tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama Aiomba Hospitali ya Queens London Kutoa Ushirikiano Huduma za Afya Tanzania

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiomba Hospitali ya Queens iliyopo jiji la London nchini Uingereza kutoa ushirikiano kwa Tanzania ili msukumo wa kuimarisha huduma za Afya uzidi kuimarika. Waziri Mhagama amewasilisha ombi hilo Desemba 11, 2024 wakati akihutubia mkutano wa uongozi wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kununua injini za disel kuendesha SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa, amethibitisha hilo na kuelezea kuwa tayari kampuni moja imebainishwa kuzalisha...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania tutapata maendeleo lini kama mijadala ni Simba, Yanga na Diamond?

    Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali Story ni Simba na yanga Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali) Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

    Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala. Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo kwa utamaduni wa chama tawala, hii imerahisisha zaidi kumjua Rais ajae ikiwa bado atakuwa hai. Wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Kenya Huwa wanatuzidi vipi kwenye uchumi Tanzania?

    Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi. Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa Lakini nmegundua Kenya Kuna taabu sana, yaani maisha ni magumu, Wakenya wananuka shida Miundo mbinu mibovu, Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania WB Yaikopesha Tanzania Bilioni 284 Za Kuimarisha Jinsia na Kukabilina na Ukatili

    Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana. Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa. Aliyeelewa jinsi huo Mkopo utatekekeza hayo mambo anisaidie.👇👇 --- Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaenda njia panda: Demokrasia vs Udikteta lazima kila mtu mzima achague tupende tusipende

    Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo. Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
  10. JamiiForums Tanzania TSHs hazitoshi Tanzania

    Habari mdau ifuatayo ni meseji ya kampuni moja hapa nchini ikitoa taarifa kwa wafanyakazi wake baada ya malipo kuchelewa. Let it be Kampuni X "HABARI TIMU, TAARIFA MUHIMU! Kuna ucheleweshaji wa mishahara kwa wafanyakazi wanaolipwa kila mwezi. Kampuni X imeshafanya malipo ya Dola za Marekani...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Aongoza Ujumbe Wa Tanzania Mkutano Wa Dharura Wa Mawaziri Wa SADC Organ Zanzibar

    WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA DHARURA WA MAWAZIRI WA SADC ORGAN ZANZIBAR Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Balozi...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kuendelea na Adan maana yake tumezidiwa na rushwa

    Kama kweli tuko serious katika mapambano dhidi ya Rushwa tungeachana na na ADAN ambaye anatuhumiwa kila kona kwa rushwa. Sisi tumesema tunaendelea naye kwasababu wanufaika wa miradi hii ndiyo wenye mamlaka ya maamuzi. Mwisho wa siku mwananchi wa kawaida ndiyr mbeba zigo kulipia hasara...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania! Fake! Dira ya taifa 2050 bila katiba mpya ni kujidanganya!

    Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo. Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo. Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiulizwa kama Tanzania ni nchi ya kijamaa au kibepari utajibu nini?

    Tuliokua chini ya utawala wa Mwalimu Nyerere tuliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Katiba bado inasema hivyo. Ila kimatendo, sijui kama sisi ni wajamaa, mabepari au political hermaphrodite Sijui kusema ukweli. Wanangu nisaidieni ili nikiulizwa lau niwe na la kujibu. Pia, hii...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi uliwahi kujiuliza Tanzania bila chawa na CCM itakuwaje?

    Nchi za jirani kama Kenya, Malawi na Zambia hata zisizo jirani kama vile Botswana wameangusha vyama tawalaa. Soon, Afrika ya Kusini na Msumbiji wanaweza kujikomboa na vyama hivi manyang'au. Je umewahi kujiuliza itakavyokuwa Tanzania bila ya CCM? Je ungetaka mafisadi wa CCM washughulikiwe vipi?
  16. JamiiForums Tanzania Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wabunge wa Tanzania yachapwa Vikapu 67 kwa 38 na Wabunge wa Kenya

    Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ikumbukwe hapo jana, Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira...
  17. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waridhishwa na hatua za Tanzania kukuza uchumi wa kidigitali

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika kutoka Umoja wa Ulaya, Hans Christian Stausboll, ambaye wamejadili naye masuala ya ushirikiano katika uchumi wa kidijitali nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania opposition laments its ‘naivety’ over president as repression intensifies

    09 December 2024 Maadhimisho ya uhuru wa Tanzania makala maalum Makala ya Kimataifa by Carlos Mureithi wa: Gazeti tajwa kimataifa la The Guardian Tanzania opposition laments its ‘naivety’ over president as repression intensifies Recent killings and arrests of government critics suggest end...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Nchi za Mashariki ya kati zinatofauti gani na wananchi wa Tanzania?

    Wamebakia wanasiasa kubwatuka katiba mpya katiba mpya,wengine fulani katekwa,wengine njaaa,wengine kitukana mitandaoni. Upande mwengine umoja wa mataifa na waatabu kwa ujumla wameipa mamlaka nchi ya Israel kuvamia eneo lolote kwa mabavu huku wakibakia kuangalia na wengine kukemea/kubweka kama...
  20. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 11 Desemba, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…