taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi kwanini kitambulisho cha Mpiga Kura kinapatikana kwa siku moja lakini kitambulisho cha taifa kinapatikana baada ya miaka miwili?

    Ndugu wana JF hili ni swali nililojiuliza sana kwa muda mrefu. Kwa tathimini kwamba zaidi ya asilimia 60 taarifa za wananchi zanapatikana mtandaoni kwa kuwa siku za saivi asilimia kubwa ya watu wamesoma na kama wamesoma na kuhitimu unamaanisha taarifa zao zote zinapatikana kwenye mfumo wa...
  2. Nikumbusheni link ya uzi unaoelezea ndege ilodondoka uwanja wa taifa wakifanya maonesho

    Habari wakuu, Kuna uzi kila niki-earch siuoni, ulilezea miaka ya 70 na 80 kulkikuwa na ndege ya kijeshi ikifanya mazoezi uwanja wa taifa Dar. Ikamshinda rubani na kuelekea kuanguka. Rubani kwa kuona umati wa watu uliopo wangekufa wengi, akajitahidi kwenda kuidondosha nje ya uwanja, akafa yeye...
  3. Mbunge Ntate Katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa, Jokate Mwegelo

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) kutoka Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 04 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Jokate Mwegelo yaliyofanyika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es...
  4. R

    Boniface Mwabukusi ulianza vizuri, sasa unaharibu kwa kuwaponda mlio na lengo moja na waliokutangulia katika kutetea taifa hili toka makucha ya CCM

    Jiepushe kupambana na CHADEMA na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na CHADEMA na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo...
  5. Waziri Mbarawa: Ujio wa ndege mpya, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupewa ndege za mafunzo ili Wazalishe Marubani

    Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 katika madaraja mawili ambapo daraja la kawaida “economyclass” itabeba...
  6. Mkutano wa Majumuisho Katika Ziara ya UWT Taifa Mkoa wa Geita

    UWT TAIFA WAFANYA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA MKOA WA GEITA CHATANDA : VIONGOZI WA UWT MIKOANI TOKENI MKAFANYE ZIARA KWENYE MAENEO YENU, MKASIKILIZE NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Viongozi wa UWT wa Mikoa na wa Mashina...
  7. Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Katika kikao...
  8. Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  9. Naibu Waziri Kihenzile Apongeza na Kusifu Kasi ya Maendeleo Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE ASIFU KASI YA MAENDELEO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara katika Chuo cha Taifa cha Usafirisha (NIT) ili kujionea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya Serikali katika Chuo hicho. Mhe...
  10. J

    Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    "Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila...
  11. Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho. Naomba kutangaza masilahi (declare interest) kwamba mimi ni mnufaika wa mfuko huu kupitia wazazi wangu...
  12. R

    Kwanini Tanzania wanaotetea rasilimali za Taifa wanafungwa lakini wanaoiba wanapewa promosheni?

    Kila anayesimama kutetea watanzania anafungwa na watanzania ila anayeiba anaongezewa cheo. Tumeona wale wote walioiba wakasifia watawala wanazidi kupewa nafasi nzuri ya kuiba na kula ila wale wote waliosimama kutetea wananchi wanyonge wasipofungwa basi watashinda kesi. Tukiendelea na tawala...
  13. T

    Rais Samia hurumia wazee waliolitumikia taifa kwa uaminifu leo wanalipwa Tsh 3,000 kwa siku

    Raisi wangu Samia naandika post hii nikiamini kwa huwa unapitia jukwaa hili kama siku moja ulivyotwambia. kama siyo wewe kuusoma mwenyewe basi naomba wasaidizi wako wakufikishie ujumbe huu. Kuna wazee wastaafu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu, na unajua kuwa huko myuma hapakuwepo ujanja...
  14. Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania? Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti. Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili...
  15. M

    Ubungo DSM, Kibesa S/Msingi wanafunzi darasa la nne waamuliwa kuchangia sh. 1,000/ mfululizo mpaka watakapofanya mtihani wa taifa

    Kibesa S/msingi wilaya ya Ubungo, jijini Dar Es Salaam, wanafunzi wa darasa la nne waamuliwa kufanya mtihani mfululizo kwa gharama ya sh. 1,000 kila mwanafunzi na kwa darasa zima lenye wanafunzi 120 linalazimika kuchanga kiasi cha sh.120,000/ ikitajwa kuwa ni posho ya Mwalimu na gharama ya...
  16. T

    Kama Taifa tumeshindwa kweli kutoka hapa tulipo hata kwa mambo madogo?

    Wakuu habari za wakati huu, Kama Taifa kwa miaka 60 tumeshindwa kupiga hatua katika kila nyanja hata mambo madogo yametushinda inashangaza hata mambo madogo ya wananchi kuzaa kwa mpangilio tu ili kumudu gharama za maisha haiwezekani? Mtu ana chumba kimoja ana watoto wanne mtu huyu atapiga...
  17. Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri Mchengerwa kwa taifa lake

    G.O.A.T Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri M. Mchengerwa kwa taifa lake! Mosi: Agizo lake akiwa OR Utumishi alipokuwa anaapisha Bodi ya Nne ya Sekretalieti ya Ajira kuwa, "Kuanzia leo (siku hiyo) ajira zote za umma zipitie utumishi ili kuondoa upendeleo na kuweka usawa...
  18. Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza. Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu. Watu wao wako very seriously...
  19. L

    Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
  20. TFF waliwaza nini kuipa Sandaland tenda ya jezi za timu za taifa?

    Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM. Hivi karibuni TFF imeingia mkataba wa miaka 10 na kampuni inayotengeneza jezi za timu ya Simba, Sandaland kutengeneza jezi za timu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…