tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Katika ajira hizi mpya za uwalimu, serikali inaitaji walimu 6 tu, Tanzania nzima katika soma la Economics

    Kwanza imenibidi nicheke, Ndugu yangu kaniomba hapa nimpe ushauri hasa ajaze mkoa gani kati ya iringa, morogoro na Dodoma kwa ajili ya oral interview... Yeye ni mwalimu wa Economics, sasa nikamuuliza kwani kwa ujumla mnaitajika walimu wangapi katika hilo somo? Ndiyo ananiambia kuwa Tanzania...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maprofesa, na viongozi waandamizi Tanzania wanakwama kujiari kwa sababu ya kuwekeza fikra kuajiriwa hata wanapostaafu

    Siku viongozi wastaafu wataacha kuteuliwa kwenye nafasi mbalimba itawasaidia sana kujiandaa kustaafu kwa angaliu kuwa na kipato chakuwawezesha kuishi uraiani kwa miaka mitano Viongozi wengi waandamizi wa serikali wanaishi kwa kuhudumiwa kila kitu na serikali. Wakistaafu wanajikuta hawana...
  3. JamiiForums Tanzania TLS: Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu uteulizi wa aina hii?

    Katika muktadha wa siasa na utawala wa Tanzania, suala la uteuzi wa watu kutoka maeneo mbalimbali kuwa viongozi katika maeneo mengine linaweza kuleta maswali mengi kuhusu utaifa, utamaduni, na ushirikiano wa kikabila. Katika kesi hii, mtu aliyezaliwa Zanzibar na kuwa raia wa Zanzibar...
  4. JamiiForums Tanzania THBUB: Tanzania nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria

    Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa taarifa kwenye mamlaka stahiki. "Tunazungumzia Tanzania Nchi inayopaswa kufuata Utawala wa Sheria...
  5. JamiiForums Tanzania Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye swali hoja majibu utayatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu haki nchini Tanzania na falsafa ya...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa moja ya nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani ifikapo 2100, kuizidi Mexico, Japan na Brazil!

    Ifikapo mwaka 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 kubwa zaidi duniani kwa idadi ya watu. Pia Tanzania itakuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Madini na rasilimali nyingi ni mapambo kama huna watu sahihi. Tunatakiwa tufumue upya mfumo wetu wa elimu

    Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
  8. JamiiForums Tanzania Tatu Malogo, mwamuzi mbovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunaamini viongozi lazima wawe masikini au watokane na familia masikini?

    Mtu kuwa maskini Tanzania ni kigezo iikoja wapo cha uongozi kwenye jamii. Kigezo cha umaskini kimefungamanishwa na kilimo hivyo kila kiongozi anaamini ni mtoto wa mkulima na kwamba ni maskini anayekwenda kuwatetea maskini. Matokeo yake masikini amekuwa kila akipata maungo yanalia mbwata means...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

    huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema.. Lakini...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Vitu vinatukwamisha Taifa kusonga mbele, bali yakipungua mambo haya Tanzania ingekuwa tupo mbali mno

    1. YANGA NA SIMBA - Ni burudani iliyogeuka kuwa sumu, inapewa umakini mkubwa sana kuzidi mambo ya kitaifa, ndio maana ligi ikisimama huwa ni ngumu kuzima skendo nzito, Watu wanajua kikosi kizima lakini hawajui chochote kuhusu vifurishi vya bima. 2. Kutumia kiswahili shuleni - Kama taifa...
  12. JamiiForums Tanzania Familia tajiri Tanzania

    Hii imetayarishwa zamani lakini inaweza kutupa idea kidogo kuhusu familia tajiri Tanzania. 1. Schegg family Patrick Schegg. Wana shares CRDB. Utajiri wao $10.9 million 2. Shirima family. Michael Shirima . Precision Air. $12.2 million. 3. Abdul family. Naseeb Abdul Juma Isaac Diamond Platinum...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi...
  14. JamiiForums Tanzania TLS kuandaa kongamano la Kitaifa kuhusu matukio ya kutekwa na kupotea kwa raia nchini Tanzania

    Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00 asubuhi maenoe ya Wakili House, Chato Street, Mikocheni A, Dar es Salaam...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Can this happen in Tanzania?

  16. M

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Tunahukumiwa kifo kwa kuikosoa serikali ya Tanzania

    Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao. Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Tito magoti na Mtangazaji ROlandMabala wote walidai kupokea...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Juma Kassim Kiroboto "Nature" na ngoma ya umoja wa Tanzania

    Juma Kassim Kiroboto, maarufu kama "Nature", "Kibla", "Sir Nature", "Msitu wa Vina", na "Jitu Mwitu", ni jina linalobaki mioyoni mwa wengi kama alama ya sanaa yenye ladha ya uswahili halisi. Kipaji chake kilichotiririka kwa ustadi na ubunifu wa kipekee kiliakisi maisha ya mitaani, yakiambatana...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania inafikiria kununua umeme kutoka Ethiopia

    Kuna mpango kabambe wa kuwezesha kukua kwa kiwango cha upatikanaji/wingi wa umeme...Ambapo nchi yetu ipo katika majadiliano ya kununua takribani Megawatts 100 kutoka nchi ya Ethiopia Chini ya mkakati wa EAPP (Mradi wa kuwezesha nchi za Afrika mashariki kushirikiana na mauziano na usambazaji...
  19. JamiiForums Tanzania NCHI YANGU TANZANIA

    Kama taifa tunaelekea....!!!! Kila kitu ni hovyo tu...ukisikiliza maneno yao unasema yes! Watu ndio hawa, ili ukweli ni hovyo hovyo
  20. JamiiForums Tanzania Je sisi Tanzania tuna Jeshi la Polisi au na sisi tuna GESTAPO kama ile ya Hitler wa Ujerumani?

    Yanayoendelea sasa hivi hapa nchini yamenifikirisha sana na kunikumbusha wakati wa ZCO ACP ya Abdallah Zombe. Baada ya uchunguzi wa Tume ya Jaji ikagundulika kuwa wale waliouwawa na polisi eti ni majambazi walikuwa wafanya biashara na walichukuliwa na Polisi, kufungwa vitambaa machoni kisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…