tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
  2. JamiiForums Tanzania Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

    Uchambuzi Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha hiyo kwa sasa hivyo inajeshi lenye uwezo wa juu kuliko Tanzania na afrika kwa ujumla. lakini iran ni...
  3. JamiiForums Tanzania Unafikiri hii itakua Tanzania ya mwaka gani 😅👇

    Picha kwa hisani
  4. JamiiForums Tanzania Ndege zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa za upekee

    Nikiwa Rais wa Tanzania ndege zitatengenezwa hapa nchini Zifuatazo ni sifa za ndege zitakazotengenezewa Tanzania;- Zitakuwa zinatumia motor kama engine Motor hizi ni za kipekee sana zinltakuwa na utofauti na motor zinazotumiwa na magari au rockets Battery zitakuwa na uwezo wa kurecharge huku...
  5. JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na Ubora wa Barabara zinazojengwa Dodoma na Tanzania kwa Ujumla. Kuna harufu kubwa ya Rushwa na Kutojali

    Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi; Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
  6. JamiiForums Tanzania Kulikoni baadhi ya nchi zimechukia kusikia uchumi wa Tanzania unaimarika vizuri sana na inajitegemea kugharamia uchaguzi wake mkuu kwa asilimia 100%?

    Kwani kipi cha ajabu hapo? Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha? Huu ni mwanzo tu. mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa nchi ya kwanza Kusini mwa Afrika na ya nne duniani kwa kuporomoka kwa viwango vya uhuru

    Tanzania imeendelea kufanya vibaya kwenye masuala ya haki na uhuru wa kujieleza ikirudi nyuma kuoka point 35 mwaka 2014 hadi point-38 mwaka 2024. Katika muongo uliopita, uhuru umepungua kwa kasi katika nchi nyingi duniani. Viongozi wa kiimla wamepanua mamlaka yao kwa kubadili katiba...
  8. JamiiForums Tanzania Logoriddim: Naomba Kura Zenu: Shindano la Made in Tanzania Brand

    ‎Mimi Logoriddim (JF - expert member since 2013, nimefanikiwa kufika katika 3 bora ya shindano la kutafuta nembo ya brand ya MADE IN TANZANIA. Shindano hili limeandaliwa na TanTrade. ‎ ‎Shindano limefikia hatua ya kupigiwa kura ili kupata nembo bora zaidi. Kura inapigwa katika app ya Instagram...
  9. JamiiForums Tanzania VPN 3 Bora za Kutumia Twitter na Telegram Tanzania (2025)

    Katika kipindi ambacho baadhi ya mitandao kama Twitter na Telegram hupata vikwazo vya upatikanaji nchini Tanzania, kutumia VPN (Virtual Private Network) ni suluhisho la haraka, rahisi na salama. VPN huficha anwani yako ya mtandao (IP address) na kukupa uhuru wa kutumia mtandao kama uko nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Mtandao wa MTN haupo Tanzania?

    Wakuu, Je kuna sababu gani za Msingi za MTN kutokuwepo Tanzania MTN ni mtandao mkubwa zaidi wa Mawasiliano kwa Africa na Origin yake ni South Africa yeye ndio leading kwa Africa akifatiwa na Vodafone group halafu Airtel Kwa East africa MTN yupo Rwanda na Uganda ila Kenya hayupo ila mtandao wa...
  11. JamiiForums Tanzania Karibu Mahakama ya Tanzania George M. Masaju. Una kazi kubwa sana ya kufanya, Turudishie Mahakama chini ya Ibara 107A ya Katiba

    Kwanza hongera sana kwa Uteuzi wako. Kama sikosei ulipelekwa Mahakama ya Rufani ukiwa na miaka 60. Hivyo sasa utakuwa Jaji Mkuu kwa kipindi kisichozidi miaka 5 kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatamka Jaji wa Mahakama ya Rufani anapaswa kuhudumu katika nafasi hiyo hadi...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi wa Iran auawa na shambulizi la Israel

    Iran Leo wamepata pigo la kuondokewa na Mkuu wa Majeshi kufuatia shambulio la Israel. Apumzike kwa amani Jenerali === Kamanda Mkuu wa Walinzi wa Mapinduzi Jenerali Hossein Salami, ameuawa katika shambulio la Israeli, mashirika ya habari ya Iran Tasnim na Mehr yameripoti, huku televisheni ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Jaji George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, nakuomba pokea ushauri huu ambao mtangulizi wako aliukataa

    Hongera sana Jaji George Masaju, sina shaka kabisa na wewe kuhusu utendaji wako wa kazi, umeandaliwa vizuri, ulikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kazi ilionekana, ukaenda kuwa mshauri wa Mhe Rais na kazi imeonekana, sasa piga kazi sisi vijana wako tunaounga mkono serikali hata kama hatuko...
  14. JamiiForums Tanzania Tourist visa to Tanzania.....

    Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye mfumo wetu wa Visa kwa watalii na ndio sababu kwa sasa watalii wengi wanakuja bila VISA (na ndio msimu umeanza hatujui huko mbeleni itakuwaje?) Wageni wanalipia VISA ila wiki mbili hadi mwezi unapita hawajapata majibu, Status pending/in process? Na ujue...
  15. JamiiForums Tanzania Ongezeko la deni la taifa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania

    DENI LA TAIFA Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu. Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni. Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH. Wakati JK anaingia...
  16. JamiiForums Tanzania Bila shaka hizi social media zimefungwa Tanzania? (Facebook, Whatsapp & Instagram), au lah!! Basi ni tatizo la kiufundi

    WanaJF habari za wakati? Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania na mfumo wa madeni usio na thamani: Uchumi unavyoangamia kwa kusherekewa na bunge lisilo na fiscal discipline

    Ni jambo la aibu na fedheha ya kiuchumi kwamba deni la taifa limepaa kutoka TSh 55 trilioni hadi TSh 107 trilioni — ongezeko la zaidi ya 95% ndani ya kipindi kifupi, bila corresponding economic output au productive returns. Hili ni deni ambalo kimsingi limekuwa mzigo kwa taifa, kwani fiscal...
  18. JamiiForums Tanzania Mikopo na Mzigo Mkubwa wa Madeni Nchini Kwetu Tanzania: Wakati wa Uwajibikaji, Uwazi na Mpango Madhubuti wa Kulipa-100 Trillion

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni mpaka budget ya jana ikisomwa na Mh. Nchemba, mzigo wa madeni kwa taifa letu la Tanzania umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha. Takwimu za zilizotolewa hata jana zinaonyesha kuwa deni la taifa limevuka zaidi ya shilingi trilioni 100...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Namshukuru Rais kwa kunifanya Mnyiramba wa kwanza kusaini kwenye noti ya nchi. Nimetimiza Ndoto ya muda mrefu

    Mwigulu ajivunia kutimiza ndoto ya muda mrefu kusaini noti ya Tanzania "Kipekee nimshukuru Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuniamini kutumikia Taifa kwa nafasi ya Waziri wa Fedha tangu alipoingia madarakani. Huu ni uthibitisho wa imani kubwa aliyokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Licha ya No Reforms No Elections, Serikali ya Marekani bado inaiamini sana Tanzania

    Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…