tanu

The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty in the East African state of Tanganyika (now Tanzania). The party was formed from the Tanganyika African Association by Julius Nyerere in July 1954 when he was teaching at St. Francis' College (which is now known as Pugu High School). From 1964 the party was called Tanzania African National Union. In January 1977 the TANU merged with the ruling party in Zanzibar, the Afro-Shirazi Party (ASP) to form the current Revolutionary State Party or Chama Cha Mapinduzi (CCM). The policy of TANU was to build and maintain a socialist state aiming towards economic self-sufficiency and to eradicate corruption and exploitation, with the major means of production and exchange under the control of the peasants and workers (Ujamaa-Essays on Socialism; "The Arusha Declaration").
Julius Nyerere was the first President of Tanzania, serving from the 1960s to 1985. In 1962, Nyerere and TANU created the Ministry of National Culture and Youth. Nyerere felt the creation of the ministry was necessary in order to deal with some of the challenges and contradictions of building a nation-state and a national culture after 70 years of colonialism. The government of Tanzania sought to create an innovative public space where Tanzanian popular culture could develop and flourish. By incorporating the varied traditions and customs of all peoples of Tanzania, Nyerere hoped to promote a sense of pride, thus creating a national culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Ali Msham muasisi wa tawi la kwanza la TANU Magomeni Mapipa 1954

  2. Abbas Max na historia ya TANU Iringa, 1955

    ILIPOKUWA NYUMBA YA ABBAS MAX MUASISI WA TANU IRINGA Hapa ni Iringa sehemu nayojulikana kama Makorongoni. Mtaa huu ni Mtaa wa Pangani. Hapa ndipo ilipokuwa nyumba ya Abbas Max (1918 - 1993) muasisi wa TANU. Nimepata kuandika historia ya Abbas Max na niliandika maneno haya, ''Abbas Max...
  3. K

    Ni sababu gani zilipelekea chama cha TANU kubadili jina mwaka 1977?

    kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
  4. Mwami Theresa Ntare anaeleza alivyoiingiza TANU Buha

    MWAMI THERESA NTARE CHIFU MWANAMKE ANAELEZA ALIVYOIINGIZA TANU BUHA ''Serikali ya kikoloni haikutaka sisi machifu tuwe katika siasa hasa kuisaidia TANU. Hata hivyo tukiwa wananchi na viongozi wa wanchi wanaotaabika chini ya utawala wa kikoloni, tuliiamua kushiriki siasa kwa siri na kuipa nguvu...
  5. Kikao cha kuunda TANU nyumbani kwa Hamza Kibwana Mwapachu - Nansio, Ukerewe 1953

    KIKAO CHA KUUNDA TANU NYUMBANI KWA HAMZA KIBWANA MWAPACHU NANSIO, UKEREWE 1953 Ilikuwa miezi ya mwanzo ya mwaka wa 1953 kabla ya kufika April, 1953. Abdul Sykes Act. President na Secretary wa TAA akifuatana na Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa...
  6. Rajab Matimbwa muasisi wa kwaya ya TANU 1954

    MZEE MATIMBWA KIONGOZI WA KWAYA YA TANU 1954 ANAKUMBUSHA NYIMBO ZA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA CHAMA Mzee Rajab MATIMBWA ni kati ya wanachama wa mwanzo kujiunga na TANU mwaka wa 1954. Licha ya kuwa mwanachama yeye na wenzake waliunda kwaya kuhamasisha Watanganyika kujiunga na TANU...
  7. Historia ya TANU baada ya uhuru 1961

  8. Matatizo yanayoendelea katika historia ya TANU

    Wakati wa Uhai wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kuishi katika nyumba hii ikiwa ni baada ya kurejea nchini akitokea masomoni nchin Uingereza. Huko alihitimu masomo yake na kutunukiwa shahada ya uzamili katika masomo ya uchumi na historia kwenye Chuo Kikuu Cha Edinburgh, akiwa ni...
  9. Nkurumah's CPP and Nyerere's TANU 1950's

