takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umetumiwa message ngapi na TAKUKURU leo

    Mpaka muda huu umetumiwa sms ngapi na TAKUKURU? Huku rekodi inasoma sms tano ndani ya siku moja 😃
  2. GE2025 Iringa: TAKUKURU yazungumza na Wazee wa Kimila kuhusu Kuzuia Rushwa katika Uchaguzi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua na kufichua vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Lengo kuu ni kuwawezesha wazee hao kuwa walinzi wa maadili ya...
  3. Brr!!!Brr!! sms mpya najua mshahara kumbe TAKUKURU, wazee acheni utani, wezi mnawajua na taarifa tumeleta hapo ofisini

    Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu. Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
  4. Message kibao kwa RAIA wakati wezi mnawajua, TAKUKURU acheni maigizo

    Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo. Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI...
  5. TAKUKURU fanyeni kazi zenu, mimi hizi messages hazinihusu, kila siku natimiza wajibu wangu kama mzalendo wa nchi yangu

    Kila siku tunawaletea taarifa, juzi tu nimewaletea taaarifa hapo ofisini. Fanyeni kazi zenu
  6. TAKUKURU huu mtego wenu siuingii, iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya

    Najua lengo lenu. Mnataka niseme mtoa rushwa mkubwa kisha mnifuatilie mnikamate. Nyie mnamfahamu vizuri ambaye alitoa rushwa kwa wananchi na ameendelea kutoa. Mnafahamu wananchi wanapewa mpaka boflo na maji, wanapewa bike,tshirts,kofia, khanga,vitenge na pesa. Mnajua sana. Ila mnataka mimi...
  7. GE2025 Hawa TAKUKURU na hizi message zao uki report watashughulikia au?

    Tupe taarifa tukiwaambia watashughulikia
  8. GE2025 Tuhuma alizoziibua Polepole zinapaswa kufanyiwa kazi mpaka Polepole aripoti Polisi au Takukuru? Kwanini wasianze kuzishughulikia?

    Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa. Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi. Huku akiwa karibu na wakuu wa...
  9. GE2025 TAKUKURU Lindi yaboresha mikakati ya kupambana na Rushwa kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imeendesha kikao kazi kujadili na kuweka mikakati dhidi ya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Kikao hiko kimefanyika leo Septemba 11,2025 katika ukumbi wa CWT na kuwakutanisha viongozi wa dini na wazee wa Wilaya ya...
  10. Takukuru yabaini mapungufu katika miradi Rukwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imetekeleza ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 6.7 katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya TAKUKURU, kiasi cha Shilingi 422,280,519 kilichotolewa kama...
  11. N

    Mwaka huu TAKUKURU hawatoi ajira?

    Wakuu mbona mwaka huu kimya TAKUKURU?
  12. GE2025 Samia: Tumeimarisha CAG na TAKUKURU, Hati Chafu zimepungua kutoka 10 mwaka 2021 hadi 1 kwa Miaka Minne

    Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, Samia Suluhu, amesema, "Kwa upande wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, Serikali imejitahidi kuimarisha taasisi za mdhibiti, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili ziweze kufanya kazi zake...
  13. Siku tukipata Rais makini Taasisi ya kwanza kufuta na kusuka upya ni TAKUKURU

    Hii taasisi ni mzigo na hakuna inachofanya. Inatumia rasilimali hovyo kabisa za Watanzania. Mambo mengi ya hovyo na bila shaka Watanzania wenzangu mnajua yanayofanyika. Kwasasa kila kitu kila mahala ni rushwa na ufisadi wa kutisha. Taasisi hii inahitaji kufanyiwa reforms and restructuring...
  14. Leo nataka kuwashauri TAKUKURU, maana mmekuwa wasumbufuu kazi kujitumisha meseji zenuu

    Salama wanajukwaaa. Leo nataka kuwashauri TAKUKURU.maana mmekuwa wasumbufuu kazi kujitumisha meseji zenuu. Unaangalia ukijua ni ujumbe wa maana kumbe ni wa akina TAKUKURU. KAMATENI Wana CCM wengi tuu wanagawana rushwaa ikianza na Mwenyekiti. Na ushauri wangu nii huuu Achane usumbufu...
  15. TAKUKURU inafanya kazi gani kama mambo yanafanywa hadharani hivi?

    Hii video inaonesha Chama cha Mapinduzi kikiwapa wananchi wote elfu kumi kumi wakiwa wanatoka kwenye mkutano huo wa CCM Hii ni RUSHWA, TAKUKURU inafanya kazi gani sasa ikiwa haya mambo yanafanywa hadharani hivi?
  16. GE2025 TAKUKURU Geita yafuatilia tuhuma za Rushwa Kura za Maoni CCM

    aasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu vitendo vya rushwa vilivyodaiwa kutokea katika mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni ya wabunge na madiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa...
  17. GE2025 TAKUKURU yakamata wajumbe wa UWT kwa madai ya rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo wakigawana rushwa katika mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM huku taasisi hiyo ikiendelea na uchunguzi...
  18. Majukumu ya TAKUKURU yahamihishiwe Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Wakuu asalaam ! Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa iwe nguzo ya haki na mwanga wa matumaini kwa kila raia anayetafuta msaada dhidi ya dhuluma na...
  19. Hapa Tanzania kesi kama hizi zipo wazi, lakini je TAKUKURU wanafeli wapi?

    TAKUKURU wameirejea Habari iliyochapishwa na JF ya kukamatwa kwa mke wa aliyekuwa Rais wa Korea kwa tuhuma mbalimbali za Rushwa ikiwepo kupokea zawadi zenye Vito vya thamani kutoka kwa watu mashuhuri na waliokuwa na ushawishi kwa taifa. Kesi kama hizi zipo nyingi sana zikimuhusisha JK na hata...
  20. Ukweli Mchungu: Sasa kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Uzi huu utajieleza kwa picha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…