taliban

The Taliban (; Pashto: طالبان‎, romanized: ṭālibān, lit. 'students' or 'seekers') or Taleban (, ), who refer to themselves as the Islamic Emirate of Afghanistan (IEA), is a Deobandi Islamist movement and military organization in Afghanistan, currently waging war (an insurgency, or jihad) within the country. Since 2016, the Taliban's leader has been Mawlawi Hibatullah Akhundzada.From 1996 to 2001, the Taliban held power over roughly three-quarters of Afghanistan, and enforced a strict interpretation of Sharia, or Islamic law. The Taliban emerged in 1994 as one of the prominent factions in the Afghan Civil War and largely consisted of students (talib) from the Pashtun areas of eastern and southern Afghanistan who had been educated in traditional Islamic schools, and fought during the Soviet–Afghan War. Under the leadership of Mohammed Omar, the movement spread throughout most of Afghanistan, sequestering power from the Mujahideen warlords. The totalitarian Islamic Emirate of Afghanistan was established in 1996 and the Afghan capital was transferred to Kandahar. It held control of most of the country until being overthrown after the American-led invasion of Afghanistan in December 2001 following the September 11 attacks. At its peak, formal diplomatic recognition of the Taliban's government was acknowledged by only three nations: Pakistan, Saudi Arabia, and the United Arab Emirates. The group later regrouped as an insurgency movement to fight the American-backed Karzai administration and the NATO-led International Security Assistance Force (ISAF) in the War in Afghanistan.
The Taliban have been condemned internationally for the harsh enforcement of their interpretation of Islamic Sharia law, which has resulted in the brutal treatment of many Afghans. During their rule from 1996 to 2001, the Taliban and their allies committed massacres against Afghan civilians, denied UN food supplies to 160,000 starving civilians and conducted a policy of scorched earth, burning vast areas of fertile land and destroying tens of thousands of homes. During their rule, they banned hobbies and activities such as kite flying and keeping birds as pets, and discriminated against religious and ethnic minorities. According to the United Nations, the Taliban and their allies were responsible for 76% of Afghan civilian casualties in 2010, 80% in 2011, and 80% in 2012. The Taliban has also engaged in cultural genocide, destroying numerous monuments including the famous 1500-year old Buddhas of Bamiyan.The Taliban's ideology has been described as combining an "innovative" form of sharia Islamic law based on Deobandi fundamentalism and the militant Islamism combined with Pashtun social and cultural norms known as Pashtunwali, as most Taliban are Pashtun tribesmen.
The Pakistani Inter-Services Intelligence and military are widely alleged by the international community and the Afghan government to have provided support to the Taliban during their founding and time in power, and of continuing to support the Taliban during the insurgency. Pakistan states that it dropped all support for the group after the 11 September attacks. In 2001, reportedly 2,500 Arabs under command of Al-Qaeda leader Osama bin Laden fought for the Taliban.

View More On Wikipedia.org
  1. Concerns Afghans fleeing Taliban could be on first Rwanda flight

    Hofu imetanda kuwa Wa Afghan waliokimbilia UK kwa kuukimbia utawala wa kiisalm wa TALIBAN ndi watakuwa mstari wa mbele kupelekwa Kigali. Hii inaweza kuashiria kuwa Uk inahofia uwepo wa watu hawa kwenye ardhi yake My take: EAC tujiandae kwa mabadiliko ya mikataba ya maingiliano FUATILIA HAPA...
  2. Taliban yaagiza Watangazaji wa kike wote kwenye TV kufunika nyuso zao

    Uongozi wa Taliban umeagiza watangazaji wote wa kike katika vituo vya runinga Nchini Afghanistan wanatakiwa kuziba sura zao wanapokuwa wakitangaza. Vyombo vya habari vimekiri kupokea maagizo hayo kutoka katika Wizara ya Maadili na inatakiwa kutekelezwa bila kuwa na mazungumzo yoyote. Waziri wa...
  3. Afghanistan: Mwandishi wa habari atupwa jela mwaka mmoja kwa kuikosoa Taliban katika mitandao ya kijamii

    Mahakama Nchini Afghanistan imemuhukumu mwanandishi wa habari, Khalid Qaderi kifungo cha jela mwaka mmoja kwa makosa ya kuikosoa Serikali ya Taliban katika mitandao ya kijamii, japokuwa Msemaji wa Taliban amesema amehukumiwa kwa makosa ya jinai. Qaderi ni ripota wa Radio Nowruz amekuwa...
  4. Taliban yaamuru Wanawake kujifunika kwenye maeneo ya umma

    Kiongozi wa Taliban ameamuru Wanawake Nchini Afghanistan kuvaa "Chador" ambayo hufunika uso na sehemu kubwa ya mwili. Hii ni moja ya amri kali zaidi kutangazwa tangu Taliban ilipochukua Madarala Mwaka 2021 Imeelezwa kuwa, Baba au ndugu wa kiume wa karibu anaweza kufungwa au kufukuzwa kazi...
  5. Taliban yaamuru TikTok kupigwa marufuku kwa madai inapotosha Vijana

    Serikali ya Taliban imeagiza 'App' maarufu ya TikTok kupigwa marufuku kwa madai kuwa inasababisha Vijana Nchini Afghanistan kupotea Haijafahamika wazi ni lini marufuku hiyo itaanza lakini Msemaji wa Taliban, Inamullah Samangani amesema hatua hiyo ilikuwa ya lazima ili kuzuia kizazi hicho...
  6. Afghanistan: Taliban imesema ni marufuku mfanyakazi wa Serikali kutokuwa na Ndevu. Kama huna Ndevu usikanyage kazini

    Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini. Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi...
  7. Taliban yaenda kinyume na ahadi ya kuruhusu wasichana kusoma

    Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana na kwenda kinyume na ahadi walioitoa ya kuruhusu wasichana kusoma. Uamuzi huo uliothibitishwa na afisa wa Taliban, unarudisha nyuma juhudi za Taliban...
  8. TALIBAN imezitaka Urusi na Ukraine kutatua mzozo huo kwa njia za amani

    Kundi la Taliban linaloongoza serikali ya Afghanistan limezitaka Russia na Ukraine kumaliza tofauti kwa njia za amani. Hapa chini ni taarifa yake kwa kiswahili (sio rasmi).. "Emirate ya Kiislamu ya Afghanistan inafuatilia kwa karibu hali ya Ukraine na inaelezea wasiwasi wake juu ya uwezekano wa...
  9. Angekuwepo Trump, Afghanistan ingekuwa chini ya Taliban? Kungekuwa na hii hali inayoendelea huko Ukraine / Russia?

    Ama kwa hakika naweza kusema Trump alimudu vingi sana licha ya kuchafuliwa sana na Media kubwa ambazo ni left wing kama cnn, bbc, al jazeera, msnbc, cbs, n.k. lakini Trump aliweza kufanya mambo mengi sana. Moja ya mambo aliyoyapa kipaumbele ni kupunguza misuguano ya uadui na kujikita zaidi...
  10. Utawala wa Taliban umetangaza wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo endapo tu watatenganishwa na wa kiume

    Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti. Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo. Lakini endapo tu watatenganishwa na wanafunzi wa kiume na...
  11. T

    Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

    Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia... Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education. Mtu atakaepata mkanda wa...
  12. Taliban waanza mazungumzo na Maafisa wa Magharibi nchini Norway

    Wajumbe wa Taliban wanakutana na maafisa wa nchi za magharibi nchini Norway kwa ajili ya mazungumzo ya kwanza Ulaya tangu kundi hilo lichukue udhibiti wa nchi ya Afghanstan. Mazungumzo hayo, yaliyopangwa kufanyika kwa muda wa siku tatu, yatakijita katika suala la haki za binadamu pamoja na...
  13. ILO - zaidi ya Waafghani nusu milioni wamepoteza ajira sababu ya Taliban

    Shirika la Kazi Duniani ILO limesema zaidi ya nusu milioni ya Waafghani wamepoteza kazi zao baada ya Taliban kuchukua madaraka mwaka uliopita. Katika ripoti mpya iliyotolewa leo, shirika hilo la Umoja wa Mataifa limesema idadi ya ajira zilizopotea huenda zikafikia laki tisa ifikiapo katikati...
  14. Afghanistan: Kaimu Waziri Mkuu asema Uongozi wa Taliban umekidhi vigezo, utambuliwe kimataifa

    Mullah Hasan Akhund anayekaimu nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema Utawala wa Taliban umekidhi vigezo vyote hivyo itambuliwe na Serikali za Kimataifa Akhund ameeleza hayo katika hotuba yake ya kwanza tangu akaimu nafasi hiyo Septemba 2021. Serikali zimekuwa zikisita kuitambua #Taliban...
  15. Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana

    Kundi la Wataalamu 36 wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa limesema Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia kwa kiasi kikubwa dhidi ya Wanawake na Wasichana Wanawake na Wasichana wamekuwa wanapinga Kanuni mbalimbali dhidi yao tangu Taliban kuchukua madaraka Agosti...
  16. Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

    Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake...
  17. Taliban yapiga marufuku ushiriki wa Wanawake kwenye tamthilia

    Serikali ya Taliban imevitaka Vituo vya Televisheni kuacha kurusha Tamthilia au Maigizo yenye Waigizaji wa Kike. Waandishi wa Habari na Watangazaji Wanawake wametakiwa kuvaa Hijabu. Vipindi vya Burudani na Vichekesho vinavyokejeli Dini au vinavyoweza kuwachukiza Raia wa Afghanistan pia...
  18. Afghanistan: Taliban wataka Serikali yao kutambuliwa

    Kundi la Taliban limeitaka Marekani na Mataifa mengine kutambua Serikali yao, likisema kushindwa kufanya hivyo na kuendelea kusitisha Misaada kutaleta matatizo sio tu kwa Afghanistan, bali ulimwengu mzima Hakuna Nchi ambayo imeitambua rasmi Serikali ya Afghanistan tangu ichukue Madaraka Mwezi...
  19. K

    Sheria kali za Ndugu zetu Taliban

    Wadau, hivi karibuni Taliban wameweka sheria Kali kwa wanaume. Hawaruhusiwi kunyoa ndevu. Sasa namna gani kwetu sisi Mayakhe ambao hatujajaaaliwa ndevu? Nchi hiyo tutaishije? Twaruhusiwa kuweka za bandia atiii?
  20. UN yakosoa ahadi hewa za Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amekosoa ahadi hewa zilizotolewa na Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan, akihimiza Mataifa kutoa fedha kwa Nchi hiyo ili kuepusha kuporomoka Uchumi Mamilioni ya Wasichana bado wanasubiri kurejea Shule wakati vipindi kwa Wavulana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…