    NKRUMAH'S CPP AND NYERERE'S TANU 1950s Kwame Nkrumah and the Gold Coast as it was then known had a special place to us. All of us in TANU including Nyerere were great admirers of Nkrumah on his stand against colonialism so much so we copied the TANU constitution from Nkrumah’s Convention...
  10. Wanawake katika mikutano ya mwanzo ya TANU Mnazi Mmoja

    WANAWAKE KATIKA MIKUTANO YA MWANZO YA TANU MNAZI MMOJA Peleka jicho lako upande wa kushoto utaona wanawake wamevaa mabaibui meusi. Hawa ndiyo wanawake ambao Daisy anawahadithia katika kumbukumbu ya marehemu baba yake: ''Kitu cha kufurahisha ni kuwa hawa akina mama wa Kiislam wote walivutwa...
  11. Soko la Kariakoo na harakati za TANU

    SOKO LA KARIAKOO NA HARAKATI ZA TANU Hii makala nimemwandikia ndugu yangu Kheri Chomba mwenyeji wa Kariakoo kumfariji kuwa asihuzunike pale inapotokea watu wakatucheza shere kwa kujifanya kuwa wao wanaujua mji kutushinda sisi wenyewe. "Kheri siku moja katika miaka ya 1970s soko jipya...
  12. Mohamed Shebe: Mpiga picha wa TANU na Julius Nyerere toka 1954

  13. Mwalimu Nyerere na wakina Mama wa TANU

    MWALIMU NYERERE NA AKINA MAMA WA TANU Sijui lini CCM itaamka kutoka usingizi mzito na kulitupa pembeni hili blanketi zito walilojigubika kuanzia unyayoni hadi utosini. Ikajitoa katika huu usingizi wa pono wakakusanya picha alizopiga Mohamed Shebe kuanzia zile alizopiga 1954 katika mikutano ya...
  14. TANU Tanga wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika: Dua ya ushindi wa kura tatu Nnyanjani 1958

    TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958 Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za ushindani zilipoanza mwaka wa 1992. Nimepitia faharasha (index) ya kitabu cha Abdul Sykes na nimekuta...
  15. Makosa yanayojirudia ya Baba wa Taifa na historia ya TANU

    Ndugu zangu, Dudu kaandika hayo hapo chini na mimi nimeona nifungue uzi mpya niweke maelezo katika hayo maneno yake ili kusahihisha makosa ya historia ya TANU ambayo yamekuwa yakijirudia sasa nusu karne: MAKOSA YANAYOJIRUDIA KATIKA HISTORIA YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA...
  16. TANU na Sanduku la fedha la Abdul Sykes

    TANU NA SANDUKU LA FEDHA LA ABDUL SYKES 1950s Katika moja ya mijadala ya historia ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika niliwaahidi wasomaji wangu kuwapa historia ya sanduku la fedha la Abdul Sykes. Nikasahau kwa muda. Leo msomaji wangu mmoja kaniandikia kunikumbusha nitimize ahadi...
  17. Historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika iandikwe upya

  18. Historia ya "Muasisi" na Muasisi wa TANU Mikindani Msham Awadh 1955

    Msikilize "muasisi" wa TANU Mikindani kisha soma historia ya Msham Awadh kutoka kitabu cha Abdul Sykes (1998) SIKILIZA HISTORIA HII YA ''MUASISI'' WA TANU NA SOMA HISTORIA YA MSHAM AWADH Tukio dogo la kiburi cha askari mpumbavu wa mkoloni ndiko kulisababisha watu wa Mikindani wafungue tawi...
  19. Bilal Rehani Waikela na historia ya TANU Western Province 1955

    BILAL REHANI WAIKELA NA HISTORIA YA TANU WESTERN PROVINCE 1955 ‘’Juhudi za kuihuisha TANU zilikuja mwaka 1955 mwaka mmoja baadae kupitia Young New Strong Football Club - kilabu ya kandanda iliyoanzishwa miaka mingi nyuma ambayo ilikuwa maarufu pale mjini. Wanachama wa kilabu hiyo baadhi yao...
  20. Yaliyofuatia mara baada ya TANU kuundwa 1954

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…