tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Anayejua ratiba za minada ya kila wiki ndani ya mikoa kati Dodoma, Morogoro na Tanga

    Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki. Hasa Dodoma 🙏🙏🙏🙏
  2. Tanga Twadeka - Mawaziri wanne! 2030 InshaAllah!

    Mkoa wa Tanga Twadeka tumitoa Mawaziri wanne 1. Ummy - Afya, 2. Awesso - Maji, 3. Mwinjuma - Michezo, 4. Makamba - Nishati. NB: Inshallah 2030 tutamileteeni Kiongozi mkubwa zaidi.
  3. Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani kupigwa na Upepo mkali kwa siku 5

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wakazi wa mikoa ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani pamoja na wale wa Visiwa vya Pemba na Unguja kuchukua tahadhari na kujikinga na upepo mkali kwa siku tano mfululizo. Ushauri huo wa tahadhari umetolewa na leo Alhamisi ya Julai 13...
  4. N

    Naona Yanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya YANGA DAY 22 /7 /2023

    Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023 Tanga mnatumika Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.
  5. Tanga Pazuri Sana Sema Sijui kwa Nini Pako Vile

    Salaam wote: Tanga ni moja ya mikoa mizuri sana kuliko hata Arusha na Kilimanjaro iliyopo jirani na Tanga yenyewe. Nazungumzia hali ya hewa na mazingira masafi, Tanga wapenda usafi, nikisema Pazuri naamanisha Mazingira. Watu wa kutokea Tanga ni wakarimu na wastaarabu kwani wengi wao ni...
  6. Ratiba ya Ngao ya Jamii hii hapa, kupigwa jijini Tanga

    Hatimae TFF wameachia ratiba ya Ngao ya Jamii kwa timu nne ambazo ni Yanga, Simba, Azam na Singida. Mechi zote kupigwa katika dimba la Mkwakwani kuanzia August. Kwa ratiba hii unamuona nani akiwa bingwa?
  7. J

    Waziri Kairuki afanya ziara ya kikazi Tanga

    WAZIRI KAIRUKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI TANGA WAZIRI wa Nchi,@ortamisemitz Mhe. Angellah Kairuki leo tarehe 06 Julai 2023 amewasili Wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo. Mhe.Kairuki atakagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Elimu na Afya. Pia...
  8. Mafuta ya Dizeli, Petroli yashuka Bei Dar, Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa 6:01 usiku. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo: (a) Bei za rejareja za mafuta...
  9. Bunge laitaka Serikali kuwawajibisha ‘waliochota’ Bilioni 63.4 za Uboreshaji wa Bandari ya Tanga

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeonyesha kusikitishwa na kutochukuliwa kwa hatua za kisheria kwa wabadhirifu wa Sh63.4 bilioni katika utoaji wa tuzo ya zabuni za uboreshaji wa Bandari ya Tanga kwa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) Ltd. Mwenyekiti wa PAC...
  10. Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

    Habari waungwana? Yah, juzi nikiwa natoka Pemba Kaskazini (Wete) nikielekea Tanga nilipanda jahazi kutokana na ufinyu wa usafiri wa meli za kutoka Pemba kuelekea bara, lakini pia si unajua bajeti maana uchumi mgumu bado sijatengamaa. Basi bwana nikafika bandarini pale Wete asubuhi ya saa tatu...
  11. Tanga yaanzisha battle na Simba makocha Brazil vs Argentina

    Hello, Yanga SC halali yao kuitwa utopolo na yeboyebo, mdebwedo, hii ligi ya makocha hamtaiweza Simba SC member mwanzilishi wa African Super League.(ASL). Yanga SC wamesajili kocha kituko, Hongera yanga Kwa usajili wa Angelina
  12. Kumbe uchumi WA shinyanga ni mkubwa kuliko Dodoma, mbeya, Tanga na Arusha

    Kuna miji huwa haisemwi kiasi unachoweza kudhani IPO nyuma. Moja ya mkoa huo ni Shinyanga. Katika orodha ya uchangiaji WA pato la taifa Kwa kila mkoa Shinyanga inashika nafasi ya tatu(3) Kwa kuchangia 5% ikiwa imezidia na mikoa ya Mwanza yenye mchango WA 9% na Dar yenye 17%. Kinachoshangaza ni...
  13. Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

    Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu.. Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae. Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana. Sitaki kuwa...
  14. Kazi za kiwanda cha simenti Tanga

    Habari za asubuhi. Kwa wale ndugu zangu wasaka kazi na wenye ujuzi mkeka ni huu hapa.Mtakaopata kazi Tanga muwe makini maana ndiko Mapenzi yalipozaliwa.Be carefully!
  15. Kwanini sijapoteza muda wangu kuiangalia Fainali ya ASFC ya Azam FC na Yanga SC?

    - Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia. - Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia. - CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia. - Kaimu Msemaji was Azam FC Hashim Ibwe night mwana Yanga SC lia lia. Poleni sana wale mliokuwa mnadhani Azam FC...
  16. B

    Mambo mawili yaliyonishangaza Tanga

    Habari zenu wana JF, Wiki moja iliyopita nilifanikiwa kusafiri kutoka mkoani Arusha hadi mkoani Tanga hasa katika wilaya ya Handeni vijijini. Kwakweli tembea uone. Nilipofika Handeni vijijini kuna kijiji kinaitwa (Kwamgwe) nilishangazwa na mambo makubwa mawili. Mambo gani hayo? Jambo la kwanza...
  17. Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  18. R

    Mkurugenzi/Afisa Elimu Tanga City liangalie hili la walimu kuwatoza wanafunzi fedha kwa kila somo watakalo fundishwa wakati wa likizo

    1. Kwanza likizo zimekatazwa, wao wanakaidi 2. Wanawatoza hela watoto kwa kila kipindi watakachofundishwa. Wamewatuma watoto waende na hela(Mwang'ombe) Prof aliwaonya kuwa shule za serikali watoto waende likizo kama kalenda ilivyo., Mmeruhusu haya?
  19. B

    Jaji Mihayo azungumza kuhusu Twiga Cement kununua hisa za Tanga Cement, akemea uvunjaji wa sheria

    HATIMAYE Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ameamua kuvunja ukimya kwa kueleza kuwa wanasheria waliipotosha Serikali na Mawaziri kuhusu kuendelea na mchakato wa kampuni ya Saruji ya Twiga kununua hisa za Tanga Cement wakati mahakama ilizuia kuwapo kwa muunganiko wa kampuni hizo. Pia amesema tayari...
  20. Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256)

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256) Sehemu ya kwanza Pangani-Tanga (km 50) kwa kiwango cha lami umefikia 75% Sehemu hii ya Tanga - Pangani inagharimiwa kwa fedha za ndani kwa asilimia 100. Awamu ya kwanza ya utekelezaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…