talaka

Talaka (Belarusian: Талака) was a cultural and enlightenment youth organisation in Belarus during Soviet rule. It existed between 1985 and 1990 and was a predecessor and early part of the Perestroyka-inspired pro-independence movement in Soviet Belarus. Several key members of the Talaka later formed the Belarusian Popular Front.
Talaka was created in 1985 as an informal club for protection of historical architecture. Its creators were Siarzhuk Vitushka, Vintsuk Viachorka (later chairman of the Partyja BNF), Viktar Ivashkevich (later one of the leaders of the Belarusian Popular Front and the Partyja BNF) and several others.
The club organised celebration of traditional holidays, revived traditional ceremonies, participated in archaeologic research. It was active in Samizdat publishing. Towards end of the 1980s the group started to more actively participate in pro-democracy and pro-independence political activities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Historia ya kustaajabisha: Mwanaume aliyeoa mara 130 na kutoa talaka zaidi ya 80

    ALIAMINI VITU HALALI KUTAFUTA MUDA WOTE NI FEDHA NA WANAWAKE. Unamkumbuka gwiji wa Kenya marehemu Asentus Ogwella Akuku "Danger" ambaye inasemekana alioa mara 130, talaka 80 na kuzaa watotozaidi ya 200. Akuku "Danger" alioa mke wake wa kwanza mnamo 1939 na wa mwisho mnamo 1997 akiwa na miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Diamond atoa talaka tatu kwa mkewe Zuchu, Khadija Kopa azikataa ni baada ya NDOA kudumu kwa mwezi mmoja kama ndoa za Magomeni

    Amani iwe kwenu watumishi Nianze kwanza na history ya magomen kitaa changu ninachoishi toka kitambo sana Kitaa hiki ni kitaa mabingwa wa ndoa za mkeka hasa mwezi wa Ramadhan unapokalibia Ndoa hufungwa nyingi sana na wazee wanaoitwa wazee watukufu katika uislam Wazee hawa watukufu katika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, ndoa za siku hizi ni biashara au mapenzi? Mbona talaka zimekuwa nyingi kuliko harusi?😩

    Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja. Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku hizi tunashuhudia talaka zikitolewa kwa sababu kama "Hajanitumia salamu asubuhi" au "hana gari tena"...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya Mahakama ya Kadhi kutoa Talaka, mume anaruhusiwa kumrudia mkewe?

    Naomba kufahamu, kama kesi ilienda mahakama ya kadhi na TALAKA ikatoka kupatiwa mke, Je wakiridhiana wanaweza rudiana, au nini hatma yake!? Nawasilisha
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: yule mwanamke wa JamiiForum niliyempa talaka anaomba kurudia baada ya kuona thread yangu

    Wakuu hawa viumbe vipoje? Aisee yule mke wangu wa jamii forum aliyenitosa anaomba turudiane baada ya kuona andiko langu la hapa jamvini na analalamika yule bwana wake mpya amemtosa na analalamika hamfikishi kileleni so ameomba turudiane Kiukweli mimi nilikuwa namfikisha kunako mlima kitonga na...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Kipindi cha Julai, 2024 hadi Aprili, 2025 RITA imesajili na kutoa Talaka 675, atoa wito kutolewa elimu ya maadili kwa wanandoa

    Serikali imetoa wito kwa jamii na taasisi zilizopewa dhamana ya kufungisha ndoa pamoja na wazazi na walezi kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu ya maadili kwa wanandoa. Kauli hiyo ya Serikali inakuja wakati kukiwa na wimbo la kuvunjika kwa ndoa na wahusika kudai talaka. Akiwasilisha makadirio...
  7. JamiiForums Tanzania ZaiyLissa kuandaa party aliyoiita 'Usiku wa Talaka' adai sio shida zake kufanya sherehe, "kwa nini niolewe na sherehe na nitoke bila sherehe?"

