tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
  2. JamiiForums Tanzania Bei ya Dhahabu Inapanda; je Tanzania tunfaidikaje

    Baada ya rais trump kuleta chaos za kipumbavu kwenye uchumi wa dunia, thamani ya dollar ya marekani imetelemka kwa haraka sana na sasa hivi thamani ya dhahabu ndiyo imepanda sana. Je Tanzania iunafaidake na mabadiliko hayo ilihali tuna mogodi kadhaa ya dhahabu?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania. Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa. Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
  4. JamiiForums Tanzania Nani anaiharibu amani ya Tanzania ni Tundu Lissu wa CHADEMA au ni viongozi wa serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi?

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania kwenye Ukarimu wa Uovu (The Banality of Evil )

    MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi .Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye Mauaji ya Mayahudi ( Holocaust) . Chap MOSSAD chini Peter Malkin inafanya international Espionage...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msimamo wa Rais Samia juu ya kurekebisha kanuni, kauli za viongozi wa dini wakati wa pasaka, zinaweza kuipeleka Tanzania kwenye mgawanyiko wa kidini

    Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni. In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna ukabila ila kuna udini ndani ya mfumo wa utawala

    Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti. Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je mitandao ya kijamii inalaghai vyama pinzani?

    Je nitakuwa nipo sahihi au nitakuwa nimepotoka? Nikisema mitandao ya kijamii inatudanganya sisi vyama pinzani Maana ukiaangalia tunavyopata uungwaji mkono mitandaoni ni tofauti na kwenye maisha ya uhalisia uku mtaani wananchi wengi hawana muamko wala uelewa wa mambo ya nchi yanavyokwenda wao...
  11. JamiiForums Tanzania Sheikh Mwipopo: Kanisa Katoliki liliongoza mauaji ya kimbari Rwanda, Burundi na Congo, alionya kupandikiza roho ya chuki za kidini Tanzania

    Sheikh maarufu Tanzania ndugu Mwipopo ametoa onyo kwa kanisa katoliki kwa mwenendo wake wa kupandikiza chuki za kidini, hasa inapotokea Rais ni muislam. Sheikh huyo ametoa mfano wa mauaji ya kimbari Rwanda ambapo kanisa hilo lilikuwa linawakusanya watu makanisani kwa kisingizio cha kuwasaidia...
  12. JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa: Amani ya Tanzania isitetereke kisa tamaa au Siasa

    Nabii Clear Malisa wa Kanisa la Kingdom Embassy ametoa onyo kwa watumishi wa Mungu, wanasiasa na Wakristo wote nchini kuhusu umuhimu wa kutunza amani ya Tanzania, akisisitiza kuwa amani hiyo haipaswi kutetereka kwa sababu ya tamaa au siasa. Akizungumza wakati wa Sikukuu ya Pasaka, Nabii Malisa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake watapigana sana kugombea wanaume watoaji , sababu Tanzania kuna upungufu mkubwa wa wanaume wenye uwezo wa kuhudumia wanawake mahitaji yao

    habari wadau. nina imani wengi tumeona seke seke la mabinti wa chuo kupigana kwa sababu ya kugombania penzi la mwijaku ambaye ni mume wa mtu. kwa hali ilivyo mitaani hayo matukio ya wanawake kugombania wanaume yataendelea kuwa mengi sana. hapa Tanzania kuna wanaume wengi sana ila ni...
  14. JamiiForums Tanzania Nitoe wito kwa umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo serikali ya Tanzania na jeshi la polisi na kusitisha mikopo au misaada yoyote

    Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu. Nitoe wito kwa umoja wa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Samia ni Nero wa Tanzania!?

    Nero ni alikuwa mfalme wa Roma aliyechukiwa zaidi katika historia ya Roma mpaka kupelekea kujiua. Nero ni nani!? Nero alizaliwa dec 15, AD 37, katika makuzi yake akiwa mvulana alipenda sana muziki na sanaa sana sana. Alikuwa mtoto wa Agrippina Nero alimpenda sana mama yake Nero alikuwa mfalme...
  16. JamiiForums Tanzania Jux anafanya wanaume wote wa Tanzania tuonekane wastaarabu kwenye mapenzi

    Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi kabisa Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu. Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi Sasa mdogo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Pasaka hii Ina uhusiano na ujenzi wa nchi ya Kidemokrasia ya Tanzania

    Upatikanaji wa Taifa la Kidemokrasia ni muhimu sana kama kupatikana uhuru wa Taifa. Hatuhitaji kumwaga damu ya Mtanzania yeyote Ili kuwa na Nchi ya Kidemokrasia. Damu ya Yesu Kwa mateso makali ilimwagika Kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. Yesu alishinda kifo na mauti Ili tuwe huru. Tundu Lisu...
  18. JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kupata leseni ya udereva tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ni mitihani gani hupaswa kufanya (nadharia na...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kama Kiongozi wa Uzalishaji wa Mazao ya Kilimo Katika Afrika Mashariki: Uchambuzi Kutokana na Picha ya Satelaiti

    Kutokana na picha ya satelaiti ya eneo la Afrika Mashariki, Tanzania inaonekana kuwa mgombea bora wa uzalishaji wa mazao ya kilimo kutokana na mambo kadhaa ya kijiografia na kimazingira yanayoonekana kwenye picha: 1. Eneo Kubwa la Ardhi Uchunguzi: Tanzania ina eneo kubwa la ardhi ukilinganisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…