Jina langu naitwa Hidden Diamond.
Kwa mama, mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa (na kaka yangu mkubwa ambaye mama alimpata akiwa bado msichana mdogo), ila kwa baba ni mtoto wa pili baada ya kaka yangu ambaye kwa sasa ameajiriwa kwenye sekta mojawapo binafsi nchini.
Kwenye familia yetu, wote kwa...