Nyumba la Taifa (NHC) ujulikanao Samia Housing Scheme (SHS) wa nyumba 5000 pekee unatarajiwa kutoa ajira zipatazo 26,400(direct 17,600 na indirect 8,800), taarifa hiyo imetolewa na Meneja Habari na Uhusiano wa NHC.
Amesema utakuza mapato ya serikali mfano mradi wa SHS 5000 unatarajiwa...