Nawasilisha hoja yangu ambayo nimekuwa nikitafuta muda wa kuileta hapa jukwaani kama dokezo, ili kama mamlaka zitakuwa na uwajibikaji, vifuatilie hususan idara yetu na TAKUKURU.
Kama tunavyofahamu, eneo la Tanganyika Packers lililopo Kawe, Dar es Salaam, kwa sasa linamilikiwa na Serikali ya...
Sijui ule mwenge unaopitishwa unakuwa na madawa kwa tanzania.Hivi lile eneo kwa haraka haraka silengekuwa hata chuo ili kuongeza elimu.Leo limekuwa kiwanda cha miujiza na sadaka za upako.
Kuna mda uwa najilaumu kwa nini nilizaliwa TZ.
Siku ya leo, Rais Samia kazindua rasmi hema (jengo?) la kanisa la Rise and shine (Kanisa la Mwamposa) kwenye viwanja vilivyokuwepo kiwanda cha Tanganyika Packers. Imeelezwa jengo (hema) hilo lina gharama ya zaidi ya bilioni 15.
Huenda ndio gharama za juu zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania kwa...
Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam.
https://www.youtube.com/live/NZ57idJKHwQ?si=S2Y-6Mx9OoOrpMT6
Uzinduzi wa kanisa hili umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kanisa, misikiti na serikali walihudhuria, watu...
Makamu Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo isihaka mchinjita anasema iwapo watashinda kiti cha Urais, jambo la kwanza hawataligeuza Eneo la Tanganyika Packers Kawe kuwa eneo la Mtume Mwamposa kuombea watu wapate kazi bali watarejesha viwanda vilivyokufa na kutengeneza vipya ili watu wengi zaidi wapate...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya wasanii wa muziki na filamu.
Pofesa Kabudi ametoa kauli katika tamasha la Samia Serengeti Festival...
Kuna mdau yeyote mwenye taarifa na eneo hili pale kawe(263 acres) na nini mustakabali wake?
Inaonekana wanasiasa na viongozi wa dini wamejimilikisha.
Nini hatma ya mashine zilizokuwemo? Zilienda wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.