tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kuna aina ngapi za passport za kusafiria hapa Tanzania?

  2. T

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wa Tanzania watapanga kwenye ardhi yao kwa mgongo wa uwekezaji

    Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji...
  3. JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Burkina faso 0: 2 Tanzania

  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa: Hali ya upatikanaji wa umeme nchini imeimarika na kufikia 78.4%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
  6. JamiiForums Tanzania Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

    Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au hayati Tx Moshi?
  7. JamiiForums Tanzania Arab contractor wanakabidhi bwawa la umeme, watu elfu 11 wameshiriki kulijenga, ndio Mradi Mkubwa wa kiuhandisi kuwahi kutokea Tanzania

    Muda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme. Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanyika Tanzania na Africa mashariki yote. 1. idadi ya watu 11856 wamefika rufiji na kushiriki kulijenga 2. Raia wa mataifa 56 tofauti wamefika rufiji kushiriki kulijenga...
  8. JamiiForums Tanzania Moja baada ya mambo yaliyomgharimu Tsishekedi baada ya kuchukua uongozi kutoka kwa Kabila, ni kuiamini Kenya, akaiacha Tanzania

    Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania. Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kwa hoja na Lissu, CCM yahamia kwenye propaganda mfu wakidhani Tanzania ya leo ni ya mwaka 1990

    Baada ya kuona Wananchi wengi wanaielewa hoja ya Lissu na Chadema kuwa bila kufanya Marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu, CCM wamechanganyikiwa kiasi cha kuanza kutengeneza propaganda mfu wakidhani wataweza kuendelea kuwarubuni Watanzania kukubali...
  10. JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii 1.8M, USD3.37 Billion Mwaka 2024 Tanzania ilipata watalii 5.4M, USD 3.67 Billion

    Hizi taarifa za serikali naona kama zinanipa maswali mengi bila majibu. Mei 2024 aliekua waziri wa Utalii Angela Kairuki alisema kwa mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii Milioni 1.8, ambayo ilikua ni ongezeko la 96% kulinganisha na watalii laki 9 wa mwaka 2021...
  11. JamiiForums Tanzania Aina ya udikteta uliopo Tanzania ni Udikteta wa kichama

    Katika aina mbalimbali za Udikteta na sifa zake basi nchi ya Tanzania inaangukia katika Udikteta wa chama kama mfano China. Tanzania haina Udikteta wa mtu mmoja kama Rwanda au Uganda, haina Udikteta wa kijeshi kama Misri,Burkina Faso, haina udikteta wa kifalme au kimalkia, haina udikteta wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kurejesha Mila na Desturi za Tanzania Katika Karne ya Digitali

    Je, Tunaweza Kuweka Utamaduni Wetu hai
  13. JamiiForums Tanzania Local Consultant-UNPRPD, Tanzania Country Office February 2025

    Job Identification24086 Posting Date02/13/2025, 12:44 PM Apply Before02/28/2025, 07:59 AM Job ScheduleFull time Locations Dar es Salaam, Tanzania GradeNOD Vacancy TypeIndividual Consultancy Rotational/Non RotationalNon-Rotational Contract Duration7 months Education & Work ExperienceMaster’s...
  14. JamiiForums Tanzania Nashauri tanzania iingie mkataba wa haraka na congo vijana wa Kitanzania wapate ajira ya haraka

    Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha. Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo kupelekea wengine kushindwa vigezo vya kujiunga na jeshi hilo na wengine kudondokea kwenye mikono ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania WAWEKEZAJI wakuu katika mradi wa gesi kimiminika (LNG) Tanzania, wachagiza mchakato uharakishwe

    WAWEKEZAJI wakuu katika mradi wa gesi kimiminika (LNG) wahimiza Tanzania iharakishe mchakato, mradi Uanze https://m.youtube.com/watch?v=29vTb7IfVy4 Katika viunga vya mkutano huo wa Wiki ya Nishati India ( IEW India Energy Week) naibu waziri mkuu aliye waziri wa nishati mheshimiwa Dr. Doto...
  16. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na Yanga Wangekuwa Wanaijenga Nchi, Tanzania Ingekuwa Singapore: Taifa la Wapumbavu wasioelewa dhana ya Vipaumbele

    Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa. Wanavalia jezi, wanajichora...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna upigaji wa fedha wa kutisha miradi ya Viwanja vya michezo Tanzania.

    Nchini Kyrgyzstan Serikali ya nchi hiyo inajenga uwanja wa kisasa kweli wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu 45,000 kwa gharama za Dola Milioni 60 tu za Marekani sawa na shilingi Bilioni 154 za Kitanzania. Huko Arusha Serikali ya CCM wanajenga uwanja wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania inasimama na nani katika mchuano wa mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa(AU) kati ya SADC na Africa Mashariki(EAC)?

    SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
  19. S

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Ripoti zinaonesha zaidi ya 40% ya Watumishi wa Umma Tanzania hawafanyi kazi

    Waziri anayehusika na utumishi Simbachawene asema asilimia 40 ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo swali kwa nini hawaachishwi kazi? Wapishe wengine? Serikali kwa nini inaendelea kuwakumbatia? ------- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George...
  20. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa akerwa wanafunzi kukaa chini: Nadhani ameingia leo Tanzania

    Maisha ya kibongo ni vituko tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…