taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uwe hai au umeuliwa, Humphrey Polepole umeliponya taifa la Tanganyika

    Ni kweli Humphery sababu ya kisema ukweli tu kuwa Rais Samia anaiba rasilimali za Watanganyika? Kosa lako lilikuwa ni nini? Kuwaeleza ukweli Watanganyika kuwa Samia ni zao la wanaCCM chini ya mstaafu?
  2. JamiiForums Tanzania Hali ya Watanzania kuishi kwa matumaini kuwa ipo siku watabutua kwenye kamari inatishia Usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa ni nyanja pana sana. Suala la ulinzi wa pesa za nchi na wananchi linapaswa kuwa sehemu ya mkakati wa Usalama wa Taifa. Watanzania kwa ujumla wao kila siku hupoteza mabilioni ya pesa kwenye kampuni za betting wakitarajia ipo siku watalala maskini na kuamka matajiri. Siku...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Hakuna Siku mawazo ya Watanzania yatafanana. Hili ni taifa la watu wanaofikiri, si Taifa la Mawe

    Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano...
  4. JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa Taifa hili kwa sasa

    Kama hukupoteza ndugu yako 29 Oct mwambie Mungu asante, ile siku kwa kifupi ni siku mbaya ni siku ambayo shetani na majeshi yake walivuna haswa damu za Watanganyika. Endeleeni kupumzika kwa amani makamanda, leo mnazingiziwa kila kitu, mlikua na Bunduki, Mabomu, Vifaru, Air to Air missiles, Land...
  5. JamiiForums Tanzania Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

    Habari wakuu Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa. Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla. Nitangulize pia...
  6. JamiiForums Tanzania Tume mpya ya uchunguzi: Hatua ya kuunganisha Taifa

    Na Mwandishi maalum Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuhusu kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi itakayochunguza kwa kina yale yaliyobainishwa kwenye ripoti ya Tume ya Rais ya iliyoundwa kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea Oktoba 29, 2025...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira, Maridhiono siyo na CHADEMA ni Maridhiano ya Kitaifa na kuliponya taifa

    Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo tuingie kwenye Maridhiano mnajidanganya Maridhiano yatafanywa na Vyama vya siasa 18 na CCM iko tayari...
  8. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli itakuwa Mungu ameamua kusimama na taifa na kuondoa waliopanga kumwaga damu za watanzania

    Alionekana tangu zamani kuwa na elements za kichochezi hadi leo asubuhi. tunasubiri kauli ya RPC wa Geita Sofia Jongo USSR
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Janga na Doa Kubwa kwa Taifa!

    Rais Dkt. Samia alisema: "Hili ni janga na doa kubwa kwa Taifa letu." Alisisitiza kuwa kazi ya Tume imeiwezesha nchi kupata uelewa sahihi wa kilichotokea, ikijumuisha uchambuzi wa kina uliotokana na ushahidi wa mashahidi 1,323, maelezo ya viapo 953, pamoja na maoni yaliyokusanywa kupitia njia...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Thamani ya mali zilizoharibiwa na ghasia za Oktoba 29 ni Bilioni 125. Sekta binafsi thamani yake Bilioni 89, za Serikali ni Bilioni 36

    Wakuu Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  11. JamiiForums Tanzania Silinde azindua baraza la Sita la wafanyakazi tume ya taifa ya umwagiliaji, ahimiza umoja na uwajibikaji

    📍NIRC Dodoma. Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amezindua Baraza la Sita la Wafanyakazi la Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), huku akitoa wito kwa watumishi wa Tume hiyo kudumisha umoja na kutokubali kukatishwa tamaa na sauti chache za watu wasiothamini kazi nzuri inayofanywa na...
  12. JamiiForums Tanzania Ambwene Yesaya (A.Y): Niwe mkweli suala la kutengeneza Mdundo wa Taifa, haliwezekani

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026 akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili. AY...
  13. JamiiForums Tanzania Kipangula: Taarifa Potofu Zinaweza Kuvuruga Mshikamano wa Taifa

    Na Mwandishi Wetu. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula , amesema uandishi wa habari usiozingatia maadili unaweza kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa jamii. Akizungumza na waandishi wa habari ambao ni wanachama wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Mada kuu: Msikilize kwa makini David Kafulila akifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV

    https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
  16. JamiiForums Tanzania Kila mwenye Iman aombe kwa ajiri ya Taifa hili😭😭

    Fikiria mbunge anasimama bungeni na kuanza kutamka nonsense kama hizi Na watu wanapiga makofi na kushangilia Hv kweli kama taifa tutayafikia Maendeleo kwa ujinga wa namna hii?
  17. JamiiForums Tanzania Neno Mubashara: Chaneli ya taifa mnaharibu lugha, chaneli ya dini na nyinyi amueni moja mtumie kiswahili ama kiarabu

    Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika...
  18. JamiiForums Tanzania Kauli tata za Emmanuel Nchimbi vs Samia na kauli tata za Jakaya Kikwete vs Magufuli wakimnukuu baba wa taifa

    Miaka kadhaa iliyopita Kikwete akiwa mstaafu aliwahi kualikwa kwenye kigoda cha Mwalimu na wakati huo Magufuli akiwa Rais. Kikwete aliongea mambo ya kujimwambafai na ubabe kauli ambazo zilionyesha moja kwa moja kumnanga aliyekuwa Rais Magufuli kutokana na ubabe aliokuwa nao. Kikwete kamwe...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu afande amenisikitisha sana kwa kweli kama ndio hivyo tumekwisha

    Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo...
  20. JamiiForums Tanzania Vijana watakiwa kuwa nguzo ya maadili na ujenzi wa Taifa katika kumbukizi ya miaka 104 ya Baba wa Taifa

    Dodoma, Aprili 11, 2026 Kongamano la vijana ya kumbukizi ya miaka 104 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, limefanyika leo Jumamosi katika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kongamano hilo limewakutanisha viongozi wa serikali, wanafunzi na vijana kutoka maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…