tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Nchi 6 za Afrika zinazoongoza kwa Kubeti (Maafisa Ubashiri), Tanzania nusu ya watu wake wanacheza Kamari

    Sekta ya michezo ya Kamari barani Afrika inaendelea kukua kwa kasi, ikivutia wawekezaji, wasimamizi wa sheria na watafiti. Ukuaji huu unachangiwa na idadi kubwa ya vijana, upatikanaji wa intaneti na matumizi ya simu janja. Ripoti ya GeoPoll ya Aprili 2025 inaonesha kuwa idadi kubwa ya watu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwangi afunguka mateso ya kikatili aliyofanyiwa Tanzania, adai ''Tuliambiwa tuvue nguo, tutambae na tuoshe damu''

    Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ametoa simulizi ya kushtua na isiyo na kificho kuhusu masaibu aliyoyapata akiwa kizuizini nchini Tanzania, akieleza jinsi alivyolazimishwa kuvua nguo, kutambaa na kuosha damu mwilini mwake, huku akidai kuwa aliteswa kikatili pamoja...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Tanzania na CCM aliotuachia Magufuri, mama anaushusha kwa kasi kubwa

    Niseme kwamba kalibu kila mtu alimpenda Magufuri watu na raia wa inje walimpenda pia,kila mtu huku inje alikuwa akikuona umetoka Tanzania atataka kukuuliza habari za magufuri,aliipaisha kwelikweli Tanzania na CCM Lakini sasa mama anaiharibia inchi,tunavuma kwa mabaya,tunatia aibu,tunatukanwa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania PAN AFRICAN: AU should investigate Tanzania on a dangerous trend of abduction, enforce disappearance and torture.

    Bado haijaisha mpaka iishe kabisa tulikuwa tunatekana wenyewe sasa tumeingia kimataifa zaidi. We've written to @_AfricanUnion, @achpr_cadhp, @jumuiya, @SADC_News with a copy to international partners demanding immediate action and accountability from @SuluhuSamia on missing activist @AAgather...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya polisi wanahusika na Utekaji wa raia nchini?

    Usione watekaji ni wa chama pinzani wanaotekeleza mipango fichu ili kuipaka serikali matope na wanaitekeleza kwa siri kubwa kiasi ya kuwa hakuna ushahidi. Sasa serikali inakuwa ngumu kuwakamata kiushahidi . Ila hawa G55 inawezekana wanawanalolijua ngojea kampeni huwenda kuna mambo yakajiri...
  7. JamiiForums Tanzania Burkina Faso na Tanzania kuimarisha uhusiano katika Huduma ya Saratani na huduma nyingine kiafya

    Taasisi ya Saratani Ocean Road, leo Mei 22, 2025 imepata ugeni wa kutembelewa na Dkt. Idrissa Traoré ambae ni mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Afya wa Rais wa Burkina Faso pamoja na ujumbe wake. Taarifaya Ocean Road imeeleza kuwepo kwa ziara hiyo ni juhudi na maono ya Dkt. Jakaya Kikwete wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Yashitakiwa Umoja wa Afrika kutokana na kukiuka Haki za Binadamu

    TANZANIA 'YASHTAKIWA' UMOJA WA AFRIKA! Martha Karua ameuandikia barua Umoja wa Afrika kuhusu kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuteswa kwa Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania. Kama majibu ya Tanzania kwa Bunge la Ulaya yalisema Bunge hilo lilipewa taarifa za...
  9. JamiiForums Tanzania Vita ya Tanzania dhidi ya waKenya: Serikali na vyombo vya dola vimekosea sana, kidiplomasia tumeyumba mnoo

    Tuweke ushabiki pembeni, tuseme ukweli. Tujiulize haya maswali muhimu; 1. Hivi kulikuwa na ulazima wa serikali na vyombo vya dola vya Tanzania kuchukua hatua za namna hii? 2. Kulikuwa na ulazima wa Rais kujiingiza moja kwa moja, kichwa kichwa, mstari wa mbele, tena kwa kebehi, dhihaka na...
  10. JamiiForums Tanzania Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  11. JamiiForums Tanzania Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania

    Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba jina la hotel iliyopo Tanzania ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa

    Wakuu naomba mnisaidie jina la hotel yoyote ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa. Best Regards
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeingilia mambo ya nchi zote majirani

    Tanzania imeingilia mambo tena ya kisiasa ya nchi zote hapo chini. Kama hujui kasome historia ya Tanzania. Wanaosema sijui Tanzania hawataki uharakati sisi tulikuwa na wanaharakati hapa kutoka kila nchi. Kamuulizeni Generali Ulimwengu Kenya Uganda mpaka vita Rwanda na Burundi Congo Zambia...
  14. JamiiForums Tanzania Farouk Kibet, msaidizi wa Rutto ataka wakenya wanaokuja Tanzania kufanya mambo ya kihuni wakamatwe wafungwe

    Sasa kumekucha! Mama Samia anaungwa mkono kila upande. Wakija tena sasa hivi breki ya kwanza SegereMatata.
  15. JamiiForums Tanzania Somo la kihistoria: Tanzania inawahitaji sana diaspora katika kuleta maendeleo

    SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Katika kusoma kwangu historia ya dunia, hasahasa ya miaka 300 iliyopita sijawahi kuona popote mabadiliko makubwa yamefanyika ndani ya nchi fulani bila msaada wa Diaspora. Katika miaka 300 iliyopita, mapinduzi makubwa ya kisiasa ambayo ni somo kwa dunia nzima...
  16. JamiiForums Tanzania Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania

    Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ? watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ni wazi watavitumia vyombo vya nchi za nje(Hususani Kenya)kuikosoa vikali Tanzania

    Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania. Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya: Serikali ya Tanzania inatuzuia kuwasiliana na Boniface Mwangi kama sheria za kimataifa zinavyoelekeza

    Wakuu, Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa ============================= Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora imetoa ikilalamikia kukosekana kwa mawasiliano ya...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo wa madini muhimu London

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini. Hayo yalielezwa Mei 20, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akihutubia...
  20. JamiiForums Tanzania Wakenya washangazwa na Ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuwa katika Jengo la Kibiashara

    Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu. Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…