taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Amani haichezewi tuangalie taifa alipolitoa

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewataka Watanzania kupuuza watu wanaohamasisha uvunjifu wa amani nchini, huku akisisitiza umuhimu wa kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Makonda ametoa kauli hiyo jijini Mwanza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mzee Warioba una jukumu kubwa la kusuluhisha hili Taifa, wewe pekee ndo mzee unakubalika na umma

    Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
  3. JamiiForums Tanzania Kihongosi: Watu wengi kwa kuwa wamezaliwa wamekuta lami zipo, shule zipo hawajui taifa limetoka wapi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini...
  4. JamiiForums Tanzania Yemen ndio watakuwa mkombozi wa taifa la Palestine wakisaidiwa kwa karibu "technically" na Iran

    Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran. Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao. Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio. Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji...
  5. JamiiForums Tanzania Natoa wito Jeshi na Walalahoi tumuunge Mkono Kapten Tesha. Tumlinde ni moja ya Tunu za Taifa

    Napenda kutoa Rai kwa heshima na Taadhima kwa Watanzania. Tumuunge mkono Kapten Tesha. Natamani haraka sana nije Tanzania. Natamani sana. Nimemsikiliza machozi yamenitoka. Huyu Kapten anajua vizuri hatari ambayo inamkabili baada ya hili. Anajua vizuri changamoto ambazo atakumbana nazo. Ameamua...
  6. JamiiForums Tanzania Wito wa kususia nyuzi zisizo na uhalisia kisiasa kuelekea hatma ya Taifa hili

    Comrades, Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo 1. Kusifia nyomi 2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo madarakani 3. Kusifia misafara ya mvombea wa ccm 4. Kuaminisha watu ccm kina nguvu ya hoja 5...
  7. JamiiForums Tanzania Argentina, Taifa pendwa la Elon Musk na Trump America Kusini lazidi kuzama kwenye mdororo wa uchumi, Trump apanga kulipa billion 20$

    Uchumi wa Argentina umezidi kufanya vibaya chini ya utawala wa Rais Javier na kuwa katika hatihati ya kuanguka kutokana na utawala mbovu wa Rais huyo hali inayopelekea Marekani kuandaa kitita cha dola billion 20 kuukomboa. Javier ni swahiba mkubwa wa Trump na mtindo wao wa uongozi na siasa...
  8. JamiiForums Tanzania Napendekeza taifa litumie bendera kama taswira yake badala ya rais tena wengine mafisadi na machawa

    Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa. Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil Je wewe unaonaje na kusemaje? Nafikiri kimya kimya.
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa kulitambua rasmi taifa la Palestina

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa Uingereza kulitambua rasmi taifa la Palestina zaidi ya miaka 100 baada ya Azimio la Balfour kuunga mkono "kuanzishwa kwa makazi ya kitaifa ya Wayahudi nchini Palestina", na miaka 77 baada ya kuundwa kwa taifa la Israel chini ya Mamlaka...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kutunishiana misuli, wote tunajenga nyumba moja?turudi mezani kwa maslahi mapana ya taifa.

    Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja. Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kenya yasitisha mradi wa Taifa gas

    Mahakama ya Mazingira na Ardhi nchini Kenya imezuia kampuni ya Taifa Gas kuendelea na ujenzi wa kiwanda cha gesi ya LPG chenye thamani ya Shilingi bilioni 16 katika eneo la Dongo Kundu, Mombasa. Uamuzi huo umetokana na hofu ya uharibifu wa mazingira ya pwani, kufuatia ombi la wakazi wawili wa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna kila dalili naziona kuwa mageuzi ya hili Taifa yataanzia kwa mwanamke

    Ladies and Gentlemen. Brothers and sisters. Our case is different. Kama kichwa kisemavyo, naona kabisa vuguvugu hili likianzia kwa kinamama na kinadada wa Taifa hili. Sio kwamba wanaume wameshindwa, bali wanawindwa kwa hamasa kubwa hadi kupelekea woga mwingi. Habari njema ni kuwa wao...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya sera kati ya Tanzania na China kuinufaisha Tanzania katika utekelezaji wake wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

    Wakati China ikielekea kuainisha mipango yake ya maendeleo ya taifa kwa miaka mitano ijayo (2026 hadi 2031) baada ya kumalizika kwa Mpango wa 14 wa Miaka Mitano wa China (2021-2025), hivi karibuni Tanzania imezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kufikia lengo kuu la kujenga Taifa jumuishi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana, Sikutegemea kama Taifa zima lipo hivi

    Toka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini? Viongozi wanawaza nini? Ila connections za akina Rihanna, J. Lo watu wanataka sana. Dogo mmoja ananiambia nikiwa room na...
  15. JamiiForums Tanzania Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  17. JamiiForums Tanzania JENEZA LA TAIFA : Riwaya bora ya Kiswahili

    Wakuu nimeonelea kushare nanyi riwaya hii Bora kutoka kwa mwandishi mahiri wa maabdishi bunifu aitwaye Maundu Mwingizi. Mwandishi wa riwaya hii anaisimulia kupitia ukurasa wake wa Facebook uitwao #Maundu Mwingizi. JENEZA LA TAIFA: [Riwaya iliyoshinda Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya...
  18. JamiiForums Tanzania Siku hazirudi Nyuma : Kile Kizazi cha Dhahabu cha Team ya Taifa ya Cameroon

    Mfululizo wa Makala zangu za SIKU HAZIRUDI NYUMA. Hapa namaanisha kile kikosi Shababy kabisa cha Cameroon. Mguu wa shingo mguu wa Roho. “golden generation” ya Cameroon iliyotikisa dunia kwenye Kombe la Dunia 1990 (Italia) wakati wa Roger Milla na wenzake. Hicho ndicho kikosi kinachokumbukwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

    Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari. Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…