Unajua kila siku nikiamka asubuhi najiuliza hili swali lakini sipati jibu,
Ina maana CCM wote hakuna mtu yeyote Mzalendo kama Magufuri ili aweze kuzisimamia rasilimali zetu?
Huyu Mama kawapi nini? Kwa nini Rostaman Aziz hiki kiburi anapewa na nani cha kupora rasilimali za inchi huku Viongozi...