tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Waziri wa Ulinzi wa Kenya ni Mwanamke kama ilivyo huku Tanzania

    Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya. Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi. Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
  2. JamiiForums Tanzania Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania

    Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania Jamii Forums, jukwaa maarufu la majadiliano na taarifa, limekuwa na athari kubwa katika kuhamasisha, kuelimisha, na kuendeleza vijana wa Tanzania. Kupitia majukwaa yake mbalimbali, Jamii Forums imeweza kuchangia katika...
  3. JamiiForums Tanzania Rasilimali za kilimo, ufugaji na uvuvi na mchango wake katika uchumi wa Tanzania

    RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa. Miongoni mwa sekta hizi ni kilimo, ufugaji na uvuvi. Sekta hizi zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi kumi bora utajiri na uchumi Afrika

    Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
  5. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna ‘Electoral fraud’?

    Nimejikuta nimemuonea huruma Tundu Lissu. Huruma ni sifa na silka ambazo binadamu hajifunzi. Nilistudy body language ya Lissu kabla na baada ya kupata reaction asiyotarajia kutoka kwa Wahariri. Wahariri wamemwangusha sana Lissu especially Deodatus Balile. Wahariri wa Tanzania sijui mnahariri...
  6. JamiiForums Tanzania Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

    Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi? Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe...
  7. JamiiForums Tanzania Tafakuri kuhusu mchakato wa ajira za walimu na matakwa ya NETO na ushauri wangu kwa serikali Tanzania

    UTANGULIZI Madai ya NETO kuhusu serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaajiri walimu wote wa 2015-2023, Kufuta usaili kwa kada ya elimu yanaonesha presha kubwa kutoka kwa wahitimu wa elimu na maumivu ya mchakato wasasa. Presha hii ni ujumbe wa wazi kuwa watu wengi wanahitaji ajira na...
  8. JamiiForums Tanzania Wasomi wote wasio na ajira Tanzania kazanieni wazazi wenu walioko kwenye ajira walipwe mshahara mzuri na wachukue mafao yanayopatikana baada ya miaka

    Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali sawa kuelekea ukoma wa umri elekezi wa kustaafu (55) na wa lazima (60) ili wanapotoka wasiwe...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwenye jela za Tanzania kuna raia wa haya mataifa ?

    Kama kichwa kinavyosema , je kwenye jela za Tanzania hapa kuna raia wa hizi nchi wanaotumikia kifungo? 1.Marekani 2.uingereza 3.Canada. 4.Saudi Arabia 5U.A.E 6.N.K Tafadhalini naomba mnijuze, Lengo la kuuliza hivi ni.kwa sababu kuna kautafiti kangu binafsi nafanya😊
  10. JamiiForums Tanzania Tuache unafiki , angekuwa hapa kwetu Tanzania mngempa hiyo nafasi?

    Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash...
  11. JamiiForums Tanzania Biblia inasema Fungu la kumi apewe mlawi, Je hapa Tanzania kuna walawi? Je wachungaji ndio walawi ?

    Wakristo wenzangu naombeni majibu. Fungu la kumi ni sheria ya Musa katika agano la kale. kwenye agano la kale Hesabu 18:21 imeandika Fungu la kumi lilitolewa kwa kabila lililokosa ardhi linaitwa kabila la Walawi kwa ajili ya kazi yao katika hema la kukutania. Leo tunaambiwa tupo kwenye agano...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ndiye muanzilishi wa program nyingi zaidi Tanzania kuwai kutokea

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Naona kila kitu imekuwa ni Samia. 1. Madaktari wa Samia 2. Waalimu wa Samia 3. Mitungi ya gas ya Samia 4. Wanasheria wa Samia 5. Shule za Samia 6. Ongezea na program zingine
  13. JamiiForums Tanzania Kuitwa interview Gaming board of Tanzania.

    Habari wapambanaji wenzangu. Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari. Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga. Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
  14. JamiiForums Tanzania Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Watu wanawaza kuwalamba miguu Viongozi na kuwa machawa wao ili waendelee kula. Hawawazi maslahi mapana na Tanzania na kesho njema ya Taifa letu. Viongozi badala ya kuelekeza fedha zikawahudumie Wananchi ikiwemo kununua madawa, kuweka miondombinu bora ya elimu kwa watoto wetu inayohudumiwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji

    Tanzania na Vietnam kuimarisha ushirikiano kwenye biashara, kilimo na uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Viet Nam, Mhe. Le Thi Thu Hang...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

    Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe. Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako. Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Huenda huyu ndio DC anayependwa zaidi Kwa sasa Tanzania

    Akiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza. Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa kuzuia hisia na furaha zao, wakambidhi DC Shaka Zawadi na kumshukuru kwa namna anavyopambania...
  19. JamiiForums Tanzania Je DPP wa Tanzania Anawajibika Kwa Watanzania au wachache waliopo Madarakani?

    Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora. Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
  20. JamiiForums Tanzania Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…