhaa nchini Tanzania vinavyohusishwa na kampuni ya uwindaji wa kifahari inayohudumia matajiri na familia ya kifalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu. Watoa taarifa hawa ni kutoka kampuni ya Ortello – wakati mwingine...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo yanapaswa kufanywa ili kuhakikisha Uwajibikaji kwa Vyombo vya Dola

    Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa: 1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
  18. JamiiForums Tanzania Tusaidieni kupata kadi za NIDA ndani ya muda mfupi

    Yani kati ya kitu kimoja kikubwa Tanzania imeshindwa kutoa huduma yake kwa angalau hata asilimia 30% ni huduma ya NIDA yani huduma hii imekuwa tatizo kubwa sana kwasababu inaweza pelekea mtu kukosa kuendelea na masomo sababu ya kukosa namba ya NIDA itakayomsaidia mtu aliyemaliza Kidato cha Sita...
  19. JamiiForums Tanzania Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

    Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa. Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kama sehemu ya vituko!

    Kutoka Maktaba!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…