tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaongoza kwa kujiua kila mwaka Tanzania

    Kila mwaka Septemba 10, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai Duniani, huku wataalamu wa afya ya akili wameeleza kuwa tatizo hilo limekuwa tishio kubwa nchini hususan kwa vijana. Akizungumza katika Maadhimisho hayo Septemba 10, 2025 katika...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu anaandika historia mpya ya Tanzania hasusani Tanganyika

    Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama mashujaa wa hili Taifa. Kuanzia sasa historia ya nchi yetu hasa kwenye mapambano ya haki sawa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwajuma wa UMD kuigawa Tanzania kimajimbo akipata Urais

    Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Noty Mirambo, amesema kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anaigawa Tanzania kwa Majimbo. Ameyasema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni za chama chake kwenye...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuanze mtindo wa Colombia. Tupambane na wanaolinda serikali ya wezi

    Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia. Hali iliyopo Tanzania Mahakama zinatumika vibaya, Polisi wanatumika vibaya, Tume ya uchaguzi...
  5. JamiiForums Tanzania CGGI: Tanzania imepanda nafasi nne katika masuala ya utawala bora Duniani kutoka kuwa namba 82 (2021) hadi kuwa namba 78 (2025)2025

    Chandler Good Government Index (CGGI) ambayo ni kigizo cha kimataifa cha kuchambua utendaji na uwezo wa serikali inayochapishwa kila mwaka na Chandler Institute of Governance yenye makao yake Singapore imeitaja Tanzania kupanda kwa nafasi nne katika masuala ya utawala bora, kutoka nafasi ya 82...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Kibaha vijijini: Samia ameletwa na Mungu kuikomboa Tanzania

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abuu Jumaa amesema, mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni Rais aliyeletwa na Mwenyezi Mungu akieleza kuwa hilo linathibitishwa na namna alivyofanya...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna mfumo wa vyama vingi

    Tanzania Haina Demokrasia ya Kweli ya Vyama Vingi Ni Udanganyifu Ulioratibiwa na CCM Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Tanzania haijawahi kuwa na demokrasia ya kweli. Badala yake, tumeendelea kuishi ndani ya mfumo wa chama kimoja uliovaa sura mpya chini ya ushawishi mkubwa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mama haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, halafu Tanzania Bara wanalipia

    Polepole: Haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, alafu Tanzania Bara wanalipia hii inaua umoja
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya uoga wa kupotezewa maisha yao yametanda Tanzania

    Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao. Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka. Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa. Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala
  10. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Siongozi Wanyonge, Naongoza Watanzania Naotaka Kuwajengea Tanzania Tunayoihitaji

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli nzito ,kauli ya Matumaini,kauli ya kijasiri ,kauli iliyoleta matumaini,furaha ,tabasamu kwa watanzania. Ni kauli ya kiuongozi yenye kuonyesha umadhubuti ,uimara na ushupavu wa kiuongozi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Habari za huko TANZANIA, kufungiwa Kwa Jamiiforums ni ishara ya ushindi wa umma

    Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums...
  12. JamiiForums Tanzania Watu na Wafanyakazi Wanaoweza Kutumia ChatGPT Tanzania

    1. Walimu na Wakufunzi Jinsi ya kutumia: Kuandaa notes na lesson plans kwa haraka. Kutengeneza maswali ya mitihani na majibu. Kutoa maelezo ya kina kwa mada ngumu (mfano hesabu, fizikia). Kufundisha kupitia maudhui ya Kiswahili na Kiingereza kwa wanafunzi. 2. Waandishi wa Habari na Bloggers...
  13. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vijifunze kuzungumza sera sio kuzungumzia watu

    Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita...
  14. JamiiForums Tanzania Kupata kwa mwezi kesho Jumapili Tanzania.

    Dr. Noorali Jiwaji mhadhiri wa Physics and Astronomy katika Open University of Tanzania anasema kesho kuanzia saa 6:28 pm,saa ya Magharibi ,watu wa Tanzania,hasa watu wa mwambao wataona kupatwa kwa mwezi. Mwezi utaingia giza. Total lunar eclipse. Now talking about eclipses,I noticed last time...
  15. JamiiForums Tanzania IDU watakao jumuia ya kimataifa kupuuza Uchaguzi wa Tanzania

    Samia sio mjinga kubuni tume feki ya maridhiano ndani ya siku 100. Hii ni Kwa sababu anajua kushinda uchaguzi ni kitu kimoja na kuongoza taifa lenye mshikamano ni kitu kingine. IDU ni muunganiko wa vyama vya Africa,ulaya na America,,kitendo Chao cha kusema jumuia ya kimataifa zipuuze uchaguzi...
  16. JamiiForums Tanzania BBC Africa: Tanzania abductions.

    https://youtu.be/Gf6xImh1lEk?si=H-r2cFmd2xPTutwR Sina hakika kama hiki kipande cha video kuhusu utekaji unaoendelea Tanzania kililetwa hapa. Kama kililetwa basi mods wanaweza kuunganisha nyuzi. Ni kipande kilichorushwa juzi, Septemba 3, na kituo cha runinga cha BBC, idara ya Afrika. Licha ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mabasi yapi yanaenda Harare kutoka Tanzania?

    Naomba nisaidiwe taarifa zifuatazo: 1. Mabasi yanatoa huduma ya usafiri kutoka Tanzania, na makisio ya nauli kama itawezekana. Nikipata namba zao za simu ni ni vizuri zaidi! 2. Safari yangu itaanzia Mwanza. Nitapaswa kwenda kupandia basi Dar Es Salaam au Tunduma? 3. Itachukua muda gani kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Unabii mzito kwa nchi

    Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
  19. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Tanzania 2025 tunatiki kwa MISHANGAZI NA MIBABAZI? AU NI SINGLE MAZA NA SINGO DADY?🤣😆😀 awa waweza kuwa pandikizi kweli.

    Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera, Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio. Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady? Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mzee pekee mwenye uhalali wa kushauri na kuliokoa Taifa la Tanzania ni Mstaafu Joseph Sinde Warioba

    Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu akupe maisha marefu Mzee Warioba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…