tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

    CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu watanzania 5 walioiteka ndege ya Tanzania wakitaka Nyerere ajiuzulu

    mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
  3. JamiiForums Tanzania Yutong yafikiria kuanzisha kiwanda Tanzania baada ya soko lao kukua kwa kasi

    Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini. Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
  4. JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Pastor Munishi unaotuhumu CCM kupoteza wapinzani, hizi tuhuma hazikumuweka matatani?

    Hizi tuhuma haziwezi kumweka huyu mwimbaji matatani? Nyimbo zake zinaruhusiwa nchini?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni salama sana na tunapaswa kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Ndugu zangu Watanzania, Pamoja na matukio machache yaliyojitokeza hapa katikati,lakini haiondoi ukweli kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana iliyotukuka ya kuhakikisha kuwa Taifa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, Utulivu na usalama wa hali ya juu sana kuanzia...
  6. JamiiForums Tanzania Leo ni 9/11: Tujikumbushe mwanzo wa harakati ulioanzia na shambulio la ubalozi wa US Tanzania na Kenya

    Shambulio la Bomu Dhidi ya Balozi za Marekani (Kenya na Tanzania) Soma pia:FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998 Imepita miaka 25 tangu shambulio la bomu la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi na Dar es Salaam kusababisha maafa na kuacha majeruhi. Waathiriwa hao bado wanasaka fidia kutoka kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Selemani Jafo: Naipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
  8. JamiiForums Tanzania Je ni kwanini Tanzania hairuhusu mgombea binafsi?

    Habari waungwana! Je ni kwanini nchi yetu haimpi nafasi mgombea binafsi kugombea na kushika nafasi mbali mbali za kisiasa ikiwemo ubunge na Urais. kwani kwa maoni yangu hii ya kua lazima uwe mwanachama kwanza kunamfanya kiongozi kuweka kwanza maslahi ya chama mbele kuliko mahitaji ya wananchi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
  10. JamiiForums Tanzania SGR Tanzania

  11. K

    JamiiForums Tanzania Nishati safi ya kupikia: Wengi wanatamani kuanza kutumia gesi lakini hawawezi

    Tanzania inaweka juhudi kubwa kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ambayo inalinda mazingira lakini pia afya ya wanawake na watoto ambao wanaathirika zaidi na matumizi ya nishati ambazo sio rafiki kwa mazingira na afya. Hapa naongelea mkaa, na kuni lakini hata hivyo kwa maeneo ya mijini...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais kama Magufuli ona hapa machache yake

    Hayati Magufuli alikuwa anajiamini sana, ona hapa uthubutu wake 1. Kujenga viwanja vya ndege 2. Barabara zilizonyooka 3. Kupinga waziwazi sera za kibapari kama ushoga nk 4. Kujenga fly over ambazo hadi leo zimepunguza kwa kiasi kikubwa msongamano 5. Hospital za wilaya na mikoa aliziboresha...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Mapendekezo ya Mdahalo kwa Wagombea Urais Tanzania

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama vyote vya siasa, ambao utawapa fursa wagombea kujieleza kwa uhuru bila kuwakilishwa na chama chao...
  14. JamiiForums Tanzania Hii siyo Tanzania tunayoihitaji

    Ndugu zangu wa Tanzania tumuombe Mungu aturejeshee Tanzania Yetu tuliyokuwa Mayo 1: Tanzania itakayothamini na kuheshimu utu wa watu wote 2: Tanzania itakayothamini na kuheshimu uhai wa watu 3: Tanzania isiyowazuia watu kuongea na kujadili Hali ya nchi Yao bila hofu ya watu kutekwa 4: Tanzania...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Jina la Taifa Stars libadilishwe badala yake liwe Tanzania Stars

    Hili jina la Taifa Stars halina maana yo yote wala halitambulishi nchi ya Tanzania kwa sababu limetoholewa kutoka neno la kiingereza "National". Kila nchi ina timu ya Taifa, kwa hiyo kutofautisha timu ya nchi moja na nyingine inapewa jina ambalo linatambulisha Taifa husika au nembo ya nchi...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuuawa kwa Mzee Ali Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi

    Hili liwe angalizo kwa Watekaji na Wauaji na Viongozi wa Nchi ya Tanzania Wanaowatuma kuteka na kuua, Kwamba CHADEMA haitavunjika Moyo kutokana na Mauaji ya Mohamed Kibao, hizi mbinu za vitisho kwenye zama za sasa ni mbinu zilizopitwa na Wakati. Mzee Kibao alipokuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanzo endelevu wa kupigania uhuru wa Tanzania kutoka kwa Mkoloni Mweusi, damu ni ishara ya Kafara ya Ushindi Wengine wasichoke kujitoa

    Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa wapendwa wao. Dunia haikuachi salama ikiwa umetenda ubaya,ipo siku Tanzania itazinduka kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Tanzania na Korea Wakutana, Kushirikiana Katika Ujenzi wa Miundombinu

    MAWAZIRI WA TANZANIA NA KOREA WAKUTANA, KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU. Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Waziri wa Ardhi, Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya...
  19. JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu azungumza na Radio UFM Tanzania kuhusu biashara baina ya Comoro na Tanzania

    Mahojiano ya Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Othman Yakubu na Radio UFM kuhusu biashara baina ya Comoro na Tanzania na Ziara ya Shirika la Uzalishaji mali la Jeshi la Kujenga Taifa - SUMA JKT. Pia, soma: Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama...
  20. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini

    10 September 2024 Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania; "Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…