tanzania vs kenya

Tanzania–Turkey relations are the foreign relations between Tanzania and Turkey. The Turkish embassy in Dar es Salaam first opened in 1979, although the Ottoman Empire had previously opened a consulate in Zanzibar, now a part of Tanzania, on March 17, 1837.

View More On Wikipedia.org
  1. leroy

    JamiiForums Nani Kinara Afrika Mashariki 2026?

    https://youtu.be/KuUO1ItbOUU Habari zenu Wana-JF. Mara nyingi kukiwa na mjadala wa kiuchumi Afrika Mashariki, ubishi unakuwa kati ya Tanzania na Kenya. Lakini vipi tukiziweka nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi) kwenye mizani moja kwa kutumia takwimu za...
  2. leroy

    JamiiForums Pesa za Serikali Zinatoka Wapi? Uchambuzi wa Bajeti ya Tanzania vs Kenya (2026/27)

    https://youtu.be/XI7YlZP1W4w Habari zenu wanabodi. Kuna mjadala mzuri sana unaoendelea kuhusu uchumi wa nchi yetu ukilinganishwa na majirani zetu, Kenya. Tukiangalia bajeti za mwaka 2026/27, swali la msingi ambalo wengi hatujiulizi kwa kina ni: Hizi trilioni zote ambazo serikali inatumia...
  3. Mad Max

    JamiiForums CECAFA U-17 Women’s Championship 2026 | Tanzania vs Kenya | 17 June 2026 | 04:00 PM | KMC Dar es Salaam!

    Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Team za Wanawake umri chini ya Miaka 17, Africa ya Mashariki na Kati kwa mwaka 2026 yanaendelea. Leo Tanzania inakipiga na jirani Kenya. Tanzania ilicheza ikampiga Sudani 10 kwa bila. Madogo wako vizuri. Mwanadada Bahati anakipiga hatari, akaibuka WOM...
  4. President of China

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Tanzania's Blueprint: 11 Ports and the Grand Rail Network Reshape East African Trade - Tanzania vs Kenya Trade Battle

    Tanzania is advancing its ambitious vision to become East and Central Africa’s premier logistics and trade hub. At the heart of this strategy is the massive integration of 11 key ports—on the Indian Ocean, Lake Victoria, Lake Tanganyika, and Lake Nyasa—with a modern, unified railway system...
  5. Mikopo Consultant

    JamiiForums PreGE2025 Tanzania itakuwa imeingia kwenye mzozo mbaya wa kidiplomasia na nchi za Afrika Mashariki

    Mimi ni mmoja ambao sijafurahishwa na namna raia wa Kenya na Uganda walivyobagazwa na kutwezwa utu wao na mamlaka za Tanzania. Kitendo cha viongozi wakubwa wa Kenya na Uganda kuwa kimya muda huu, ni mlio wa sauti kubwa sana kwenye mustakabali mzima wa mahusiano ya kidiplomasia. Tanzania...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Law Societies of Kenya (LSK) Vs Tanganyika law Societies(TLS)

    Unapopata muda pitia pitia page za Law societies of Kenya na Pia Tanganyika Law Societies Utaona utofauti mkubwa sana wa hizi taasisi kwenye kufanya kazi. Taasisi moja ni kama tawi la Chama tawala huku taasisi nyingine ikionekana inasimama na wananchi kwa kila jambo. Law Societies Of Kenya...
Back
Top Bottom