    MOJA ya habari zinazotreni mitandaoni na vyombo vya habari ni iliyokuwa ndoa ya Haji Manara na Zaylissa ambayo imefikia mwisho na inaelezwa mwanadada huyo amepanga kushusha bonge la pati kusherehekea talaka yake. Zaylissa amesema ataandaa sherehe hiyo atakayoipa jina la 'Usiku wa Talaka' kwani...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya ndoa ya Toni Braxton na Birdman kudumu kwa mwezi mmoja, Toni aomba talaka

    KIMEUMANA🚨‼️ Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo. Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni...
  9. JamiiForums Tanzania Ni ubabaifu mwanaume kulilia mali za mwanamke katika talaka. Kesi ya talaka ya Fatma Karume ina masomo muhimu sana

    Wakili Fatma Karume ameamua kuweka wazi kesi yake ya talaka mahakamani ambapo katika ugawaji mali mahakama imempa 75% dhidi ya 25% kwa upande wa mtalaka aliyekuwa mume wake. Kinachonishangaza ni mwanaume kutaka Fatma Karume asizingatiwe kwa haki sawa wakati yeye ndiye aliyechangia zaidi katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kamfuma mkewe na mwanaume mwingine, hapo hapo ametoa talaka; hakuna kubembelezana

    Jamaa amekaa na mkewe kwa zaidi ya miaka 15, lakini mkewe akawa anachepuka na jamaa mwingine huko nje ambaye ni mkataa ndoa. Baada ya kufumaniwa, akapewa talaka hapo hapo; hajui anaanzia wapi. Kupitia video hii, kuna cha kujifunza. https://www.youtube.com/watch?v=XNMzdsyaG38
  11. JamiiForums Tanzania Waliotajirika na pesa za talaka na kuvunjika kwa ndoa

    Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka. WANAWAKE MacKenzie Scott (Jeff Bezos) - Talaka yenye fidia kubwa zaidi duniani: MacKenzie Scott...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tunaoa? Ni Lini Ndoa ina-expire na hautakiwi kufikiri Kutoa Talaka.

    KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya kukitumia na kukiacha siku kikiwa Expired na useless. Hiyo ni Kanuni. Ndoa ni muunganiko wa hiyari...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia nafasi ya Urais CHADEMA: Cha kwanza nikishinda Urais nitabadilisha mfumo wa talaka. Nitahakikisha talaka haimuumizi mwanaume!

    Wanaume mpo? Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka. Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume. Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake

    Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake nchini marekani, haimaanishi ukiolewa na tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka nikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakua hukuhangaikia, kama unahisi huwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Raisi Trump aikosoa vikali sheria ya talaka kwa wanandoa

    Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali. "Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa Wazidi kupata Support: Pep Guardiola Talaka Mononi

    Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko busy sana kutengeneza mkwanja Kwa ajiri ya familia ,imagine wife anakutema kisa tu uko fucus na kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Dulla Makabila anajutia kutoa talaka kwa Zaiylissa, mke wa Haji Manara kwa sasa

    Kataa ndoa, mwanenu Makabila yamemshinda sasa anajuta == Nyota wa muziki wa Singeli nchini Dulla Makabila ameweka wazi leo kuwa moja ya maamuzi anayoyajutia kwenye mahusiano yake na aliyekuwa mke wake Zaiylissa ni kutoa talaka. Pia, Soma: Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Mali zinazopatikana kwa elimu zisigawanywe kwenye talaka, Juhudi za chekechea mpaka chuo haziwezi kupigwa pasu kwa pasu , Tuwaige wenzetu wakenya

    Chekechea - miaka 2 Msingi - miaka 7 Olevel - miaka 4 Form 5 / Dip - miaka 2 Degree - Miaka 4 kujitolea kupata ujuzi - miaka 3 Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Ampa talaka mke wake kisa kunyoa sehemu za siri alipokwenda msibani

    Mapenzi yana mambo mengi sana hapa nakubaliana kabisa na Ali Kiba kuwa mapenzi yana Run dunia akimaanisha kuwa mapenzi ndiyo yanayoiendesha dunia Mke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…